Hivi kwanini wanawake wa kichaga ni walevi sana?

Unakutana na demu mrembo kwelikweli wa kichagga,lahaula kumbe ni cha pombe..
Hivi nini kinawafanya wawe walevi kiasi hiki?
Wanawake wa kichaga wanajiamini na wanajua kuzitafuta hela.
Kama wewe ni kapuku kama mimi wanawake wa kichaga siyo saizi yako- stick to the rivers you are used to.
 
Wengine pombe ni liwazo au faraja Yao, wanawake walevi wako vulnerable Sana, Sisi watu wa kutembea viwanja tunawajua, asilimia 90 ya wanawake walevi unaweza kuwabeba muda wowote, anaweza akawa anatafuta pesa vizuri tu lakini kwenye aspects nyingine ni failure, failure wa Mahusiano, failure wa hisia, failure wa tabia nk...Kwa kuwa hayana mwenyewe tunayaita MAPAKA PORI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…