Hivi kwanini watu humu wanajiita majina ya ajabu?

Mimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia.

Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo?

Watag members wenye majina ya ajabu tuwajue
Eti umeokoka wee binti muongo sanaaaaπŸ˜‚
 
Haya ndiyo majina yetu halisi baada ya sisi kuwa na akili, yake majina mengine ya Saumu, Shida, Masumbuko nk tulipewa tukiwa wachanga, sasa tumekua tumejichagulia majina wenyewe!
Wewe kitimoto kwanini unajiita hivyo
 
Hao watu wanazingua sana aisee mimi mwenyewe nataka kutafuta jina unique zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…