Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Kwani wao wamempa nini Mungu mpaka aamue kuwapa kila kitu?

Duniani kuna natural checks and balances!
 
Kwani wao wamempa nini Mungu mpaka aamue kuwapa kila kitu?

Duniani kuna natural checks and balances!
Ila hii ni kama over balance sasa mkuu hakuna uwiano kabisa.

Beauty is inversely proportional to brainy
 
Kumbe unaongelea hao wawili, Mimi naangalia duniani kote mademu wazuri wanaenda Hollywood na sehemu zinazohitaji sura nzuri. Uliona wapi mbaya akaburudisha watu?
Hujaelewa mada mkuu. Na bado una weka watu kwenye vifungu kama mboga
 
Ukosefu wa akili hauchagui sura, shape wala rangi

Sehemu kubwa ya wanawake wabaya nao ni vilaza zaidi

ila, kudate mwanamke mbaya ni matumizi mabaya ya mapenzi
Au sioπŸ˜‚πŸ˜‚ ila ndo wife material hao pia
 
Hivi unaongea kubisha au?
JF watu hawabishani bali wanajadili,
Yaani kwa dunia ilivyo leo, uje utuaminishe huu upuuzi kisa una ka logic ka mchongo?
Wewe ni mpumbavu na uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana,wewe umesha geuka kua kituko hapa JF ila hujajishtukia tu coz uwezo wa kujishtukia huna,
BRO stop making stupid logic
hua nawapenda sana nyie mnaotumia lugha za aina hii coz mimi hua naua Mende kwa kumpiga nyundo ya utosi,

Unapenda kuanzisha nyuzi ila huna uwezo wa kuzisimamia nyuzi zako coz uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana,kifupi huna akili ya kujadili na watu humu,bila shaka hata hizi nyuzi hua unazicopy somewhere na kuja kuzipaste hapa tu,
kwenye jambo lililo wazi tena bora wenzetu
Wenzenu kina nani?
hawa yapi focus sana external beauty, ila huku pisi ikitongozwa tu mara kadhaa, tayari bichwa juu like haendi chooni
Unapojadili jambo na mimi kua makini sana na lugha unayoitumia dhidi yangu coz mimi watoto wa zinaa hua siwaachi,natwanga nyundo kwenye kona zote.
 
Azingatie sana hapa ulipo mshauri.
Inahitaji mtu mwenye akili timamu za uelewa ili aelewe jinsi ya kuendesha mijadala na kuisimamia mijadala aliyo ianzisha,

Kwa mleta mada hilo sahau,uwezo huo hana,anaanzisha mada kisha anajichomeka kidole ili abishane na watu na kutukana watu,mtu anachangia mada,mara amtukane,au amwambie "Acha kutumia AI"
 
Mwanaume gani huyo anaejisifia makebo tumkokie pistol ya Dully? Kwanza lazima tu atakuwa hana akili mwili mzima
 
Mvunjie barafu tu.. mimi na Mod tutachangia hela ya umeme wa kuzigandishia
 
Utakua unaishi USWAHILINI sana wewe πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…