Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na watu huwa wanaliwa sana vichwa kwenye hiyo mitihaniKupata Proffessional license ya kuwa certified pharmacist lazima ufanye mtihani wa bodi ya ufamasia Tanzania ,kama ilivyo kwa law school kwa wanasheria , medical board kwa watu wa Medicine nk
Watoto wa intern mnalalamikiaga kila kitu. Hamna akili kabisa yaaniMtoto Bibi yako ,koma
Huwa ni chemical processing engineerNahisi tunachanganya pharmacist na pharmaceutical engineer.
Aisee Kumbe unasomea fani ya kubani cd na kuweka miziki kwenye flashi na simu😁Comuter science mkuu
na kuedit picha za wadada🤣Aisee Kumbe unasomea fani ya kubani cd na kuweka miziki kwenye flashi na simu😁
Bangi siyo nzuri, wapi nimesema anaruhusiwa?Hii ni obvious chai kabisa. Hakuna pharmacist anaweza kutibu zaidi ya Medical Officer, this is very wrong. Wanaweza wakawa na uelewa sahihi na wa kushahibiana kwenye prescription za dawa ila kwenye kutibu (taking hx, knowing what right investigation to do and formulating right diagnosis) Medical Officer knows and can do a lot compared to hao watu wa dawa. Na hii, hiko wazi wala haina uhitaji wa ubishi. Na get to know this, kisheria huyo mtu wako wa dawa haruhusiwi kufanya hayo anayoyafanya hapo kwenye maelezo yako.
Umeusemea vyema mjadala:Very interesting topic.
Lazima kuwe na connection kati ya mfamasia na tabibu. Ili wakutane mahali ni lazima kuna masomo wanasoma yanayowakutanisha mahali. At the end, wote lazima wajue kufanya diagnosis(mfamasia kwa kiwango kidogo na tabibu kwa kiwango kikubwa), wote lazima wajue kufanya prescription (mfamasia kwa kiwango kikubwa na tabibu kwa kiwango fulani).
Huu ni uongo, Clinical officer hawezi kukaa hospitali ya wilaya. Tena afadhali ingekuwa peripheral huko, ila Ilala hapo hauwezi kumkuta CO kwenye district hospitalUmetisha Sana,
Kuna siku nimeingia morning report wilaya ya ilala, MD na Clinical officers wakaanza kubishana kwa kumpa mgonjwa wrong dose.., mwisho kabisa
Mfamasia akaongea kwamba mgonjwa alitakiwa kupewa dose flani kwa kiwango flani, na sio Kama madaktari walivyoandika apewe.
Nimeeleza kwenye post za juu, kuna mama yangu Fulani tumezika kwa sababu ya Dawa zilikuwa zinashusha immunity badala ya kumtibu, sitaki kutaja jina la hospitali itakuwa si uungwana lakini hospitali kubwa tuHata hyo miaka minne wanasoma kwa pressure haitoshi mwili binadamu uko delicate sana ukiingiza kitu kigeni kwa kiwango kisichotakiwa jua unaudhuru mwili kwa sumu kwani hzo dawa anazogawa ni sumu na zinaua zikitumika bila usimamizi wa mtaalamu hvyo jaribu kuwaheshimu
Hakuna dawa inaitwa Ibufen, kafanye ushoga labda ila you are not even close to being a medical professional.Bangi siyo nzuri, wapi nimesema anaruhusiwa?
Uliza Muhimbili kuna kichwa kinaitwa Dr Kabote MD ni surgeon mzuri sana, kwenye huo mtaa alichukuliwa na dispensary moja kufanya consultation akitoka Muhimbili alikosa wagonjwa na anawaona kwa jamaa Nyomi linamsubiri mfamasia afike SAA 12 jioni kwenye pharmacy yake aanze kuhudumia wateja na yeye MD mzima hana mgonjwa amekaa tu barazani.
Tatizo la watu wajinga unadhani kila mtu yuko mtandaoni kuandika ujinga wakati hapa tunashare experience.
Mimi hapa nilipo nipo camp na first aid box Mimi ndio Mfamasia wao, Wa kumpa Flamar najuwa, wa kumpa ibufen najuwa and likes, nidanganye ili nifaidike nini?
Jinga kabisa.
Wewe huna akili, first aid box hazitumiwi na madaktari pumbavu wewe.Hakuna dawa inaitwa Ibufen, kafanye ushoga labda ila you are not even close to being a medical professional.
Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebishenu hili
Medical officer ana recommend dawa hakiwa Hana uzoefu wowote Wala Elimu kuhusu dawa, hii sio sawa,
Viongozi wetu wa juu Kuna sehemu mnakwama sana, waacheni wafamasia WAFANYIE kazi walichofundishwa darasani.
Yaani angalia hata vitu unavyojibu, ujinga ujinga mwingi sana. Sasa aliyekwambia ukiwa unaingia laboratory ndo kujua ku diagnose ni nani..?Na Laboratory wanafanya nini?
Wewe umeona nimeandika jina la dawa hapo?
Mimi nimesema 2x3.
Wewe ni mtaalamu unashindwaje kujua dawa zina side effect linaweza kutokea kama ilivyotokea kwa huyo mama yetu though ni case chache lakini hutokea nkupe mfamo mimi nkitumia dawa yeyote yenye asprin au paracentm kichwa huvimba na kuwa na manundu manundu it has nothng to do na wafamasia ni side effect tuNimeeleza kwenye post za juu, kuna mama yangu Fulani tumezika kwa sababu ya Dawa zilikuwa zinashusha immunity badala ya kumtibu, sitaki kutaja jina la hospitali itakuwa si uungwana lakini hospitali kubwa tu
Yaani Mkuu umemuelewesha kwa level ya juu sana na kwa hekima sana maana anatia hadi hasira anavyoshindwa ku grasp knowledge ndogo hivyo. Hizi topic tunazo kila mwaka, watoto wakianza intern. Na hapa wameanza ku report last week, kwahyo jaribu tu kuwaelewa kwamba they are frustrated na Job description yao.Mmmmh!
Hapana kwa 100%.
Huwezi na huruhusiwi kufanya prescription kama huna hizi sifa.
1. Hujaapishwa kutibu mtu (Hii previlege wamepewa madaktari tu)
2. Huna mamlaka na hufahamu wa kufanya diagnosis. (Hili lipo mikononi mwa madaktari tu)
Hata hao madaktari wana level mbalimbali katika kufanya prescription, sio kila daktari anaweza (anaruhusiwa) kufanya prescription fulani.
Ndio maana mpaka leo hii, dunia nzima kuna Prescription huwezi kuandikiwa na Daktari yoyote, ni mpaka level fulani ya Daktari wa specialised fulani ndio ana ruhusa hiyo.