Hivi kwanini watanzania wakiulizwa Swali hujibu kwa Swali?

Nimezunguka dunia, ulaya na marekani
Sijawahi kukutana na wabongo wanaofanyakzi kama wataalamu kutoka Tanzania
Kumejaa wakenya, waganda, wahindi na wazimbabwe na wote sio raia na bado wanapaspoti za nchi zao, ila wafanyakazi kama madaktari, manesi na engineer
Elimu ya NACTE ilimeharibiwa sana na wagalatia kwa kujipasisha kwa majina, na walivyoshtukiwa, siku hizi wanapasisha kwa kanda, kama wewe mgalatia umesomea Tanga au Pwani, wanakula kichwa na kuwapa wa Kilimanjaro na Mbeya
 
Kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…