Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Na huwa wanatafuta attention ilimradi tu waonekane yaan jau San
 
We jamaa huna hoja Unajifanyaga tu, sasa hapo ningemchagua dada ako au? Kwanini usinge tetea hoja yako?

Kwa sababu nimenyuka panapo stahili..
 
Sure yeye kaangalia kwa perspective ya wazungu.. Wabongo awe na degree asiwe nayo bado pasua kichwa tu kasoro tarehe
 

Kanuni ya Kiuchumi ya Vivutio Visivyolingana (Asymmetric Incentives)

Wakati jamii inapomtunza mtu kwa wingi mkubwa kwa ajili ya urembo au sura yake nzuri, motisha ya kukuza akili ya kina, fikra makini, au ujuzi wa kiutendaji hupungua sana. Sio kwamba hawawezi kuwa na akili; ni kwamba hawajawahi kuhitajika kiuchumi au kijamii kukuza akili hizo ili kuishi au kufanikiwa.

Athari ya Halo (Halo Effect) na Kinga ya Akili (Cognitive Shielding)

Athari ya Halo ni upendeleo wa akili ambapo binadamu hujiwekea mwenyewe sifa chanya—kama vile akili, uaminifu, na uwezo—kwa watu wenye sura nzuri, bila kuwa na ushahidi wowote.

Ukweli: Kwa sababu ya upendeleo huu, watu wenye sura nzuri sana mara nyingi hulindwa dhidi ya matokeo ya maamuzi mabaya au ukosefu wa maarifa tangu utoto wao.

Matokeo: Ikiwa mtoto au kijana anaambiwa kila mara kuwa ana sawa, anasifiwa, na kuokolewa kutokana na makosa yake kwa sababu tu ana sura nzuri, ananyimwa mchakato mkali wa kujifunza kwa kukosoa unaohitajika ili kujenga akili ya kawaida (common sense). Akili ya kawaida hujengwa kwa kushindwa, kukwaruzana na uwajibikaji. Wakati urembo unapoondoa msuguano huo, ukuaji wa akili husimama.
 
😥😥😥 Kwa hiyo nifanye Je sasa?
Hiyo sasa ni discretion yako mkuu. Your life your choices.
Ila wabongo usipowaelewa sana, nenda S.A huko kwa watoto wa kizulu ukaone corporate/ career women walivyo smart na wazuri.
 
Sio wazuri tu, hata wenye matako makubwa
 
Uzuri huwa umewapiga shoti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…