Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

Mhuni anatongoza huku kashika tako la dogo mara wamepelekana mahali,kambaaaa. Sio lazima apate consent.

Wewe unasubiri consent,mara mpaka ukanunue kondom
Ndo maana ukimwi hutaisha Tanzania hii...

Huyo nice guy aachane na mademu... Atafute hobby nyingine labda kusafiri.
 
Acha utani😂 sio kwamba najiona/najisifia/nina kiburi, ila naamini kuna vijana hapo mtaani hata wewe ukiwaona walivyo, matendo yao, wanavovaa etc utajiona bora wewe.

Sasa mtu anaeshinda baa na kijiweni the whole day, mchafu mchafu, kazi kula mirungi, bangi, na pombe kali, huyo mtu ni bora kuliko wewe ambae una kiofisi chako mahali umeajiriwa, au umejiajiri kwenye kilimo, ufugaji, ki-duka au stationery yako ya kuuza muvi, uko smart, jumapili kanisani, embu niambie tu ukweli 😂😂😂

Halafu utakuta binti mrembo anazaa mtoto wake wa kwanza na huyo kijana wa hovyo 😂😂🙌🙌🙌 Ivan Stepanov
Wanawake wanapenda bad boys
 
Back
Top Bottom