Usijali endelea kupiga covert missions[emoji23]Insider
Hatari sana
Yani upole ni kava
Kimtazamo mtu akiniangalia ni mpole mno mpaka sauti, lakini ninayo yatenda yakifunuliwa cjui nitajificha wapi..
Na wewe ni mpole?Ni wahuni hatari.
ndiyo,kwa muonekano.Na wewe ni mpole?
Kuna Movie Moja hivi niliangalia mwaka jana, (2019) inaitwa "Plus One". Ni love story flani hivi imechangamka. Anyway ngoja niende kwenye point..
Kuna Jamaa huko anaitwa Ben, kaigiza kama introvert flani hivi (aina ya watu unaowasemea hapo juu, wapole). Kuna mahali aliulizwa swali na bestie yake, Alice kuwa kwanini anashindwa ku date muda mrefu (or kudumu kwenye mahusiano)?
Nafikiri jibu alilotoa linaweza ku fit kwenye huu uzi..
Alisema "Watu wa aina yake (wapole) huwa sio rahisi sana kuwa kwenye mahusiano kwa sababu ni ngumu sana kuwazoea (especially wanaume), kwaiyo hii inawafanya wawe Single kwa muda mrefu sana. Sasa kuwa Single kunawafanya wajijue zaidi, kunawafanya wajue ni vitu gani hasa wanahitaji kwenye mahusiano. Kwaiyo hii inawapelekea kujua kwa haraka zaidi kuwa mtu wanayekutana nae hafai au hataendana naye kwenye mahusiano, na hapotezi muda akishagundua hilo, anaamua kuachana naye tu."
Nadhani hiyo point ina ukweli ndani yake kulingana na uzi wako!
Ungechunguzaa kwaa kinaa iliupatee muafakaWasalaam wakuu.
Nimekuwa na ukaribu sana na watu wenye hulka ya upole, jinsia zote wa kike na wa kiume.
Ila hawa watu wapole wapo selective sana kwenye masuala ya kuchagua wenza au wapenzi wao.
Je,hii inachangiwa na wao kuogopa kuumizwa au? Maana anaweza kuingia kwenye mahusiano na akadumu kwa wiki tu ukimuuliza anakwambia ameona hayo mahusiano hayatafika mbali.
Hebu tusaidiane hapa wakuu.
Bonge la point, that's how it's, I'm introvert by the way.Kuna Movie Moja hivi niliangalia mwaka jana, (2019) inaitwa "Plus One". Ni love story flani hivi imechangamka. Anyway ngoja niende kwenye point..
Kuna Jamaa huko anaitwa Ben, kaigiza kama introvert flani hivi (aina ya watu unaowasemea hapo juu, wapole). Kuna mahali aliulizwa swali na bestie yake, Alice kuwa kwanini anashindwa ku date muda mrefu (or kudumu kwenye mahusiano)?
Nafikiri jibu alilotoa linaweza ku fit kwenye huu uzi..
Alisema "Watu wa aina yake (wapole) huwa sio rahisi sana kuwa kwenye mahusiano kwa sababu ni ngumu sana kuwazoea (especially wanaume), kwaiyo hii inawafanya wawe Single kwa muda mrefu sana. Sasa kuwa Single kunawafanya wajijue zaidi, kunawafanya wajue ni vitu gani hasa wanahitaji kwenye mahusiano. Kwaiyo hii inawapelekea kujua kwa haraka zaidi kuwa mtu wanayekutana nae hafai au hataendana naye kwenye mahusiano, na hapotezi muda akishagundua hilo, anaamua kuachana naye tu."
Nadhani hiyo point ina ukweli ndani yake kulingana na uzi wako!
Jana ya saa ngapi?Jana ulikua wapi..[emoji3525][emoji51]
NyoooBabe....
Namaanisha watu wapole ni kama mimi haba babe wako...[emoji39][emoji3]
OkSio kweli ..
Sasa kisa imewaona wachache usigeneralize kuwa memba wote tuna tabia hiyoKuna watu wengi tu humu nina wafahamu (baadhi) huwa wana comment vitu au mambo ambayo hayana uhalisia wowote ule na mambo yanayo wazunguka katika maisha yao " .... So sio kila unacho kisoma humu kiko sahihi 100% kama vile unavyodhani
Khantwe
Ni kweli kabisa hata mimi niko hivi lakini sio mpole [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukinivuruga nakuvuruga kisawasawaMkuu hakuna kitu inasumbua watu wakimya kama kukaa kwenye kundi la watu waongeaji,
Binafsi huwa sipendi kabisa maana nakuwa sijisikii vizuri, watu ukikutana nao ukubwani wanaweza fikiri unaringa kumbe umekuwa hivyo toka utoto
Sema kwenye platform kama hizi ambazo unaandika ukiwa alone binafsi najiskia poa Sana
Ile feeling napata nikifanikiwa kutoka kwenye mkusanyiko wa watu (kujichanganya) haielezeki, niko na full energy nikiwa alone, kukiwa watu kibao ni kama wanakunyonya Energy hivi
Sema wakimya wengi wana AIBU pia
Mimi pia ni mpole....Kuna kitufa Cha pm pale juu.Watu wapole ni mafia hatari aise..
Lakin ndo ugonjwa wangu😎😎huwa nawapenda huniambii kitu🤣🤣
Ma introvert tungekuwa wengi nchi hii ingeshakombolewa kutoka mikono ya mafisadi ccmNiko hivyo, naenjoy sana kuwa alone, naona ninapata energy tofauti nikiwa katika kundi la watu Nakua unconfortable kabisa, Nilipata shida sana chuo. Nina kisasi kibaya ukinikosea japo siwezi kuonesha wakati huo Kama umenikosea. Nina kanuni nayoiishi( Kama sitaweza kusamehe nalipa kisasi). Nilivyo katika mapenzi Ni tofauti na muonekano wangu.(wanawake niliokua nao kingono hawajawahi kuniacha, Nimeeleweka?) Ni Mimi huamua kuwaacha kwa nguvu. Japo nimeoa now na niliyenaye ndoani Ni introvert pia. Nina mengi, Kuna bishost nilikua nae kimahusiano kipindi sijaoa akaja fanya ujinga kucheat....kilichomtokea mpaka leo miaka imeisha lkn hua haamini Kama nilimfanyia Ile habari. Hatuna Tabia nzuri sana kichini chini lkn ndo inatokea tu tuko hivyo. Nina uwezo mkubwa wa kumsoma mtu pia hasa pale anapofungua kunywa chake na kubwabwaja.