Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Insider
Hatari sana
Yani upole ni kava
Kimtazamo mtu akiniangalia ni mpole mno mpaka sauti, lakini ninayo yatenda yakifunuliwa cjui nitajificha wapi..
Usijali endelea kupiga covert missions[emoji23]
 
Kwa experience yangu mwenyewe ni watu tusiopenda kuongea sana ila upande wa selective sijui imekaaje hii labda niseme ni kwasababu sio watu wa kuonesha interest sana kwa kila mtu sasa hii hupelekea mtu wa jinsi tofauti kuvutiwa kirahisi nakujikuta anaanzisha mahusiano haraka(na wengi wa watu wa kimya ni very humble na romantic)

Watu wa kimya wanatabia za mnyama paka very independent na hupenda utulivu ila ni silent killer ni wabaya hatari.(sio wote lakini)
Wengi wao ni ma introvert,Ila wapo Extrovert lakini unconscious wanajicontrol kubaki introvert ndivyo pia mimi niko inakuwa ngumu mtu kukusoma ni mtu wa namna gani.
 
Wanakuwa na tabia za kupenda kujitenga sana, na hapo ndiyo wanapata mda wa kutafakari mambo yote ayo!
 
Kuna Movie Moja hivi niliangalia mwaka jana, (2019) inaitwa "Plus One". Ni love story flani hivi imechangamka. Anyway ngoja niende kwenye point..

Kuna Jamaa huko anaitwa Ben, kaigiza kama introvert flani hivi (aina ya watu unaowasemea hapo juu, wapole). Kuna mahali aliulizwa swali na bestie yake, Alice kuwa kwanini anashindwa ku date muda mrefu (or kudumu kwenye mahusiano)?

Nafikiri jibu alilotoa linaweza ku fit kwenye huu uzi..

Alisema "Watu wa aina yake (wapole) huwa sio rahisi sana kuwa kwenye mahusiano kwa sababu ni ngumu sana kuwazoea (especially wanaume), kwaiyo hii inawafanya wawe Single kwa muda mrefu sana. Sasa kuwa Single kunawafanya wajijue zaidi, kunawafanya wajue ni vitu gani hasa wanahitaji kwenye mahusiano. Kwaiyo hii inawapelekea kujua kwa haraka zaidi kuwa mtu wanayekutana nae hafai au hataendana naye kwenye mahusiano, na hapotezi muda akishagundua hilo, anaamua kuachana naye tu."

Nadhani hiyo point ina ukweli ndani yake kulingana na uzi wako!
 
Wasalaam wakuu.

Nimekuwa na ukaribu sana na watu wenye hulka ya upole, jinsia zote wa kike na wa kiume.

Ila hawa watu wapole wapo selective sana kwenye masuala ya kuchagua wenza au wapenzi wao.

Je,hii inachangiwa na wao kuogopa kuumizwa au? Maana anaweza kuingia kwenye mahusiano na akadumu kwa wiki tu ukimuuliza anakwambia ameona hayo mahusiano hayatafika mbali.

Hebu tusaidiane hapa wakuu.
Ungechunguzaa kwaa kinaa iliupatee muafaka
 
Kuna Movie Moja hivi niliangalia mwaka jana, (2019) inaitwa "Plus One". Ni love story flani hivi imechangamka. Anyway ngoja niende kwenye point..

Kuna Jamaa huko anaitwa Ben, kaigiza kama introvert flani hivi (aina ya watu unaowasemea hapo juu, wapole). Kuna mahali aliulizwa swali na bestie yake, Alice kuwa kwanini anashindwa ku date muda mrefu (or kudumu kwenye mahusiano)?

Nafikiri jibu alilotoa linaweza ku fit kwenye huu uzi..

Alisema "Watu wa aina yake (wapole) huwa sio rahisi sana kuwa kwenye mahusiano kwa sababu ni ngumu sana kuwazoea (especially wanaume), kwaiyo hii inawafanya wawe Single kwa muda mrefu sana. Sasa kuwa Single kunawafanya wajijue zaidi, kunawafanya wajue ni vitu gani hasa wanahitaji kwenye mahusiano. Kwaiyo hii inawapelekea kujua kwa haraka zaidi kuwa mtu wanayekutana nae hafai au hataendana naye kwenye mahusiano, na hapotezi muda akishagundua hilo, anaamua kuachana naye tu."

Nadhani hiyo point ina ukweli ndani yake kulingana na uzi wako!
Bonge la point, that's how it's, I'm introvert by the way.
 
