Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Unaambiwa Mbwa ukimjua Jina hakung'atiMajira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini
Nina hakika walishakagua entries zote na kujiridhisha kwamba muhunj hajazitumia.. Ila kwakuwa hawaaminiani "wakadhani" muhuni kapitishwa njia ya panya..
Na kule nyumbani kwa dadaake walikovamia kumbe inasemekana kulikuwa na concealed cameras hivyo wamejikana wote
Only professionals can act professionally... Wamebug big time?
Wengi wanaokotwa UVCCMHao wanaopewa kazi kuvamia watu na kuteka wanakwenda kaa manyumbu,unprofessional kabisa
Sijui huwa wanawa waokota wapi
Ova
Mnara unaweza ku cover eneo 35km radius..., hivi kwenye 35km radius kuna mitaa mingapi, nyumba ngapi, watu wangapi?Sidhani kma serikali wanaweza kukurupuka ivo kwani mnara wa simu si utaonyesha tu kma huyu yuko wapi
Mambo mengine ni ufikiri mdgo tu
Povu rukhsa
Leta na kile kipande kikwete anapewa vidonge vyake baada ya ule mkutano
Huenda walitiwa upofu ili wasiojulikana waanikwe hadharani.Majira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini
Nina hakika walishakagua entries zote na kujiridhisha kwamba muhunj hajazitumia.. Ila kwakuwa hawaaminiani "wakadhani" muhuni kapitishwa njia ya panya..
Na kule nyumbani kwa dadaake walikovamia kumbe inasemekana kulikuwa na concealed cameras hivyo wamejikana wote
Only professionals can act professionally... Wamebug big time?
Kama ni kweli basi tatizo ni kubwa kuliko......Yupo bongo. Kuna wanaccm wenyewe wanaulizana kwa nn anapewa ulinzi.
Hao wanajuana mipaka yao ikiwa wanaona kuna wa level fulani anatoa back up
Ni Kama gwajima tu, yupo bongo lakini wameshindwa kumkamata
Intelijensia ya zamani miaka ya kina Nyerere Qualification kubwa walikuwa wanaangaliaCity Thunder OKC we ulisema jana kwa uhakika mkubwa kwamba Polepole yupo Bongo?
Polepole yupo bongo, hata yeye mwenyewe Leo kasema yupo bongo, na akatoa tahadhali kwa wanaomtafuta wajiangalie kuna kitu kitawapata hawataamini.City Thunder OKC we ulisema jana kwa uhakika mkubwa kwamba Polepole yupo Bongo?
Ithibati!?City Thunder OKC we ulisema jana kwa uhakika mkubwa kwamba Polepole yupo Bongo?
kuna mambo ya ajabu sana,Siku hizi kazi sio kipimo cha utu tena bali ni connection na urefu wa kamba
Sema CCM ya sasa inaabisha mpaka naona aibu kujitambulisha kama mwana CCM, yaani hatuamini ktk ushindani wa hoja bali kuuana na kuteka a na kutishianaMajira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini