Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

Halafu wewe jamaa ni mganga nini, umejuaje iyo pisi ninayoongelea ina makalio, aloo ni binti wa 2000, akipita mtaani, mtaa unasimama, ana chuchu saa sita, kiuno nyigu, anajambia mbali, yani ana lile kalio ambalo ukimwangalia kwa nyuma lina shepu iliyochora alama ya love ❤️

Alikuwa anasaidia Maza mmoja kuuza mgahawa wa chai, nlivoenda kula chapati pale asubuhi, alikuja kunihudumia nlivoona Lile kalio lake tumbo langu lilijaa ghafla, na njaa ya chai iliisha Ivan Stepanov
Aaaahh kama ni hao wa migahawani mzee achana nao, ni full UTI na STIs utaambukia hapo, hao ni pombe ya msibani kila mtu anajinywea tu, na hao bodaboda na makomda wa daladala ndio mara nying wanajibebea, sasa wwe mgahawan uswahiln analipwa nini hapo, sasa kukataliwa inaonekana uliingia kwa gia kubwa sana, gari lazima izime tu au skills zako za kubeba watoro bado ziko chiiniii sanaa, mtoto wa uswahil mgahawan anakukataaa?? Mzee jiulize sana, lazima una shida wewe!.
 
Sidhani kama ni demu ambae kila mtu alikuwa anajipigia, maana ni mgahawa wa kijijini unaouza chai na msosi tu, hauuzi pombe, halafu ndo alikuwa ana miezi michache toka amemaliza form 4 mwaka 2022, ila alikuwa amefeli Ivan Stepanov
 
alikuwa ana miezi michache toka amemaliza form 4 mwaka 2022, ila alikuwa amefeli
Dooh very sad, sasa mtoto kafeli na nyie wahuni tena mnataka kuongeza sifuri mbele azidi kufeli. Tuachieni watoto wetu nyie vichaa. Huko vijijin na kilimo cha jembe la mkono, mnapataje nyege,? Maana saa 12 asubh mpaka saa 10 ni shamba ukirud hapo unaoga unaenda uwanja wa shule ya kijiji kucheza ball, hayo ndio maisha tuliishi sisi wajomba zenu kijijini, nyege zitoke wapi hapo?
 
Aaaahh kama ni hao wa migahawani mzee achana nao, ni full UTI na STIs utaambukia hapo, hao ni pombe ya msibani kila mtu anajinywea tu, na hao bodaboda na makomda wa daladala ndio mara nying wanajibebea, sasa wwe mgahawan uswahiln analipwa nini hapo, sasa kukataliwa inaonekana uliingia kwa gia kubwa sana, gari lazima izime tu au skills zako za kubeba watoro bado ziko chiiniii sanaa, mtoto wa uswahil mgahawan anakukataaa?? Mzee jiulize sana, lazima una shida wewe!.
- mademu wa kwenye migahawa ni wepesi sana,
 
Hakuna kazi ngumu kama kutongoza barabarani. 😂
True mimi kuna demu alijilengesha road sema kuna watu kibao halafu yeye akawa ananiambia unaniita ananiuliza huku sijamuita akaniambia muogaa halafu bonge la demu shape kama lote watu kibao wanamtolea macho pale road ikabidi nikaushe huku naumia mpaka leo sijawahi kuonana naye huyo duu na alishiboka kabisa
 
Habarini,

Juzi kati nlitafakari kwanini utakuta binti mzuri tu mashallah, she is young, pretty, hana mtoto, unamfata unamtongoza anakukataa, unakubali maamuzi yake kiroho safi unaendelea na mishe zako.

Hee baadae unakuja sikia mtoto wake wa kwanza kazaa na mume wa mtu mwenye familia yake, au unakuta kazaa na kijana wa hovyo.

