Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Si kweli, 23%( chama chenye mizizi wa wabaguzi) ndio walio wengi? Angalau wangefikia 40%, ningekuelewa.Mi nadhani Cha kujifunza ni kuwa jamii iliyo elimika haidanganyiki kirahisi hapa kwetu watu wamenyimwa elimu ndio maana wamegeuka chawa wakupigia kelele watawala
Ni vile TU hawasemi ila wa SA wengi wanataka DA irudi haraka madarakani sema ni vile wanavutavuta upepo kidogo
Kumbe ndyo haya yenye rangi ya kijani, sasa juu ya paa yalipanda vipi maana yana matumbo makubwa sanaNdo yale mangedele yaloimbwa na Kala Jeremiah kwamba yamekula mahindi yote alopanda Baba wa Taifa yakajibanza juu ya paa.
Huo uchaguzi sijaufuatilia sana, bado sijauelewa vzrelezea wanafamilia wa JF wajifunze na kuongeza ufahamu wa mambo haya π
Kumbe, miwa ya kukaanga au ya kuchemsha?Hapana
Ni sausage za miwa
Labda kuunda Serikali ya mseto tofauti na hapo hakuna kitu Cha maana kulenadhani Tanzania bado ni darasa na shule kuu ya kipekee mno ya demokrasia barani Africa. Ni nchi pekee ya wananchi wasiozingatia ukabila, ukanda wala rangi ya mtu kwenye uchaguzi.
Shukrani za kipekee ni kwa Baba wa Taifa Mw.J.K Nyerere kutujengea kama Taifa, utamaduni, mila na desturi hii ya kutokubaguana kulingana na misingi isiyofaa, iliyotuepusha na ubaguzi wa aina zote na kuchochea utu, heshma, haki na usawa kwa binadamu wote...
Kama Taifa,
hatuna budi kuitunza na kujivunia tunu hii muhimu sana, iliyokijita ndani ya mioyo ya waTanzania na inayotufanya kijilikana na kufahamika duniani kama kisiwa cha mani...
La muhimu ni AMANI na kwamba kasoro na dosari katika uchaguzi haziepukiki..
Mungu Ibariki Tanzania
Kumbuka wazungu SA ni 7%leo hii tunaona DA wakizidi kupanda kwa kura tena ndani ya mda mfupi sana kimsingi walipaswa kuwa chini sana kutokana na history ila Sasa wanahizo asilimia huenda miaka 20 ijayo ambapo kizazi Cha Umkontho kitakapokuwa kimepungua huenda kikarudi madarakaniSi kweli, 23%( chama chenye mizizi wa wabaguzi) ndio walio wengi? Angalau wangefikia 40%, ningekuelewa.
Yalipqndushwa na wananchi wapumbavu(chawa) na wiz wa kura.Kumbe ndyo haya yenye rangi ya kijani, sasa juu ya paa yalipanda vipi maana yana matumbo makubwa sana
Wasouth Africa sasa wamesha tambua adui yao halisi ni nani,Na siku DA wakishika madaraka SA basi tutashuhudia mageuzi ambayo sio ya kawaida ndani ya SA.Kumbuka wazungu SA ni 7%leo hii tunaona DA wakizidi kupanda kwa kura tena ndani ya mda mfupi sana kimsingi walipaswa kuwa chini sana kutokana na history ila Sasa wanahizo asilimia huenda miaka 20 ijayo ambapo kizazi Cha Umkontho kitakapokuwa kimepungua huenda kikarudi madarakani
Sasa itabidi moto uwashwe ili moshi uwapalie washuke huko juu ya dariYalipqndushwa na wananchi wapumbavu(chawa) na wiz wa kura.
Tunawasubir 2025 hatucheki na nyani.Sasa itabidi moto uwashwe ili moshi uwapalie washuke huko juu ya dari
Chawa wao wanataka kuiba mali za ummaChawa
Vijana wa Africa kusini Wanataka Ajira ππ