Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Yesu ni Mungu?Kwanza, Yesu Kristo hakuja duniani kwaajili hiyo
Pili, Hakuongozwa na tamaa ya Ngono, alizishinda tamaa zote za mwili, alikuwa na uungu ndani yake
Nakusubiri,
Baba yake alikuwa nani ?Lakini hilo ni kusudi la kimwili kama alivyo zaliwa na akanyonyeshwa akala akanywa akakojoa akanya..
Wewe unauhakika gani kuwa hakuwa na mwanamkeZipi zilikuwa sababu za msingi za yeye kutooa wala kuwa na mchumba?
Mje mtupe darasa kwa kweli.
Kwa nini ?Bwana Yesu apewe Heshima yake kama Mwana wa Mungu.
Cc Baba Swalehe1.Yesu…....... Hakuoa Wala kua na Mchumba.
2. Isaac Newton......... Hakuoa.
3.Nicole Tesla.........Hakuoa.
NOTE: Watu Genius huwa Hawana muda na Wanawake.
Mfalme Suleiman hakuwa genius?1.Yesu…....... Hakuoa Wala kua na Mchumba.
2. Isaac Newton......... Hakuoa.
3.Nicole Tesla.........Hakuoa.
NOTE: Watu Genius huwa Hawana muda na Wanawake.
NDIOYesu ni Mungu?
Kumbe ni simulizi? Nani alizisimulia?Kuna simulizi zinaeleza yesu alikuwa na mahusiano na maria Magdalena
Kwanza huyo Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.Mnaokomenti Uzi huu mnatumia "moshi wa Arusha kukomenti ".
Ametuokoaje. Mbona bafo tuna dhambi?Yesu likuja duniani kwa kama moja. Kumuokoa mwanadamu na dhambi alivyomaliza ndio maana akaondoka zake..
We all hata our mission here on earth tatizo ni kuijua, na kuna epusha na tatizo yasio ya lazima
Tazama watu Wengi genius huwa awaoi maana kua na mwanamke lazima utasitisha mambo yako kwa ajiri yake, pia lazima ufanye mambo ya kijinga Ili mueze kwenda sawa na mwanamke,pia mwanamke naishi kwa hisia, sio Akili au Logic
Kwa kujua na kwa kutokujua.. Yesu alikuja ulimwenguni kulikuwa ni kwasababu ya kumsaidia mwanadamu na dhambi..Ametuokoaje. Mbona bafo tuna dhambi?
Mtake radhi...Nawaza kwa sauti,
Sijui na yeye alikuwa anachukua sheria mkononi
Yesu kama ni Mungu basi hili ni tatizo tayariNDIO
Ila unaamini wewe una Roho, nafsi na Mwili?Hiyo ya trinity haina mashiko kiroho yaani Mungu kwenye Mungu mwana Mungu roho na Mungu neno ni mambo ambayo ukimwambia mtu ajustify beyond doubt huwa ni mwendo wa kung'atang'ata meno tu