Hivi kweli kuna biashara ya kuingiza faida kuanzia milioni 100 na kuendelea kwa siku/wiki/mwezi?

Hivi kweli kuna biashara ya kuingiza faida kuanzia milioni 100 na kuendelea kwa siku/wiki/mwezi?

Yani unamaanisha karikaoo Kuna biashara ya kuingiza faida ya milioni Mia kwa siku? Au masaa? Faida peke yake? Huu uongo utakussidia nini mkuu?

Labda Kama unaongelea mtu Kama Silent ocean ana uhakika wa kupiga hiyo hela kwa siku,ila siyo zile biashara za nguo,urembo na vyombo.
Sasa kama umetaja Hadi mtu kua anaweza sasa uongo wake upo wap. Kwan hyo silent nn cjui anapesa peke ake dunia mzma au
 
Yani unamaanisha karikaoo Kuna biashara ya kuingiza faida ya milioni Mia kwa siku? Au masaa? Faida peke yake? Huu uongo utakussidia nini mkuu?

Labda Kama unaongelea mtu Kama Silent ocean ana uhakika wa kupiga hiyo hela kwa siku,ila siyo zile biashara za nguo,urembo na vyombo.
Hata mimi ilinishtua aisee,ukipiga hesabu ya haraka milioni 100 kwa siku,kwa mwezi ni faida ya bilioni 3,kwa mwaka ni bilioni 36 sasa mtu kama huyu si inabidi awe na kiwanda chake kwa nini aendelee kupanga fremu kariakoo na kufanya uchuuzi.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
huku arusha kuna wauzaji na suppliers wakubwa wa spare za magari, kupiga 100m kwa siku au siku kadhaa kwao kawaida mno....
Hao kweli wanapia kuna wale wahindi wa pale ungalimited nimewasahau jina wale kuna uwezekano kweli wanapiga maana wana stoo kubwa kila aina za spare hadi matairi ukitaka unapata.
Na hawategemei kuuza kwa mtu mmoja mmoja pia wanasambaza kwenye makampuni mbalimbali kwa jumla hapo ni rahisi kupata milioni 100.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Yani unamaanisha karikaoo Kuna biashara ya kuingiza faida ya milioni Mia kwa siku? Au masaa? Faida peke yake? Huu uongo utakussidia nini mkuu?

Labda Kama unaongelea mtu Kama Silent ocean ana uhakika wa kupiga hiyo hela kwa siku,ila siyo zile biashara za nguo,urembo na vyombo.
Silent anaweza ingiza kupitia loose cargo ila hapati faida hiyo kwa siku.
Kwa wiki yawezekana kabisa.

Kina MO, Azam wanaingiza hiyo faida kwa siku
 
Kiukweli kwenye spare siwezi kukataa, mkuu nguo tena anakuambia KWA masaa tu M100 ina ukakasi sana
Kwenye spare ni rahisi maana injini moja tu inauzwa milioni 4 au 5,ila kwenye nguo suruali moja au shati zinauzwa elfu 20 sasa hadi uungeunge upate faida ya milioni 100 sio mchezo

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Yale maduka mazuri ya kkoo yanawachanganya sana naona. Wafanyabiashara wa kkoo pale wana siri nzito moyoni kwa jinsi wanavyopigwa na maisha, faida inakatwa kwa asilimia kubwa na kodi ya pango, plus mzigo unaeza usiishe ndani ya muda uliotegemea maana maduka mengi alaf wanunuzi wachache sikuhz
Tatizo humu hakuna aliyewahi fanya biashara kkoo
 
Acha uongo wewe. Unaijua milioni 100 au unaisikia tu? Halafu unaijua milioni 100 kama faida? Kungekuwa na mabilionea wengi sana hapa Tanzania. Ina maana kwa mwaka faida ni bilioni 29 kitu ambacho hata makampuni makubwa ni ngumu sana kufikisha. Faida kwenye Jeans moja kwa bei ya jumla inachezea Tsh 2000 hadi 3000. Sasa jiulize auze jeans ngapi hadi hiyo 3000 iwe milioni 100 kwa siku.
Umeenda mbali sana, kuna watu wanadanganywa.
 
Kuna yule Muhindi aliyekuwa akivuta Tsh 7mil kila dakika🥱 maana yake kwa saa Moja alikuwa anatia kibindoni milioni 420 !!! (7 X 60 = 420)

Baadaye aliachiwa huru kupitia ule mchongo wa Plea bargaining.. Haijulikani alikabidhi kiasi gani kwa DPP..

