Hivi kwanini uchawi hautumiki kwenye Uwanja wa Vita?

Mchawi ndie kiumbe mwenye kiwango cha chini sana cha kufikiri duniani mtu mwenye akili hawezi kuwa mchawi.
ndo maana wachaw wengi mafukara..we uwezi kuta mchawi kanasa juu ya bati huko masaki au mikocheni
 
Kuna veteran mmoja swahiba alinihadithia kuhusu vita ya Uganda

Aliniambia aisee uchawi upo walifanyiwa ambush na waganda wakauwawa baadhi ya wanajeshi wetu ila nao wakapambana mpaka waganda wakakimbia

Wakati wanawasaka porini walimkuta mmoja wao kakaa chini ya mti na bunduki yake
Wakaanza kumiminia risasi ila hazikumuuwa wala kumjeruhi badal yake alisimama na kuondoka

Anasema mpaka leo hayuko vizuri kwa lile tukio
Bado anakula pension yake na analima tu na [emoji609] zake
Bado namuendea kumsalimia ila kila wakati hadithi zake ni vita tu
 
Hiyo mbona ipo kama ndoto vile…
 
Hii mada ya kuhusu Uchawi inajirudia sana

Nyani Ngabu kila Mara anasema alogwe na huku kuna watu wanajidai wachawi sana na juzi kuna mmoja aliandika habari ya kuloga kwa kupitia hesabu za kiarabu akasema akipata jina la Mtu na la mama yake basi atamroga hakika.

Huyu jamaa kila Mara anasema yupo tayari kusema alipo, na kuleta majina kamili na hata kucha, nywele au Nguo ili arogwe lakini HAROGWI.

Kama Uchawi UPO na wanaweza kuloga kwanini wasimloge huyu aliye tayari kutoa details zake zote kila mara?

Uchawi ni Jambo la kidhahania zaidi yaani la kufikirika, ni Imani isiyokuwepo.
 
gfsonwin aione hii 🤣🤣
 
Hautumiki?
Are serious?
Kuna mzee huko Lindi Liwale, huyo anakusomea Dua ukienda vitani hata kama nyuklia ikipigwa huwezi kufa.
Kama unabisha njoo pm.
Yule mzee mpaka pesa za benki anaweza kukuwezeaha uzichote.
Sasa ni mzee sana . Anakufanyia free malipo baada ya matokeo
 
Mkuu hii chai na mchana huu
 
Mtu Kama wewe utaaminije Kuna uchawi??
 
Duuh
 
Umbea
 
Nimekuja PM,
 
We nikituko. Nanikakwambia wa afrika walikua niwachawi???
Hujijui, humjui mwafika alafu unaleta history ya kipindi Cha ukoloni na baada yaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…