Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

Unasemaje kakutakaa wewe kamkubali mtu wa hovyo. Unajijuaje wewe sio wa hovyo kwake huyo dame?

Dogo, mbona simple tu. Ukiona unakataliwa jua wewe wa hovyo, na mbaya zaidi wewe ni wa hovyo kuliko huyo boda aliyekubaliwa
 
Kwahiyo bodaboda hana hakiπŸ€’πŸ€’
Mwanaume bodaboda nae ana haki ya kupendwa, mfano pale mtaani kwetu kuna baadhi ya vijana wa bodaboda kwa jinsi wanavojiweka kistaarabu na kiheshima, kama mimi ni baba na nina binti, wakija kutoa posa nitawapa binti yangu kiroho safi, maana najua mwanangu atakuwa kwenye mikono salama.

Sasa kuna mtu mwingine ukimwona tu alivyo, heee hee unajua hapa hamna kitu, halafu ndo binti anaenda kuzaa nae 😁 Leejay49
 
Kwa sababu bado ni kijana mdogo Jitahidi uwe nice guy kwa mama na dada zako, kwa mabinti kuwa kijana flani hivi ambaye binti atajisikia hayupo na baba yake au kaka yake ili umri ukifika wa kuamua kutulia still atulie na wewe mtupunguzie wanawake wenye watoto bila uwepo wa baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…