Soma hapa:-
"Yusufali ambaye aliwahi kutajwa na Rais John Magufuli kuwa alikuwa akiibia Serikali Sh7 milioni kwa dakika kupitia mashine za kodi za kielektroniki (EFD), alirejea uraiani jana baada ya kukaa mahabusu kwa miaka mitatu kutokana na kukabiliwa na mashtaka ya utakatishaji fedha.

Hivyo Yusufali aliachiwa jana rasmi baada ya kukamilisha mchakato wa msamaha wa Rais kisheria mahakamani, kwa mujibu wa makubaliano yake na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) katika kesi ya pili iliyokuwa imebaki..." Source: Mwananchi
Wewe unaamini story za jiwe?
 
Yeah, kuna jamaa yangu miaka ya 2010 alikua anauza hadi milioni 500 kwa siku tena wilayani,, ila haikua faida, bali mapato ghafi
Wilayani huko kama ni supplier mkubwa unazua vizuri hata bilioni ila unakuta faida ni ndogo ndogo sana 200-500
 
Inaonekana waliochangia weng humu hawajui tofauti ya mauzo na faida.
Tuombe Mungu hii isiwe sample ya umbumbumbu wa kizazi hiki cha allucination!
Hiyo faida zungumzia kampuni za huduma[large tax payers] kama za mawasiliano au wazalishaji kama madini na si kwenye bazaar economy za kariakoo.
Labda kama tunajadiri biashara za sinaloa
Mederin Bongo bado sana
Hapa wengi mules
 
Kupata faida (net profit ) ya million 100 kwa siku, hapo ni lazima mauzo yako yawe milioni 600 hadi bilioni moja kwa siku

So kuna muuza nguo/spare anauza wastani wa milioni 800 kila siku? Ukizingatia competition ya Kariakoo?

Kumbuka hapa tunazungumzia net profit sio, gross profit
Yaani ushatoa mishahara, kodi ya serikali, kodi ya pango na overhead nyingine
Umeiweka kisomi mno hadi inakera
 
Kwa Abood inawezekana ila sio kwa siku, ni kampuni kubwa, hata makampuni kama Vodacom, ila sio maduka ya Kariakoo uingize wastani wa FAIDA ya milioni 100 kwa siku
Abood na mabasi yake haingizi hata ghafi ya milioni 100 kwa siku
 
Nendeni kwa mama wenga pale buguruni..uone Semi ngapi zinazopakia nondo,bati na cement kila siku kupeleka huko mikoani.

Watu kama kina Mo na Bakhresa hiyo pesa ni ndogo kuingiza kwa siku.

Waingizaji wa mbolea nchini na bidhaa mbalimbali za pembejeonnao wanakunja mkwanja mrefu sana .
Wameongelea KKOO
Faida

Hawajaongelea mauzo ghafi
 
Ndio zipo , Kariakoo watu wanaburuza hyo faida Kwa masaa, inatokana na bidhaa unaozouza , na mtaji ulio nao na coverage ya wateja , kama una coverage mpak nje ya nchi Mzee lazima ugonge tuu
Acha uongo wewe
 
Hizo biashara zipo ila ni wa chache sana sio hao mnao fikiria kkoo, mtu mwenye mtaji wa1.2bn ana weza kutegeneza hizo pesa kila baada ya siku 3 au 4.

Neenda Thailand anapakia container ya 40ft jeans za watoto na wavulana na gauni za wasichana kulijaza ni $120,000 ambao ni 260m shiping cost $4000, TRA clearance mwaka 2013 roughly 130m jumla, 390m unaleta 40fts nne mbili zina fika mbili ziko njiani kila 40ft unaiuza wanye maduka kakoo 415m bila kuifungua, kila moja faida ni 25m×4= 100k, hi biashara ipo na wajuzi wanazifanya tajiri hafunguwi duka kakoo hapana ni kumiliki yard na godowns.

Mkuuu kama 1.2bn unao njoo nikupe number za wenye viwanda vya nguoThailand, China usiende utakufa na pressure wanafanya duplication.
Umeongea la maana sana, ni sawa na wafanyavyo Wachina Mataa wa Congo na Narungombe, wanakuuzia viatu kontena zima
 
Watu wengine hata reasoning kidogo tu hawana watu wamewekeza kwenye uchimbaji madini lakini hiyo mil100 anaingiza ndani ya mwez na sometimes inafeli na niuwekezaji mkubwa. Sasa kariakoo kunauwekezaji gani hapo wa kuingiza mil100
Kwenye madini unaweza ipata au ukaikosa yote
 
Back
Top Bottom