Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
SIO KARIAKOO.kiongozi million 100 ndogo sana kwa wafanya biashara watu wanaingiza milioni 500 kwa siku ijekuwa iyo 100.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIO KARIAKOO.kiongozi million 100 ndogo sana kwa wafanya biashara watu wanaingiza milioni 500 kwa siku ijekuwa iyo 100.
Sana mkuuHao wanayoiongelea kkoo wanaiongelea kwa hisia na maneno ya kuambiwa,ila kiuhalisia wako mbali na ukweli.
Biashara za kariakoo Zina Siri nyingi sana.
Yeah, kuna jamaa yangu miaka ya 2010 alikua anauza hadi milioni 500 kwa siku tena wilayani,, ila haikua faida, bali mapato ghafikiongozi million 100 ndogo sana kwa wafanya biashara watu wanaingiza milioni 500 kwa siku ijekuwa iyo 100.
Mnaongelea mauzo au faida?kwani hivi ni vitu viwili tofauti jamani?faida ya milioni 100 kwa siku sio mchezo?hapo mauzo yake yatakuwa ni kwenye bilioni kadhaa!?hakuna kitu kama hicho,tena kwa kariakoo??labda kwenye viwanda kama kina bakhresa,nk.bro kariakoo watu wanaingiza iyo pesa ndogo sana
Kwa mapato ghafi sawa!!watu wanachanga kati ya mapato ghafi na faida ghafiYeah, kuna jamaa yangu miaka ya 2010 alikua anauza hadi milioni 500 kwa siku tena wilayani,, ila haikua faida, bali mapato ghafi
Kupata faida (net profit ) ya million 100 kwa siku, hapo ni lazima mauzo yako yawe milioni 600 hadi bilioni moja kwa siku😂😂😂😂Wapo wale wamama wanatokea iringa wakinga kama sijakosea tunashinda nao kariakoo kiukweli wanauza sana lakini si KWA M100 KWA masaa tena nguo, mkuu spare ni biashara nzuri sana na KWA faida uliyotaja naweza kukubaliana nawe ILA japo mtaji nao unabid uwe mkubwa mkubwa, ILA hili la nguo 😂😂😂 BADO nalitafakari
Mwenyewe nimeshangaa sana, mwingine anasema eti kwa saa, wastani wa milioni 100 kwa saa (net profit)Inaonekana waliochangia weng humu hawajui tofauti ya mauzo na faida.
Tuombe Mungu hii isiwe sample ya umbumbumbu wa kizazi hiki cha allucination!
Hiyo faida zungumzia kampuni za huduma[large tax payers] kama za mawasiliano au wazalishaji kama madini na si kwenye bazaar economy za kariakoo.
Labda kama tunajadiri biashara za sinaloa
Kwa Abood inawezekana ila sio kwa siku, ni kampuni kubwa, hata makampuni kama Vodacom, ila sio maduka ya Kariakoo uingize wastani wa FAIDA ya milioni 100 kwa sikuNina rafiki yangu alikuwa anafanya kazi Aboud bus service,alisema hivi
Walikuwa na mabasi 20 yote yalikuwa yanafanya rout za dar Moro kila siku na basi moja hufanya rout tatu kwa siku kabla ya torch kuanza.
Mabasi mengi yanalipa au kuingiza fedha nyingi kupitia mizigo wanayobeba kwenye buti,hats Kama basi likiondoka bila ya abiria lakini wao hasara hawapati.Hivyo kwa pesa uliyoizungumza watu wanaingiza kwa siku mpaka wiki
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Hawa hawajui wanalolizungumzia Lina uwanda Gani. Faida m100 Kwa siku unajua mtajinkias Gani?Kwa Abood inawezekana ila sio kwa siku, ni kampuni kubwa, hata makampuni kama Vodacom, ila sio maduka ya Kariakoo uingize wastani wa FAIDA ya milioni 100 kwa siku
Sahihi kabisa mkuu, Ndo mana nikamwambia KWA hilo BADO haliniingii akilini.Kupata faida (net profit ) ya million 100 kwa siku, hapo ni lazima mauzo yako yawe milioni 600 hadi bilioni moja kwa siku
So kuna muuza nguo/spare anauza wastani wa milioni 800 kila siku? Ukizingatia competition ya Kariakoo?
Kumbuka hapa tunazungumzia net profit sio, gross profit
Yaani ushatoa mishahara, kodi ya serikali, kodi ya pango na overhead nyingine
Ukiwa na chini ya hyo vipi mkuuHizo biashara zipo ila ni wa chache sana sio hao mnao fikiria kkoo, mtu mwenye mtaji wa1.2bn ana weza kutegeneza hizo pesa kila baada ya siku 3 au 4.
Neenda Thailand anapakia container ya 40ft jeans za watoto na wavulana na gauni za wasichana kulijaza ni $120,000 ambao ni 260m shiping cost $4000, TRA clearance mwaka 2013 roughly 130m jumla, 390m unaleta 40fts nne mbili zina fika mbili ziko njiani kila 40ft unaiuza wanye maduka kakoo 415m bila kuifungua, kila moja faida ni 25m×4= 100k, hi biashara ipo na wajuzi wanazifanya tajiri hafunguwi duka kakoo hapana ni kumiliki yard na godowns.
Mkuuu kama 1.2bn unao njoo nikupe number za wenye viwanda vya nguoThailand, China usiende utakufa na pressure wanafanya duplication.
Kwa hiyo hapo huo mchakato wote kufanya kwa siku moja?Hizo biashara zipo ila ni wa chache sana sio hao mnao fikiria kkoo, mtu mwenye mtaji wa1.2bn ana weza kutegeneza hizo pesa kila baada ya siku 3 au 4.
Neenda Thailand anapakia container ya 40ft jeans za watoto na wavulana na gauni za wasichana kulijaza ni $120,000 ambao ni 260m shiping cost $4000, TRA clearance mwaka 2013 roughly 130m jumla, 390m unaleta 40fts nne mbili zina fika mbili ziko njiani kila 40ft unaiuza wanye maduka kakoo 415m bila kuifungua, kila moja faida ni 25m×4= 100k, hi biashara ipo na wajuzi wanazifanya tajiri hafunguwi duka kakoo hapana ni kumiliki yard na godowns.
Mkuuu kama 1.2bn unao njoo nikupe number za wenye viwanda vya nguoThailand, China usiende utakufa na pressure wanafanya duplication.