Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Joannah nitumie tena namba zako nimepoteza niko bankUkipata wasaa ukala chakula nilichopika,nitadesign namna unakula carrots bila kujua na unaenjoy roast.
Fungua pm dk 1 kisha ufunge tenaUnajua sio vizuri kutia chumvi kwenye kidonda kibichi Cha mwenzio?
Kumpenda tu mtu unakua kijana wa hovyoKijana wa ovyo
😂😂 fungua pm sasaIla unapenda kunitesa jamani🙆🙆Leo ya biriani tu
Anza new convo ile ya mwanzo imefutikaTayari bwana wee weka vitu😘
Nakuogopa kwakuwa nakupenda Sana JoannahSerious?unaniogopa?Kwa Nini😳?
Nawaza nikiongea kitu unaweza usipende alafu ukanichukia nikakosa amani🤣🤣🤣🤣Sasa ukimpenda Mtu ndio umuogope?
Hamna,labda unitukanie mzazi ndio Huwa nakasirika,ila maneno hayaniudhi haraka hivyo