Uongo .Mchungaji hanunui kiwanja,hachori ramani ya jengo ,hatafuti contractor wa kujenga ,hatafuti Hela za ujenzi Wala kuusimamia sababu sio eneo lake la utaalamu Hilo ni uongoNADHANI hujui power ya mchungaji.. au ume jitoa ufahamu .
hiyo kamati, na viongozi daima ni wafuasi watiifu wa Baba Mchungaji aliye ajiriwa katika usharika huo..
Mchungaji aweza jisomesha au akasomeshwa na usharika au Dayosisi au wafadhili lakini kama atahitajika kuajiriwa kama mchungaji hapo anakuwa na wa Dayosisi sio wa Usharika uliomsomesha tu aweza hata akimaliza asipangiwe usharika uliomsomesha anapelekwa kwingine.Akishaajiriwa ni Mali ya Dayosisi sio kanisa Fulani Fulani .Askofu aweza mtoa huku akapeleka kokotekamati ya ujenzi ya waumini Wana akaunti ya kuweka fedha za ujenzi?
Je Huwa Kuna kamati ya kuwapangia kazi au kuwahamisha wachungaji?
Je wachungaji wanasomeshwa na nani?
Je eneo panakojengwa kabisa Huwa ni nani ananunua eneo Hilo?
Ni nini wajibu w Dayosisi au KKKT Kwa waumini? Kama waumini walinunua eneo wenyewe, wakamsomesha mchungaji wao mwenyewe na kujenga kabisa Kwa nguvu Yao wenyewe?
Afadhali uliondoka .Watu kama nyie hamstahili kusali makanisa ya Matajiri katafute kanisa walikojaa maskini ukasali hukoWajinga sana..walinipangia kuchangia laki 3 nikawatazama sikuwamaliza. Hadi leo sijui michango inaendeleaje maana ni muda sijakanyaga church.
Mkuu uko sawa! Ni nini faida ya Dayosisi au KKKT Kwa wadharika wa eneo Fulani au Kwa waumini?Mchungaji aweza jisomesha au akasomeshwa na usharika au Dayosisi au wafadhili lakini kama atahitajika kuajiriwa kama mchungaji hapo anakuwa na wa Dayosisi sio wa Usharika uliomsomesha tu aweza hata akimaliza asipangiwe usharika uliomsomesha anapelekwa kwingine.Akishaajiriwa ni Mali ya Dayosisi sio kanisa Fulani Fulani .Askofu aweza mtoa huku akapeleka kokote
Eneo hununuliwa mara nyingi na waumini wa sehemu husika na michango Toka Kwa waumini wengine nje ya kanisa nk na likinunuliwa hati ya eneo Lazima iandikwe Kwa jina la KKKT sio Mtu binafsi na kuanzia hapo inakuwa Mali ya KKKT sio ya waumini.Muumini ukichangia ujenzi unachangia jengo la KKKT sio jengo lako binafsi na familia yako ambako.kesho waweza dai kuwa la kwako ni Mali ya KKKT hata kama ulitoa kiwanja ni Mali ya KKKT huwezi Sema kesho rudisheni kiwanja changu
Ujenzi ukianza sio pesa tu ni pamoja na vifaa vya ujenzi watu unakuta mwingine anatoa Tani 20 nondo mwingine mifuko mia moja simenti nk na mara nyingi vifaa Huwa vingi kuliko pesa unaweza kwenda ukakuta Mtu kaleta Lori kubwa nne za kokoto na mchanga zomemwagwa kwenye kiwanja Cha ujenzi
Ukitaka kuchukiwa na watu sema ukweli ndani ya CCM na Kanisa la KKKT.Afadhali uliondoka .Watu kama nyie hamstahili kusali makanisa ya Matajiri katafute kanisa walikojaa maskini ukasali huko
Mleta mada kayataja na wengine wameyatajaMbona makanisa yote ya KKKT ni Makubwa mazuri na Ujenzi wao unaisha?
Ni wapi huko ambapo hayaishi?
Ndo wapi huko tena mama?Poa karibu huku lingusenguse baba
Baba huku ni wilaya ya Namtumbo, Mkoa wa Ruvuma, karibu sana nipo hapa 4th beach ninapata upepo kidogoNdo wapi huko tena mama?
Utajiri upi mlionao mnashindwa kumalizia makanisa miaka na miaka? Pesa wapige wengine deni nilipishwe mimi...kuondoka sijaondoka ila hiyo pesa sitoi hata yesu arudiAfadhali uliondoka .Watu kama nyie hamstahili kusali makanisa ya Matajiri katafute kanisa walikojaa maskini ukasali huko
Kurasini. KkktTangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.
Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.
Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.
Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.
Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.
Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
Kweli kabisakuna lile kanisa lao pale magomeni mapipa linalotazamana na msikiti, ktk kumbukumbu zangu za kuishi dar huu unawezakuwa ni mwaka wa 18 au 20 tangu lianze kujengwa, mpaka leo halija kamilika.
nadhani ndio kanisa linaoongoza kwa upigaji, ndio maana migogoro haishi kwa viongozi wa hili kanisa kugombea miradi ili wapige hela.
Shida wanatutishia ukifa hawakuziki kama huna bahashaKKKT kwenye ujenzi wa makanisa Kuna shida tena shida inayoendea kuwa kubwa na mwisho wa siku watakuja kubakia na makanisa Yao hakutakuwepo na waumini.
Laki Tatu Eti hutoi unaiona pesa nyingi makanisa wanasali matajiri KKKT wanaoweza nunua kuku wa elfu 20 Kwa milioni 10 kuchangia ujenzi wa kanisaUtajiri upi mlionao mnashindwa kumalizia makanisa miaka na miaka? Pesa wapige wengine deni nilipishwe mimi...kuondoka sijaondoka ila hiyo pesa sitoi hata yesu arudi
Makanisa Mengine Ya KKKT kutoisha Dar ni Sababu ya wafanyakazi wengi wa serikalini na vigogo wa serikali waliokuwa wakisali humo kuhamia Dodoma ambako kule pia Kuna ujenzi wa makanisa makubwa ya KKKTLile la magomeni mataa pale
Vp limeisha [emoji1]
Je lile la mahakama ya kinondoni vp
Ova
Huko nimepita kitambo, mchomolo, Likuyu unapamanya?Baba huku ni wilaya ya Namtumbo, Mkoa wa Ruvuma, karibu sana nipo hapa 4th beach ninapata upepo kidogo