Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hawana complications hivyo wanaua ile excitement, i call them "Easy Prey"Gonga tu, tena hao ni cost effective
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana complications hivyo wanaua ile excitement, i call them "Easy Prey"Gonga tu, tena hao ni cost effective
Akakanyage mafuta tu kwanza hakuna namna, Expert member wa Jf kabisaaa unashindwa kuchukua mtoto wa mgahawani?Kwahio unashuri amuone Mwamposa kwanza? 😁
Wa mama ntilie kabisa anashindwa kumng'oa😁Akakanyage mafuta tu kwanza hakuna namna, Expert member wa Jf kabisaaa unashindwa kuchukua mtoto wa mgahawani?
Hii sio kawaida mkuu. Sionkawaida hata kidogoWa mama ntilie kabisa anashindwa kumng'oa😁
Kazi anayo, atakuwa ana swagger za kizamaniWa mama ntilie kabisa anashindwa kumng'oa😁
Yaani acha tu. Na huwa hamuwezi kukutana mara ya pili.True
Humu unaweza tongoza vidume! 😂Na jf
🙆Humu unaweza tongoza vidume! 😂
😂 Ogopa!
Ndo maana ukimwi hutaisha Tanzania hii...Mhuni anatongoza huku kashika tako la dogo mara wamepelekana mahali,kambaaaa. Sio lazima apate consent.
Wewe unasubiri consent,mara mpaka ukanunue kondom
HahahaHakuna kazi ngumu kama kutongoza barabarani. 😂
Wanawake wanapenda bad boysAcha utani😂 sio kwamba najiona/najisifia/nina kiburi, ila naamini kuna vijana hapo mtaani hata wewe ukiwaona walivyo, matendo yao, wanavovaa etc utajiona bora wewe.
Sasa mtu anaeshinda baa na kijiweni the whole day, mchafu mchafu, kazi kula mirungi, bangi, na pombe kali, huyo mtu ni bora kuliko wewe ambae una kiofisi chako mahali umeajiriwa, au umejiajiri kwenye kilimo, ufugaji, ki-duka au stationery yako ya kuuza muvi, uko smart, jumapili kanisani, embu niambie tu ukweli 😂😂😂
Halafu utakuta binti mrembo anazaa mtoto wake wa kwanza na huyo kijana wa hovyo 😂😂🙌🙌🙌 Ivan Stepanov