Mfano juzi kati kuna binti nlimtongoza akanikataa, baadae nakuja sikia amepewa ujauzito na bodaboda, tena bodaboda mwenyewe ni wale vijana wa hovyo kabisa, wanaokula gomba/mikokaa etc, yani hata bodaboda wenyewe wanamshangaa huyo binti alivo mzuri amekubali vipi kupewa ujauzito na kijana wa vile, ilhali kuna vijana wengine wa bodaboda kwenye kile kijiwe ni vijana wa maana wenye heshima zao, maana kwa story za mtaani jamaa ana mangeu ngeu usoni kwasababu ya spidi.

Mdada unamtongoza anakukataa, halafu anaenda kumkubalia mwanaume ambae ukijiangalia wewe na huyo mwanaume, wewe unajiona bora mara 5 😂😂😂😂, kuna mwanaume hata akimchukua demu wako unakubali unaona kweli huyu mwana kanizidi, ila unakuta binti mzuri anamzalia kijana wa hovyo, au mume wa mtu, unajiuliza tu huyo binti atajenga future gani na mume wa mtu.

Halafu wakifika miaka 28 wanaanza kututafuta sisi ambao walitukataa walipokua in their prime 😂😂😂 wakidhani bado sisi ni wajinga 😂😂

Nilidhani hii phenomenon inanitokea mimi tu, ila baada ya kupita pita mitandaoni nkagundua kuwa hii ishu hata wanaume wengine inawakutaga.

View attachment 2972098View attachment 2972099
Hao watu wa hovyo, ni kwa mujibu wa jicho la nani? Maana wa hovyo wako wewe, si wa hovyo kwa mtu mwingine..!!
 
True mimi kuna demu alijilengesha road sema kuna watu kibao halafu yeye akawa ananiambia unaniita ananiuliza huku sijamuita akaniambia muogaa halafu bonge la demu shape kama lote watu kibao wanamtolea macho pale road ikabidi nikaushe huku naumia mpaka leo sijawahi kuonana naye huyo duu na alishiboka kabisa
Mwana uliona aibu, au sio.
 
We jamaa mwaka jana napo ulianzisha uzi kama huu.

KUna shida mahali
 
Attachments

  • Screenshot_20240424_080003.jpg
    Screenshot_20240424_080003.jpg
    392.4 KB · Views: 9
Habarini,

Juzi kati nlitafakari kwanini utakuta binti mzuri tu mashallah, she is young, pretty, hana mtoto, unamfata unamtongoza anakukataa, unakubali maamuzi yake kiroho safi unaendelea na mishe zako.

Hee baadae unakuja sikia mtoto wake wa kwanza kazaa na mume wa mtu mwenye familia yake, au unakuta kazaa na kijana wa hovyo.

Mfano juzi kati kuna binti nlimtongoza akanikataa, baadae nakuja sikia amepewa ujauzito na bodaboda, tena bodaboda mwenyewe ni wale vijana wa hovyo kabisa, wanaokula gomba/mikokaa etc, yani hata bodaboda wenyewe wanamshangaa huyo binti alivo mzuri amekubali vipi kupewa ujauzito na kijana wa vile, ilhali kuna vijana wengine wa bodaboda kwenye kile kijiwe ni vijana wa maana wenye heshima zao, maana kwa story za mtaani jamaa ana mangeu ngeu usoni kwasababu ya spidi.

Mdada unamtongoza anakukataa, halafu anaenda kumkubalia mwanaume ambae ukijiangalia wewe na huyo mwanaume, wewe unajiona bora mara 5 😂😂😂😂, kuna mwanaume hata akimchukua demu wako unakubali unaona kweli huyu mwana kanizidi, ila unakuta binti mzuri anamzalia kijana wa hovyo, au mume wa mtu, unajiuliza tu huyo binti atajenga future gani na mume wa mtu.

Halafu wakifika miaka 28 wanaanza kututafuta sisi ambao walitukataa walipokua in their prime 😂😂😂 wakidhani bado sisi ni wajinga 😂😂

Nilidhani hii phenomenon inanitokea mimi tu, ila baada ya kupita pita mitandaoni nkagundua kuwa hii ishu hata wanaume wengine inawakutaga.

