Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,236
- 7,583
sasa kwani huyo ni mtu binafsi mkuu, hiyo si kama ishakuwa taasisi sasa?Mo energy ya Mohamed Enterprises daily anauza chupa million moja.
1,000,000 × 600 = ?????🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kwani huyo ni mtu binafsi mkuu, hiyo si kama ishakuwa taasisi sasa?Mo energy ya Mohamed Enterprises daily anauza chupa million moja.
1,000,000 × 600 = ?????🤔
Umeshawahi kufanya biashara ipi?kwa mtu mmoja ni uwongo mkuu labda taasisi acha kupotosha watu, kama yupo straight na anapata kwa haki sasa si umtaje.
Hakuna biashara inayoingiza faida kwa siku kila siku,kwa wiki kila wiki kwa mwezi kila mwezi.Petrol station inaweza kuingiza milioni mia kama faida k
Umeongea ukweli ndugu,ingekuwa kariakoo kunapatikana hizo pesa kirahisi wakina Manji wangejazana pale pas
Lakini sio faida sasa hapo toa running cost mzee utakuta faida ni 100 au chini ya hapoMo energy ya Mohamed Enterprises daily anauza chupa million moja.
1,000,000 × 600 = ?????🤔
Hayo ni mauzo sio faidaKumbuka huwezi kuingiza faida ya milioni 100 kwa muda ulosema kwa mtaji wa milioni mia mbili au hata milioni mia tatu au nne. Kwanza capital, pili aina ya biashara, tatu idadi ya wateja iwe large scale.
Nimeshuhudia kuna watu wanaingiza faida milioni mia tano kwa siku pale Kariakoo. Biashara ya simu za jumla wale ma agent waloingia ubia na viwanda vya simu China. Unakuta wafanyabiashara wote wanachukua mzigo kwake na kila Pisi moja unakuta faida elfu 5 tu na viswaswadu unakuta faida hadi buku tu. Sasa kwa siku anauza katoni nyingi sana za smartphone na viswaswadu brands zote itel, tecno, infinix, samsung n.k Na katoni moja mara nyingi ina simu 60pcs au 40pcs.
Ile sio biashara ni kamari,wanachofanya ni kukusanya pesa za wajinga kwa kuwalaghai.Tatu mzuka.....hawajamaa nazan wanaingiza kwa sekunde jaribu huku mkuu kwa mtaji wa m20 tu
ok kwamba ww unajua sana mwanangu sio?Ile sio biashara ni kamari,wanachofanya ni kukusanya pesa za wajinga kwa kuwalaghai.
Hapa tunaongelea biashara za halali
Wapi niliposema mimi najua sana?ok kwamba ww unajua sana mwanangu sio?
Kwa biashara ya nguo ???kiongozi million 100 ndogo sana kwa wafanya biashara watu wanaingiza milioni 500 kwa siku ijekuwa iyo 100.
[emoji23]Humu watu ni waongo nyie milioni 100 kwa saa kariakoo ipi labda [emoji23][emoji23][emoji23]