Hizo biashara zipo ila ni wa chache sana sio hao mnao fikiria kkoo, mtu mwenye mtaji wa1.2bn ana weza kutegeneza hizo pesa kila baada ya siku 3 au 4.
Neenda Thailand anapakia container ya 40ft jeans za watoto na wavulana na gauni za wasichana kulijaza ni $120,000 ambao ni 260m shiping cost $4000, TRA clearance mwaka 2013 roughly 130m jumla, 390m unaleta 40fts nne mbili zina fika mbili ziko njiani kila 40ft unaiuza wanye maduka kakoo 415m bila kuifungua, kila moja faida ni 25m×4= 100k, hi biashara ipo na wajuzi wanazifanya tajiri hafunguwi duka kakoo hapana ni kumiliki yard na godowns.
Mkuuu kama 1.2bn unao njoo nikupe number za wenye viwanda vya nguoThailand, China usiende utakufa na pressure wanafanya duplication.