lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Mbona imekaa vzr, mfamasia shughuli yake kuu ni kusimamia manunuzi yote ya dawa kwenye eneo HUSIKA na kusimamia ugawanyaji ( kupokea order zote) toka dispensing na wodini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafamasia wanasema hilo jukumu lina mgongano wa kimaslahi na maafisa ugavi (procurement and supply), pia halina swaga za kiafya afya au kisayqnsi, limekaa kimchongo fulani.Mbona imekaa vzr, mfamasia shughuli yake kuu ni kusimamia manunuzi yote ya dawa kwenye eneo HUSIKA na kusimamia ugawanyaji ( kupokea order zote) toka dispensing na wodini.
Hizo dawa anazozisemea, more likely zitakuwa corticosteroids ila hakuna anachoelewa huyo, ndo maana hata hakushtuka wakati ndugu yake anakuwa prescribed dawa ambayo kwa maelezo yake mwenyewe ni kwamba, ndugu yake hakuwa na indication yeyote ya uhitaji wa hio dawa.Wewe ni mtaalamu unashindwaje kujua dawa zina side effect linaweza kutokea kama ilivyotokea kwa huyo mama yetu though ni case chache lakini hutokea nkupe mfamo mimi nkitumia dawa yeyote yenye asprin au paracentm kichwa huvimba na kuwa na manundu manundu it has nothng to do na wafamasia ni side effect tu
Sioni huo mgongano wa maslai kwa mfamasia akapendekeza dawa flani ndo zinapaswa kununulia na akamwachia mwenye kazi yake ya kuzinunua akafanya hvyo kuna shida gani tatizo tunajipaga majukumu yasiyo yetu mda mwingine makaziniWafamasia wanasema hilo jukumu lina mgongano wa kimaslahi na maafisa ugavi (procurement and supply), pia halina swaga za kiafya afya au kisayqnsi, limekaa kimchongo fulani.
Ndugu yangu wewe hujui dawa na vifaa tiba ni pesa?Sioni huo mgongano wa maslai kwa mfamasia akapendekeza dawa flani ndo zinapaswa kununulia na akamwachia mwenye kazi yake ya kuzinunua akafanya hvyo kuna shida gani tatizo tunajipaga majukumu yasiyo yetu mda mwingine makazini
Unatafuta basha, Mangi wa Dukani anaeuzia watu Panadol, caffeine na Dawa tatu ana medical professional ipi?Hakuna dawa inaitwa Ibufen, kafanye ushoga labda ila you are not even close to being a medical professional.
Nakubaliana nawe kabisa maslai ndo ugomvi hapo ila kila moja akasimama kwenye majukumu yake mivutano isingekuepoNdugu yangu wewe hujui dawa na vifaa tiba ni pesa?
Sasa shida iko hapo.
Kwa macho ya Daktari ugonjwa ni pesa!
Kwa macho ya mfamasia na procurement officer dawa ni pesa!
Kamape mangi dawa complex achana na hzo pain killers kama hajaua watuUnatafuta basha, Mangi wa Dukani anaeuzia watu Panadol, caffeine na Dawa tatu ana medical professional ipi?
Vitu basic vya kwenye first aid box unahitaji medical specialist?
Wewe itakuwa ni mzururaji tu hujawahi kuwepo maeneo ya kazi hujui issue ndogo mnamaliza wenyewe.
Jinga kabisa.
Kwa mtizmo wamgu wafamasia wa mahospitalini nawaonaga kama makanjanja tu. Wamekariri masomo kama makasuku.Kuna tofauti kubwa sana kati ya kujua sayansi ya dawa (Taaluma ya ufamasia) na sayansi ya kutibu (taaluma ya utabibu).
Wanasayansi wanasema, Msingi wa sayansi ya tiba (Medicine) uko kwenye kugundua ugonjwa (diagnosis) na kutibu ugonjwa (treatment), na dawa ni sehemu mojawapo tu katika kutibu, huwezi kumtenganisha Daktari na dawa, mfamasia ni msaidizi wa Daktari katika kufanikisha suala la tiba kwa mgonjwa.
Madaktari wa kibongo mi huwa siwaamini labda wa Muhimbili angalau. Nje ya hapo ni makanjanja tu. Wanatibu kwa jlkubahatishaUkiwa nje huwezi kuelewa na ni rahisi kufanya judgement. Tuheshimu taaluma za watu.
Umetisha Sana,
Kuna siku nimeingia morning report wilaya ya ilala, MD na Clinical officers wakaanza kubishana kwa kumpa mgonjwa wrong dose.., mwisho kabisa
Mfamasia akaongea kwamba mgonjwa alitakiwa kupewa dose flani kwa kiwango flani, na sio Kama madaktari walivyoandika apewe.
Mimi siyo mtu medicine mkuu, isitoshe mgonjwa alikuwa na complication kubwa.Wewe ni mtaalamu unashindwaje kujua dawa zina side effect linaweza kutokea kama ilivyotokea kwa huyo mama yetu though ni case chache lakini hutokea nkupe mfamo mimi nkitumia dawa yeyote yenye asprin au paracentm kichwa huvimba na kuwa na manundu manundu it has nothng to do na wafamasia ni side effect tu
Ila Bongo kuna Wafamasia wanawazidi madaktari.
Yupo mmoja namfahamu ana famasi yake na laboratory hapo na anatibu wagonjwa hasa wanawake na Watoto, hilo Nyomi lake si la kitoto, anapiga sana pesa.
Jamaa anajuwa Dawa nadhani ndio siri ya mafanikio yake.
Kuna first aid box inakaa dawa hizo au haujaelewa argument yangu ni nini?Kamape mangi dawa complex achana na hzo pain killers kama hajaua watu
La mwisho ndio sahihi, Kibunda kinafunga watendaji mdomo.Hawa mara nyingi hua wanatumia cheti Cha mtu aliyesomea udaktari au anakua na daktari wa kufanya diagnosis. Kinyume na hapo hua anahonga ili asichukuliwe hatua
Pharmacy extends beyond mere prescriptions, there is a supply chain issue at play. Have you ever considered that aspect?Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebishenu hili
Medical officer ana recommend dawa hakiwa Hana uzoefu wowote Wala Elimu kuhusu dawa, hii sio sawa,
Viongozi wetu wa juu Kuna sehemu mnakwama sana, waacheni wafamasia WAFANYIE kazi walichofundishwa darasani.
Si ndo maana kuna misiba mingi tunaishia kusema kazi ya Mungu haina makosa.
Nakubaliana nawe ila shida wewe unataka ligi unamwona kila mtu hajui zaidi yako ngoja nkuongezee kitu kwenye uelewa wako ukiacha hyo ya utaalamu mgonjwa anataka kutibiwa na dr flani kutona na huyo mtaalamu kufahamu historia ya ugonjwa madhalani alishawahi kumtibuMimi siyo mtu medicine mkuu, isitoshe mgonjwa alikuwa na complication kubwa.
Halafu kwa mtu muelewa madaktari wa binadamu nao wanazidiana experience usifikiri madaktari wote ni sawa.
Kama utachunguza hospitali nyingi kubwa watu huwa wanachaguwa appointment za madaktari wa kuwaatend.
Mfano Moi kwenye issue ya nuero kuna Dr Kinasha ndio mwamba wa kufanya surgery hiyo, Dr Mwingine anamfanyia mtu tatizo la spinal code lazima ubend.
Unaongelea vitu kirahisi bila kujuwa.