Hivi kwanini watu humu wanajiita majina ya ajabu?

Twendee tuwahi🤠
Nishike shati usije ukabaki nyumaaa!

Twende huko hakuna sononaa!
Twende huko hakuna unafiki!
Twende huko hakuna usaliti!
Twende huko hakuna uchoyo!

Huko Kuna pendo!
Huko Kuna uvumilivu na kuchukuliana!
Huko Kuna kubebana na sio kutengana!
 
Mimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia.

Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo?

Watag members wenye majina ya ajabu tuwajue
Kwa sababu ni watu wa ajabu
 
Mimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia.

Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo?

Watag members wenye majina ya ajabu tuwajue
Mbona wewe hufananii na matendo yakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…