Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

Unasemaje kakutakaa wewe kamkubali mtu wa hovyo. Unajijuaje wewe sio wa hovyo kwake huyo dame?

Dogo, mbona simple tu. Ukiona unakataliwa jua wewe wa hovyo, na mbaya zaidi wewe ni wa hovyo kuliko huyo boda aliyekubaliwa
 
Kwahiyo bodaboda hana haki🤒🤒
Mwanaume bodaboda nae ana haki ya kupendwa, mfano pale mtaani kwetu kuna baadhi ya vijana wa bodaboda kwa jinsi wanavojiweka kistaarabu na kiheshima, kama mimi ni baba na nina binti, wakija kutoa posa nitawapa binti yangu kiroho safi, maana najua mwanangu atakuwa kwenye mikono salama.

Sasa kuna mtu mwingine ukimwona tu alivyo, heee hee unajua hapa hamna kitu, halafu ndo binti anaenda kuzaa nae 😁 Leejay49
 
Habarini,

Juzi kati nlitafakari kwanini utakuta binti mzuri tu mashallah, she is young, pretty, hana mtoto, unamfata unamtongoza anakukataa, unakubali maamuzi yake kiroho safi unaendelea na mishe zako.

Hee baadae unakuja sikia mtoto wake wa kwanza kazaa na mume wa mtu mwenye familia yake, au unakuta kazaa na kijana wa hovyo.

Mfano juzi kati kuna binti nlimtongoza akanikataa, baadae nakuja sikia amepewa ujauzito na bodaboda, tena bodaboda mwenyewe ni wale vijana wa hovyo kabisa, wanaokula gomba/mikokaa etc, yani hata bodaboda wenyewe wanamshangaa huyo binti alivo mzuri amekubali vipi kupewa ujauzito na kijana wa vile, ilhali kuna vijana wengine wa bodaboda kwenye kile kijiwe ni vijana wa maana wenye heshima zao, maana kwa story za mtaani jamaa ana mangeu ngeu usoni kwasababu ya spidi.

Mdada unamtongoza anakukataa, halafu anaenda kumkubalia mwanaume ambae ukijiangalia wewe na huyo mwanaume, wewe unajiona bora mara 5 😂😂😂😂, kuna mwanaume hata akimchukua demu wako unakubali unaona kweli huyu mwana kanizidi, ila unakuta binti mzuri anamzalia kijana wa hovyo, au mume wa mtu, unajiuliza tu huyo binti atajenga future gani na mume wa mtu.

Halafu wakifika miaka 28 wanaanza kututafuta sisi ambao walitukataa walipokua in their prime 😂😂😂 wakidhani bado sisi ni wajinga 😂😂

Nilidhani hii phenomenon inanitokea mimi tu, ila baada ya kupita pita mitandaoni nkagundua kuwa hii ishu hata wanaume wengine inawakutaga.

View attachment 2972098View attachment 2972099
Kwa sababu bado ni kijana mdogo Jitahidi uwe nice guy kwa mama na dada zako, kwa mabinti kuwa kijana flani hivi ambaye binti atajisikia hayupo na baba yake au kaka yake ili umri ukifika wa kuamua kutulia still atulie na wewe mtupunguzie wanawake wenye watoto bila uwepo wa baba.
 
Back
Top Bottom