The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Yes wa juzi ni ke Na hata huyu leo pia ni ke..
Sijui tunajikutaga nani sisi saa ingine 😁😁
Joanah inaelekea hajawahi kwenda bar akakutana Na hizo changamoto kabisa huyu
Huyo mvivu sana kwenye baadhi ya mambo, kama hilo la kero ya wahudumu, analipotezea tu ila ndio siku ingine hawamuoni