HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
MO ametupiga gap hapo kwenye mazao, mbao, sisal, teaWachana na Biashara za Kariakoo, fanya biashara ya mazao makavu.
Utazungusha hata billion 5 kwa siku bila shaka yoyote ile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MO ametupiga gap hapo kwenye mazao, mbao, sisal, teaWachana na Biashara za Kariakoo, fanya biashara ya mazao makavu.
Utazungusha hata billion 5 kwa siku bila shaka yoyote ile.
Faida yake ni 50 kwa kila chupa baada ya gharama zoteMo energy ya Mohamed Enterprises daily anauza chupa million moja.
1,000,000 × 600 = ?????[emoji848]
Ujue unaweza kaa mwezi bila kuuza engine hata 1?Kwenye spare ni rahisi maana injini moja tu inauzwa milioni 4 au 5,ila kwenye nguo suruali moja au shati zinauzwa elfu 20 sasa hadi uungeunge upate faida ya milioni 100 sio mchezo
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Ili upate 100M lzm uwe na mtaji wekezwa ktk biashara usiopungua tzs 1B. Hivyo, 100M ni 10% ya 1B
NotedWatu
Wanadhani mil100 ni makalio tu kila mtu anayo. Hizo nguo za elf tano tano ndio uuze faida ya mil100. Unauza makontena mangapi labda unakiwanda sasa.
Na sio wauza engine wote wanapata milioni 100 hapo naongelea wauza engine ambao wametengeneza wateja wengi,clients wa kununua kwa jumla mara kwa mara,makampuni.Ujue unaweza kaa mwezi bila kuuza engine hata 1?
You are correct.Hata Tshs 1 Bil huwezi pata net profit ya 100 mil per day.. It is impossible..!! In a month, you can manage net profit of tshs 100 mil for 1 bil investment..!!
Mmmmh jmn haya maishaYou are correct.
Kuna baadhi ya makampuni wamewekeza bilioni kadhaa za mtaji na bado hawapati milioni 100 kwa siku.
Umeongea ukweli ndugu,ingekuwa kariakoo kunapatikana hizo pesa kirahisi wakina Manji wangejazana pale pasingetosha aisee.Silent anaweza ingiza kupitia loose cargo ila hapati faida hiyo kwa siku.
Kwa wiki yawezekana kabisa.
Kina MO, Azam wanaingiza hiyo faida kwa siku
Kina MO, Azam, Azania, Murzah, Watercom, Hill, Jambo, Kamaka, Goodone, GoodwillUmeongea ukweli ndugu,ingekuwa kariakoo kunapatikana hizo pesa kirahisi wakina Manji wangejazana pale pasingetosha aisee.
yes kwa sababu wanauza in bulk kwa wholesalers na Agents sio pisi mojamoja kwa mtu mmoja mmoja.Kina MO, Azam, Azania, Murzah, Watercom, Hill, Jambo, Kamaka, Goodone, Goodwill
Hawa wote wanaweza ingiza sababu wao huuza mauzo makubwa zaidi ya 5bil kwa siku
Na faida zao zinahesabiwa kwa kila bidhaa
Mfano MO kwa anatengeneza zaidi ya Tani 1500 za Sabuni kwa wiki sawa na miche milioni 3 akisema faida iwe 50 kwa kila mche 1 tayari ana 150mil
Na masoko yake mengi ni nje ya nchi
Au zile soda zao wale faida ni ndogo ila wanauwezo wa kuuza chupa zaidi ya 100,000 kwa siku ambazo hata akiweka 50 anapata faida ya 5mil kwa siku.yes kwa sababu wanauza in bulk kwa wholesalers na Agents sio pisi mojamoja kwa mtu mmoja mmoja.
yes wanafocus na vitu vinavyowahusu jamii yote kwa ujumla.Au zile soda zao wale faida ni ndogo ila wanauwezo wa kuuza chupa zaidi ya 100,000 kwa siku ambazo hata akiweka 50 anapata faida ya 5mil kwa siku.
Na hapa ndo hawa ngozi nyeupe wanatushindia, wao huwaza kuuza wingi
Stori zake nyingi zilikuwa za uongo ila hii ilikuwa sahihi..Wewe unaamini story za jiwe?
Una amini kabisa?Stori zake nyingi zilikuwa za uongo ila hii ilikuwa sahihi..
Huyo Yusufali alikamatwa, akakaa ndani 3 years, akakiri kuiba na akanunua uhuru wake Kwa DPP kupitia Plea Bargaining!
Basi moja linauzwa milioni 400 kwa makadirio ya chini,piga hesabu hizo basi 20 aliteketeza bilioni ngapi?Ni karibia bilioni 10 mtaji wake kwa hiyo akipata faida ya milioni 100 kwa wiki si ajabuNina rafiki yangu alikuwa anafanya kazi Aboud bus service,alisema hivi
Walikuwa na mabasi 20 yote yalikuwa yanafanya rout za dar Moro kila siku na basi moja hufanya rout tatu kwa siku kabla ya torch kuanza.
Mabasi mengi yanalipa au kuingiza fedha nyingi kupitia mizigo wanayobeba kwenye buti,hats Kama basi likiondoka bila ya abiria lakini wao hasara hawapati.Hivyo kwa pesa uliyoizungumza watu wanaingiza kwa siku mpaka wiki
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Wewe usipoamini inatoshaUna amini kabisa?
Kariako kuna watu wanazungusha zaidi ya million 500 kwa siku.Hahaaaa!!!hoja tuliyokuwa tunaipinga wengi ni ya hao wanaosema eti pesa hiyo wafanyabiashara wa kariakoo wanaipata!!!
kwa mtu mmoja ni uwongo mkuu labda taasisi acha kupotosha watu, kama yupo straight na anapata kwa haki sasa si umtaje.Wapo wengi sana. Hujaijuwa Tanzania bado.
ukiwataja hao ni taasisi sio mtu mmoja, jamaa kauliza yeye kama yeye anaweza kufanya ishu gani aingize huo mpunga?Kariako kuna watu wanazungusha zaidi ya million 500 kwa siku.
Kumbuka, "kuzungusha" siyo faida.
Usiidharau Katiakoo, Kariakoo ni soko kubwa Afrika Mashariki na Kati.
Wafanya biashara wakubwa pia wapo Kariakoo, mfano GSM, Bakhressa, hao pamoja na wengibe wengi wasiotajika, ni Kariakoo.
Kariakoo ndiyo kitovu cha Biashara ya Tanzania.