Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hao wana majungu tu. Suti kama ni fupi na mtu ni mfupi si sawa tu.Nyie tulieni kwa leo tujadili wanaume wafupi na suti zao 🤣
Lakini mbona Chaliifrancisco na ule ufupi wake huwa anawaka sana na suti?tena anapendelea suti nyeupe
Faida ya kuu ya mtu kua mfupi ni kwamba kwny ugomvi yeye anakua karibu na ardhi so ni mwendo wa kuokota mawe tu,lazima ashinde tu kwny ugomvi.BORO la mtu mfupi lilikuchana papuchi nini!?
Halafu nasikia watu wafupi wana maboro makubwa sana!
Tena ikitokea demu akiwa mfupi afu mnene,afu akavaa nguo nyekundu akitembea kwa mbaali unaweza kudhani kibanda cha mpesa kinatembea.Kamwinyi kafupi ila kamependeza aisee!
Hahahahaaaa....
Haihitajiki futi wenyewe wanajijua. Kwa hii picha ukisema wafupi wasogee mbele watasogea wenyewe 😁Kwani mrefu ni kuanzia futi ngapi View attachment 1773752
Hahahaha ma.ninaaUko sahihi Sana, havipendezi na vina gubu hatari, utadhani vina mimba changa ovyo kabisa hivyo vijitu
Mi mwenyewe urefu wa Mrisho Mpotto.Aisee hii ni dhambi Kaka!
Na wapo single mothers wafupi au walizaa na wafupi..sijui mpaka wanazaa na wafupi ilikuaje..Ila JF hakuna anayebakigi salama,
Yaaaani kwa namna yoyote lazima kuna siku utaanzishwa uzi ambao deep down utakugusa tu,tena utakugusa kwa namna mbaya
Haya,leo zamu ya wafupi 😂😂😂
Uzuri kati ya wafupi watakaoboreka leo,watakuwepo wafupi waliowahi kuanzisha mada kuponda single mothers 🤣
Picha inayokuja hapo 😂Hao wana majungu tu. Suti kama ni fupi na mtu ni mfupi si sawa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]malipo n hapa hapa dunian!!! mfupi anamponda cngo maza, kesho cngo maza anamponda mfupiIla JF hakuna anayebakigi salama,
Yaaaani kwa namna yoyote lazima kuna siku utaanzishwa uzi ambao deep down utakugusa tu,tena utakugusa kwa namna mbaya
Haya,leo zamu ya wafupi [emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri kati ya wafupi watakaoboreka leo,watakuwepo wafupi waliowahi kuanzisha mada kuponda single mothers [emoji1787]
Watu wafupi wengi wana vibamia [emoji16]
Wanadamu tunajisahau sana.♻️♻️♻️We dada wewee sijui kaka,tema mate chinii,...
Siku tukifahamiana zitapigwa ngumi siyo za nchi hii, unakuja kujua kumbe haka katoto ndiyo kalinizingua?Ila JF hakuna anayebakigi salama,
Yaaaani kwa namna yoyote lazima kuna siku utaanzishwa uzi ambao deep down utakugusa tu,tena utakugusa kwa namna mbaya
Haya,leo zamu ya wafupi 😂😂😂
Uzuri kati ya wafupi watakaoboreka leo,watakuwepo wafupi waliowahi kuanzisha mada kuponda single mothers 🤣
Hii misuti ya huyo mtu kulia kabisa aliiba au kununuaKwani mrefu ni kuanzia futi ngapi View attachment 1773752
Ila kikwete mrefu,hapa nashindwa kati ya ben na mwinyi nan mfupi zaidiKwani mrefu ni kuanzia futi ngapi View attachment 1773752
Hongera sana kwa vile mlijiumba. Kwani urefu akili au ni majaliwa. Urefu na ufupi vyote vina faida na hasara zake so to speak usijisifu kana kwamba ulituma maombi kuumbwa hivyo. Je sura zenu nazo vipi? Kama ukitaka kushindana na kuringia urefu si uende Sudan ya Kusini uone.Acha blah blah mtu ukiwa mfupi unajijua tu. Hta mzee mwinyi hapendezi. Ndio baba yngu mrefu kwetu hakuna watu wafupi. Mimi tu mwanamke lakin nna 1.72m
Kwani wewe unawazungumzia akina nani hasa kwenye huu uzi wako.???Waje kina Nani? Kuna watu wanategemewa kuja?