Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

Hapo sawa nimekuelewa,,. Nikajua bodaboda wote ila hata kama na hao wengine pia wana haki ya kupendwa na kupewa mbususu πŸ€’πŸ€”
 
Watu wa hovyo wanazungumza lugha anayoipenda mabinti
 
Umemtongoza juz kati kakukataa, tayar kashapew mimba (juz tu hapo, na ushajua tayar)πŸ˜‚πŸ˜‚

Aliyempa hiyo mimba wewe ni bora mara 5 yake. Unapataje confidence ya jusema wewe ni bora kuliko mwingine?
Acha utaniπŸ˜‚ sio kwamba najiona/najisifia/nina kiburi, ila naamini kuna vijana hapo mtaani hata wewe ukiwaona walivyo, matendo yao, wanavovaa etc utajiona bora wewe.

Sasa mtu anaeshinda baa na kijiweni the whole day, mchafu mchafu, kazi kula mirungi, bangi, na pombe kali, huyo mtu ni bora kuliko wewe ambae una kiofisi chako mahali umeajiriwa, au umejiajiri kwenye kilimo, ufugaji, ki-duka au stationery yako ya kuuza muvi, uko smart, jumapili kanisani, embu niambie tu ukweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Halafu utakuta binti mrembo anazaa mtoto wake wa kwanza na huyo kijana wa hovyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Ivan Stepanov
 
Em wasikupangie cha kuongea...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kama ndo vijana wako hvyo, kweli ni waovyo sanaπŸƒπŸƒ
 
Wanatafuta uzoefu hata ajira huanzia rank za chini
 
Ndio hivyo sasa kijana wa hovyo ka secure opportunity uliokua unaitafuta ya kupapasa na kuyabinya binya makalio ya huyo dogo. Hapo roho lazima ikuume πŸ˜‚
 
Wee kubalii umekataliwaaaa!!! Hivyo vyote ulivyonavyo huyo dada havitakii, acha wivu kwa boda boda wa watu, Lol
 
Kwanza kabisa mkuu unatakiwa kujua kukukataa wewe ni haki yake ya msingi na kwenda kumkubali jamaa mwingine hopeles haeleweki ni haki yake ya msingi pia na hivi vitu viwili havina correlation yeyote yan ni event mbili tofauti kabisa, na unatakiwa uelewe kuwa saikolojia ya wanawake iko tofauti sana, wanapenda sana kuwasikiliza watu wanaowadanganya kuliko wale wanaosema ukweli, na wana fantasy za ajabu sana. Me nimeona wanawake wengi sana wenyewe bila kujijua wanajitengenezea mazingira ya kuwa single maza ila huwa siwaambii because its non of my biznes. Akikukataa mwache aende akirud ashakuwa singo maza mkatae wanawake wako wengi masta huwez kuwaridhisha wote, wanawake wengi wanakujaga kujua amekosea yakishatokea madhara sasaivi hawawez kuelewa.
 
Kwa hivyo amekataa Kula pesa yakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.wewe mtu wa maana..

Move on maisha Lazima yaendelee

Hao above 24 unaodai Wana akili πŸ˜‚wamepita hapo hapo 18-24 na walikuwa hivyohivyo..

Ila usipende kuita binadamu mwingine wa ovyo..
 
Mtafute Mganga wa Diva yule ndio ana password yao.

Yani unachukuwa akili ya mwanamke unaifungia kwenye chupa.
 
Ndio hivyo sasa kijana wa hovyo ka secure opportunity uliokua unaitafuta ya kupapasa na kuyabinya binya makalio ya huyo dogo. Hapo roho lazima ikuume πŸ˜‚
Halafu wewe jamaa ni mganga nini, umejuaje iyo pisi ninayoongelea ina makalio, aloo ni binti wa 2000, akipita mtaani, mtaa unasimama, ana chuchu saa sita, kiuno nyigu, anajambia mbali, yani ana lile kalio ambalo ukimwangalia kwa nyuma lina shepu iliyochora alama ya love ❀️

Alikuwa anasaidia Maza mmoja kuuza mgahawa wa chai, nlivoenda kula chapati pale asubuhi, alikuja kunihudumia nlivoona Lile kalio lake tumbo langu lilijaa ghafla, na njaa ya chai iliisha Ivan Stepanov
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…