Kuna watu wengi tu humu nina wafahamu (baadhi) huwa wana comment vitu au mambo ambayo hayana uhalisia wowote ule na mambo yanayo wazunguka katika maisha yao " .... So sio kila unacho kisoma humu kiko sahihi 100% kama vile unavyodhani
Khantwe
Sasa kisa imewaona wachache usigeneralize kuwa memba wote tuna tabia hiyo
 
Mkuu hakuna kitu inasumbua watu wakimya kama kukaa kwenye kundi la watu waongeaji,
Binafsi huwa sipendi kabisa maana nakuwa sijisikii vizuri, watu ukikutana nao ukubwani wanaweza fikiri unaringa kumbe umekuwa hivyo toka utoto
Sema kwenye platform kama hizi ambazo unaandika ukiwa alone binafsi najiskia poa Sana

Ile feeling napata nikifanikiwa kutoka kwenye mkusanyiko wa watu (kujichanganya) haielezeki, niko na full energy nikiwa alone, kukiwa watu kibao ni kama wanakunyonya Energy hivi
Sema wakimya wengi wana AIBU pia
Ni kweli kabisa hata mimi niko hivi lakini sio mpole [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukinivuruga nakuvuruga kisawasawa
 
Niko hivyo, naenjoy sana kuwa alone, naona ninapata energy tofauti nikiwa katika kundi la watu Nakua unconfortable kabisa, Nilipata shida sana chuo. Nina kisasi kibaya ukinikosea japo siwezi kuonesha wakati huo Kama umenikosea. Nina kanuni nayoiishi( Kama sitaweza kusamehe nalipa kisasi). Nilivyo katika mapenzi Ni tofauti na muonekano wangu.(wanawake niliokua nao kingono hawajawahi kuniacha, Nimeeleweka?) Ni Mimi huamua kuwaacha kwa nguvu. Japo nimeoa now na niliyenaye ndoani Ni introvert pia. Nina mengi, Kuna bishost nilikua nae kimahusiano kipindi sijaoa akaja fanya ujinga kucheat....kilichomtokea mpaka leo miaka imeisha lkn hua haamini Kama nilimfanyia Ile habari. Hatuna Tabia nzuri sana kichini chini lkn ndo inatokea tu tuko hivyo. Nina uwezo mkubwa wa kumsoma mtu pia hasa pale anapofungua kunywa chake na kubwabwaja.
 
Kuna tofauti kati ya mtu mpole na mkimya . Watu wasio na maneno mengi, wengi hawapendi Drama ndiyo maana wapo makini sana na mtu atakeyejihusisha naye kwenye mahusiano. Watu wa aina hii wana misimamo mikali katika kila jambo hivyo mahusiano yao huwa ni maamuzi yao, Ni ngumu kumshawishi mtu anayetakiwa kuwa nae hasa kwa Mwanaume.
N.B: Angalizo, Upole siyo udhaifu kama ilivyo imani ya baadhi ya watu. Watu wa pole wana visasi vibaya mno. Ni hayo tu.
 
Me mwenyewe ni mpole na niko hivyo
Hapa nimetoka kuvunja mahusiano na Girlfriend wangu japo sijamtamkia ila kuanzia jana niliapa sitojibu sms wala kupokea simu yake ila haya yote niliyatunza na nikasubiri tu siku flani na kweli ikaangukia jana.

So watu wapole tuko too emotional
 
Niko hivyo, naenjoy sana kuwa alone, naona ninapata energy tofauti nikiwa katika kundi la watu Nakua unconfortable kabisa, Nilipata shida sana chuo. Nina kisasi kibaya ukinikosea japo siwezi kuonesha wakati huo Kama umenikosea. Nina kanuni nayoiishi( Kama sitaweza kusamehe nalipa kisasi). Nilivyo katika mapenzi Ni tofauti na muonekano wangu.(wanawake niliokua nao kingono hawajawahi kuniacha, Nimeeleweka?) Ni Mimi huamua kuwaacha kwa nguvu. Japo nimeoa now na niliyenaye ndoani Ni introvert pia. Nina mengi, Kuna bishost nilikua nae kimahusiano kipindi sijaoa akaja fanya ujinga kucheat....kilichomtokea mpaka leo miaka imeisha lkn hua haamini Kama nilimfanyia Ile habari. Hatuna Tabia nzuri sana kichini chini lkn ndo inatokea tu tuko hivyo. Nina uwezo mkubwa wa kumsoma mtu pia hasa pale anapofungua kunywa chake na kubwabwaja.
Ma introvert tungekuwa wengi nchi hii ingeshakombolewa kutoka mikono ya mafisadi ccm
 
Back
Top Bottom