Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

Aende na Nigeria pia,.akutane na vitu...lol
 
Weka picha ya Andunje hapa amevaa suti tuone Kama anaonekana Kama kifurushi
 
Utani wa maumbile huu.
Huwa unaumiza sana na ndio hufanya watu waliotaniwa au kuzungumziwa kama huna akili basi unajiona huna lolote hapa Duniani.

Huu hauna na tofauti dhihaka dhidi ya Weusi, weupe ..wenye vichwa vikubwa ...visogo...wakaka kwa wadada wasio na sura kwa minaji ya taswira na tuonavyo sisi.
Halafu mwishoni mtu yoyote kati ya hilo kundi akafa kwa kutokana na vijitabia hivi utasikia ma # kibao kibao..,mara sijui #BLM.

Mimi ni mhanga wa kichwa kikubwa napata shida sana na utu uzima wangu muda mwingine nikikutana na aina ya watu wengi waliopo humu.
Tuache utani huwa inaumiza sana kama ukichukulia kila kitu serious.
 
JF raha sana yani! Watu wanapakana choo kwa zamu zamu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu usichukulie serious bana huu utani wa humu ni endless!
 
Embrace your uniqueness Mkuu.

Kumbuka Biblia inasema we are fearfully and wonderfully made.

We are perfect in God's eyes.
 
Ufupi ni nini na unalingasha na nini? Mbona Mzee Mwinyi pamoja na ufupi wake anapendeza? Je baba yako ni mfupi au mrefu na kwa vigezo vipi?
Babaake mfupi ila leo anashupaza shingo humu kupondea wanaume!
 
Hii thread inarudi mara ya tatu humu...
kuna cd ya masingle Maza,,
cd ya watu wafupi...
na cd ya kitimoto
na cd ya madem wenye mit.ako...
haipi miezi mitatu bila kujirudia....
tofauti ni uletwaji tu rizim ni ile ile
Hahahahaha nimecheka kinoma chief πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Umesahau na CD ya mademu wasumbufu wa kupenda kuomba omba hela!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…