dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Sizani Kam wanaibaa bhna unaiba sadaka si unakuwa kichaaa hapan litaishaaa Seema wahumi weni wa pale hawatoaa pesaaaDu mkuu salute,mada hii imekata kwenye mfupa,KKKT Kinondoni karibu na mahakama pale,ujenzi ule toka mimi nipo secondary school haujaisha, nakumbuka hata PM Lowassa amewahi kufanya harambee za uchangiaji pale, yaani ni wezi..wezi..wezi
Hawatoa sadaka wanatoa elf 3000 ssia mbona kkkt ilazo ddoma Ebenezer ujenzi una miaka miwili na Sasa tuko kwenye talazoHakuna Pesa hamtoi sadaka za kutosha ongezeni Sadaka nyinyi majengo yamaliziwe
Hahahahahahaah Demi umenikumbusha mbali sna kumbe ulikuwa msharikaa wa arysha Jimbo la kazikasini chini ya arch Bishop Thomas laizerHii taasisi inajua sana kupiga pesa kwa kweli.
Walikula pesa za corridor spring wakalazimisha waumini walipe deni tena wanakupangia kiasi cha kutoa. Nilikataa waziwazi.
Nilikuja kutoa laki mbili tu nikakacha hyo nikasepa SAS HV Niko ddm napambna na maujenzi tu wagogo hawakujenga makanisaa kbsaa ssi wageni ndio tunawajengeaaa mahekaluHii taasisi inajua sana kupiga pesa kwa kweli.
Walikula pesa za corridor spring wakalazimisha waumini walipe deni tena wanakupangia kiasi cha kutoa. Nilikataa waziwazi.
Asante Sana umeisemea vyema idara ya ujenziMambo ya ujenzi ya kanisa lolote la KKKT Huwa Yako chini ya kamati ya ujenzi ya waumini
Hujui mfumo wa KKKT wewe
Mchungaji aweza hamishwa siku yeyote kamati ya Ujenzi inabaki intact na kazi ya kamati ya ujenzi ndio huhusika kuanzia mchoro wa kanisa kutafuta eneo la ujenzi na kusimamia ujenzi na kutafuta pesa za ujenzi sio kazi ya mchungaji kutafuta pesa za ujenzi au kusimamia ujenzi ni kazi ya kamati ya ujenzi
Wewe utakuwa sio KKKT ukihitaji chochote iwe ripoti ya ujenzi usimfuate mchungaji ifuate kamati ya ujenzi sababu mchungaji aweza kaa kwenye usharika mwezi akahamishwa kwenda kwingine ila kamati ya ujenzi haihami
Ukila sadkaa unakuwakichaaa ujui hiloTena katika ubora wake[emoji85]
kamati ya ujenzi ya waumini Wana akaunti ya kuweka fedha za ujenzi?Mambo ya ujenzi ya kanisa lolote la KKKT Huwa Yako chini ya kamati ya ujenzi ya waumini
Hujui mfumo wa KKKT wewe
Mchungaji aweza hamishwa siku yeyote kamati ya Ujenzi inabaki intact na kazi ya kamati ya ujenzi ndio huhusika kuanzia mchoro wa kanisa kutafuta eneo la ujenzi na kusimamia ujenzi na kutafuta pesa za ujenzi sio kazi ya mchungaji kutafuta pesa za ujenzi au kusimamia ujenzi ni kazi ya kamati ya ujenzi
Wewe utakuwa sio KKKT ukihitaji chochote iwe ripoti ya ujenzi usimfuate mchungaji ifuate kamati ya ujenzi sababu mchungaji aweza kaa kwenye usharika mwezi akahamishwa kwenda kwingine ila kamati ya ujenzi haihami
Wanasuasua ktk makusanyoTangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.
Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.
Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.
Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.
Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.
Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
NADHANI hujui power ya mchungaji.. au ume jitoa ufahamu .Mambo ya ujenzi ya kanisa lolote la KKKT Huwa Yako chini ya kamati ya ujenzi ya waumini
Hujui mfumo wa KKKT wewe
Mchungaji aweza hamishwa siku yeyote kamati ya Ujenzi inabaki intact na kazi ya kamati ya ujenzi ndio huhusika kuanzia mchoro wa kanisa kutafuta eneo la ujenzi na kusimamia ujenzi na kutafuta pesa za ujenzi sio kazi ya mchungaji kutafuta pesa za ujenzi au kusimamia ujenzi ni kazi ya kamati ya ujenzi
Wewe utakuwa sio KKKT ukihitaji chochote iwe ripoti ya ujenzi usimfuate mchungaji ifuate kamati ya ujenzi sababu mchungaji aweza kaa kwenye usharika mwezi akahamishwa kwenda kwingine ila kamati ya ujenzi haihami
Segerea mwisho ahahah haha naona ni mwaka wa kumi sasa ngoma bado mbichiTangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.
Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.
Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.
Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.
Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.
Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
Sasa mbn mavazi Yao yako askofu chiefKKKT hawana Padre wao wana Wachungaji.
Wajinga sana..walinipangia kuchangia laki 3 nikawatazama sikuwamaliza. Hadi leo sijui michango inaendeleaje maana ni muda sijakanyaga church.Hahahahahahaah Demi umenikumbusha mbali sna kumbe ulikuwa msharikaa wa arysha Jimbo la kazikasini chini ya arch Bishop Thomas laizer
SafiNshazoea napewa bahasha naweka sadaka ya ujenzi wa usharika.....over mengn siyo kazi yangu
Rekebisha mwandiko mkuu.Sizani Kam wanaibaa bhna unaiba sadaka si unakuwa kichaaa hapan litaishaaa Seema wahumi weni wa pale hawatoaa pesaaa
Warithishe NENO LA MUNGU, hawataliacha mpaka uzee wao. Dini haijawahi kumsaidia mwanadamu.Mm Ni mkkkt pure had watoto wangu nitawarisieha kanisa hili
Sadaka haijengi imani, imani inajengwa kwa kusikia neno la Mungu.Ujenzi hauishi kwasababu sadaka ingine tunatumia kuwajengea imani