Hivi kwanini Tanzania hakuna programmers

Hivi kwanini Tanzania hakuna programmers

Darasa la kwanza hadi la saba mtoto anabeba madaftari zaidi ya kumi, ataacha kukariri kweli?
Real programmers wana specialize na somo moja toka utotoni hadi level za juu, lazima wawe deep
 
Kama hakuna programmers kuwa wewe hiyo ndo fursa yenyewe.

Bongo kila mtu analalamika kwanini mwingine hajafanya this or that as if yeye kakatazwa kuwa.

Mtu hajaenda shule analalamikia wasomi, wewe nani kukakataza kusoma to fill the void?
 
Nilimcotract jamaa anaesifika kama a full stack programmer anisukie mfumo wa malipo, ...tulikubaliana delivery iwe in 4 months....
Mpaka December mwaka Jana ilikuwa imekatika miaka miwili. Na amepuyanga umo ndani sio kidogo.

Nikaja kupata vijana flan wanawork as a team...jamaa in 4 months wamekabidhi pamoja na integration zote kwenye mitandao ya simu.

So programmers wapo, ila kuwapata walionyooka ndio mtihani.

Pia Kuna vijana wamedevelop app ya Payguard Secure.....naambiwa niwaswahili pia. From design backend na app wako smart
 
Darasa la kwanza hadi la saba mtoto anabeba madaftari zaidi ya kumi, ataacha kukariri kweli?
Real programmers wana specialize na somo moja toka utotoni hadi level za juu, lazima wawe deep
Sidhani kama inakuwa hivyo, ila pia mazingira yaanchangia. Labda kizazi cha sasa ila kizazi cha hawa wa miaka 35 na kuendelea computer unakutana nayo cafe, au chuo. Mimi kwa mara ya kwanza kutumia computer ilikuwa form 2, nimekuja kumiliki ya kwangu nikiwa chuo.
But pia ni passion, kama mtu ana passion basi anaweza kuwa good programmer
 
Mimi kwa mara ya kwanza nimekuja kugusa computer nimemaliza form 6
 
Back
Top Bottom