dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Hyo Ni under sketi mkuu inafaliwa ndani sas HV wengi wanapiga tightZilikua zinawapendeza ila kwa uchunguzi wangu nilioufanya ,nimegundua siku hizi hawazivai.
Shida nini wakuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo Ni under sketi mkuu inafaliwa ndani sas HV wengi wanapiga tightZilikua zinawapendeza ila kwa uchunguzi wangu nilioufanya ,nimegundua siku hizi hawazivai.
Shida nini wakuu?
Ahahahaja wew Ni mmasai kbsaInaitwa kishida hiyo
Hata mam angu alikuwa anamuambia dad nifulie kishida hyo [emoji23][emoji23]Umenikumbusha mbali Mkuu. Sijui waliwazaga nini hadi kukiita kishida.
Arusha ndo lilikuwa neno kuu kipindi tunakua.
Neno maarufu snaa Arusha hyo ,,kishidaa au engishidaUmenikumbusha mbali Mkuu. Sijui waliwazaga nini hadi kukiita kishida.
Arusha ndo lilikuwa neno kuu kipindi tunakua.
Sahh kbsaa kijna unatakiwa ukiona hata upindo tu wa chupi ngoma isomeeHe was a real man. Wengine wakiona upindo wa kyupi nyoka anatoka pangoni. Vijana kama hao siku hizi wamepungua sana kutokana na kula vyakula vibovu
Yeah hicho ndicho kinachotakiwa sio mtu anaona mpaka uvuz ngoma haisomi. Kuna wagonjwa wengi sana wa kiume siku hiziSahh kbsaa kijna unatakiwa ukiona hata upindo tu wa chupi ngoma isomee
Ukitokea arusha kuna vitu lazima ujuweUmenikumbusha mbali Mkuu. Sijui waliwazaga nini hadi kukiita kishida.
Arusha ndo lilikuwa neno kuu kipindi tunakua.
[emoji23]Wewe ulikua unazionaje? Maana wanazivaa ndani ya nguo ya nje. Ushafunua ngapi hadi umejua hawavai
Yote [emoji23] mimi mwanamke akivaa hivyo ndo naona nipo na mwanamke sasa. Siku hizi wanavaa boxer za wanaumeKishida au Shimizi Waterloo?[emoji1]
Hahahaha mi siyo masai aiseeAhahahaja wew Ni mmasai kbsa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Joto bhanaYote [emoji23] mimi mwanamke akivaa hivyo ndo naona nipo na mwanamke sasa. Siku hizi wanavaa boxer za wanaume
Jitahidi siku moja moja[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Joto bhana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Jitahidi siku moja moja[emoji23]
Na sijawahi ivaa sasa mimi nguo zangu ni fupi ntalivalia wap?Bora hata wewe unayo moja mi sina kabisa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ikitokea ntahitaji basi ntavaa ya mama
Na wana tembea nazo mtaani wakizani ni ujanjaaSiku hizi wanavaa hizi...View attachment 2441607
Underskirt😅Hiyo ya emergency ni ipi mkuu?
Sijui kwanini kila nikiona posts/comments zako lazima nikupe likesNilinunua mbili zipo tu sijawahi hata vaa tunavaa sana taiti