View attachment 2972098View attachment 2972099
Chanda chema huvikwa pete.
Kati ya wao na wewe, wa ovyo ni yule aliyekataliwa.
Natumaini unamjua.
 
Acha utani😂 sio kwamba najiona/najisifia/nina kiburi, ila naamini kuna vijana hapo mtaani hata wewe ukiwaona walivyo, matendo yao, wanavovaa etc utajiona bora wewe.

Sasa mtu anaeshinda baa na kijiweni the whole day, mchafu mchafu, kazi kula mirungi, bangi, na pombe kali, huyo mtu ni bora kuliko wewe ambae una kiofisi chako mahali umeajiriwa, au umejiajiri kwenye kilimo, ufugaji, ki-duka au stationery yako ya kuuza muvi, uko smart, jumapili kanisani, embu niambie tu ukweli 😂😂😂

Halafu utakuta binti mrembo anazaa mtoto wake wa kwanza na huyo kijana wa hovyo 😂😂🙌🙌🙌 Ivan Stepanov

Huyo binti kuna mambo mawili ukitoa urembo wake na kuuweka pembeni;
Mosi: Naye itakuwa ana akili ya hovyo.
Pili: Ana akili ambayo haijakomaa/kupevuka kujua maana na matokeo ya kile anachokifanya.
 
Habarini,

Juzi kati nlitafakari kwanini utakuta binti mzuri tu mashallah, she is young, pretty, hana mtoto, unamfata unamtongoza anakukataa, unakubali maamuzi yake kiroho safi unaendelea na mishe zako.

Hee baadae unakuja sikia mtoto wake wa kwanza kazaa na mume wa mtu mwenye familia yake, au unakuta kazaa na kijana wa hovyo.

Mfano juzi kati kuna binti nlimtongoza akanikataa, baadae nakuja sikia amepewa ujauzito na bodaboda, tena bodaboda mwenyewe ni wale vijana wa hovyo kabisa, wanaokula gomba/mikokaa etc, yani hata bodaboda wenyewe wanamshangaa huyo binti alivo mzuri amekubali vipi kupewa ujauzito na kijana wa vile, ilhali kuna vijana wengine wa bodaboda kwenye kile kijiwe ni vijana wa maana wenye heshima zao, maana kwa story za mtaani jamaa ana mangeu ngeu usoni kwasababu ya spidi.

Mdada unamtongoza anakukataa, halafu anaenda kumkubalia mwanaume ambae ukijiangalia wewe na huyo mwanaume, wewe unajiona bora mara 5 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kuna mwanaume hata akimchukua demu wako unakubali unaona kweli huyu mwana kanizidi, ila unakuta binti mzuri anamzalia kijana wa hovyo, au mume wa mtu, unajiuliza tu huyo binti atajenga future gani na mume wa mtu.

Halafu wakifika miaka 28 wanaanza kututafuta sisi ambao walitukataa walipokua in their prime [emoji23][emoji23][emoji23] wakidhani bado sisi ni wajinga [emoji23][emoji23]

Nilidhani hii phenomenon inanitokea mimi tu, ila baada ya kupita pita mitandaoni nkagundua kuwa hii ishu hata wanaume wengine inawakutaga.

View attachment 2972098View attachment 2972099
Wewe ndio mwenye matatizo na huo ubora wako mara 5,huyo binti alkua haluelewi kwasababu ya ujuaji wako,na kujiona uko perfect kila angle....kuna wakati inakubidi uwe fala kula vya mafala.joh
 
The fact kwamba kakukataa wewe na kachukua ujauzito wa jamaa ni kwamba jamaa ni bora zaidi yako

Ungekua bora kama unavodai basi usingekuja kulia lia hapa
 
Kuna wanawake wanapenda rude fellas wakiwa wa moto ila wakifika 25+ na watoto kadhaa hapo ndo wanarudi kwa waliowakwepa kutaka ndoa angalau maana huo unakua umri wa "shika sana ulichonacho"
 
Back
Top Bottom