Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy miaka 4 kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili

Mbona imekaa vzr, mfamasia shughuli yake kuu ni kusimamia manunuzi yote ya dawa kwenye eneo HUSIKA na kusimamia ugawanyaji ( kupokea order zote) toka dispensing na wodini.
Wafamasia wanasema hilo jukumu lina mgongano wa kimaslahi na maafisa ugavi (procurement and supply), pia halina swaga za kiafya afya au kisayqnsi, limekaa kimchongo fulani.
 
Hizo dawa anazozisemea, more likely zitakuwa corticosteroids ila hakuna anachoelewa huyo, ndo maana hata hakushtuka wakati ndugu yake anakuwa prescribed dawa ambayo kwa maelezo yake mwenyewe ni kwamba, ndugu yake hakuwa na indication yeyote ya uhitaji wa hio dawa.

Sasa imagine mtu ambaye haelewi hata indication za certain drugs, anapata uwezo wa kukosoa kwamba daktari alikosea kumpa hizo dawa ndugu yake..??
Hii nchi tunaendekeza sana ujinga, watu wajinga wana confidence ya kuongea hata upumbavu mbele ya watu bila kujishtukia, upuuzi kabisa.
 
Wafamasia wanasema hilo jukumu lina mgongano wa kimaslahi na maafisa ugavi (procurement and supply), pia halina swaga za kiafya afya au kisayqnsi, limekaa kimchongo fulani.
Sioni huo mgongano wa maslai kwa mfamasia akapendekeza dawa flani ndo zinapaswa kununulia na akamwachia mwenye kazi yake ya kuzinunua akafanya hvyo kuna shida gani tatizo tunajipaga majukumu yasiyo yetu mda mwingine makazini
 
Sioni huo mgongano wa maslai kwa mfamasia akapendekeza dawa flani ndo zinapaswa kununulia na akamwachia mwenye kazi yake ya kuzinunua akafanya hvyo kuna shida gani tatizo tunajipaga majukumu yasiyo yetu mda mwingine makazini
Ndugu yangu wewe hujui dawa na vifaa tiba ni pesa?
Sasa shida iko hapo.

Kwa macho ya Daktari ugonjwa ni pesa!
Kwa macho ya mfamasia na procurement officer dawa ni pesa!
 
Hakuna dawa inaitwa Ibufen, kafanye ushoga labda ila you are not even close to being a medical professional.
Unatafuta basha, Mangi wa Dukani anaeuzia watu Panadol, caffeine na Dawa tatu ana medical professional ipi?

Vitu basic vya kwenye first aid box unahitaji medical specialist?

Wewe itakuwa ni mzururaji tu hujawahi kuwepo maeneo ya kazi hujui issue ndogo mnamaliza wenyewe.

Jinga kabisa.
 

Attachments

  • IMG20231119213144.jpg
    559.4 KB · Views: 4
  • IMG20231119212950.jpg
    694.5 KB · Views: 3
Kamape mangi dawa complex achana na hzo pain killers kama hajaua watu
 
Kwa mtizmo wamgu wafamasia wa mahospitalini nawaonaga kama makanjanja tu. Wamekariri masomo kama makasuku.

Wafamasia vipanga ni wale wa viwandani wanaotengeneza madawa.

Hawa wa mahospitalini ni wale slow learner ambao kazi yao ni kugawa panado kwa wagonjwa.
 
Duuuh
 
Mimi siyo mtu medicine mkuu, isitoshe mgonjwa alikuwa na complication kubwa.

Halafu kwa mtu muelewa madaktari wa binadamu nao wanazidiana experience usifikiri madaktari wote ni sawa.

Kama utachunguza hospitali nyingi kubwa watu huwa wanachaguwa appointment za madaktari wa kuwaatend.

Mfano Moi kwenye issue ya nuero kuna Dr Kinasha ndio mwamba wa kufanya surgery hiyo, Dr Mwingine anamfanyia mtu tatizo la spinal code lazima ubend.

Unaongelea vitu kirahisi bila kujuwa.
 
Hawa mara nyingi hua wanatumia cheti Cha mtu aliyesomea udaktari au anakua na daktari wa kufanya diagnosis. Kinyume na hapo hua anahonga ili asichukuliwe hatua
 
Pharmacy extends beyond mere prescriptions, there is a supply chain issue at play. Have you ever considered that aspect?
Mbali ya hilo, kuna mengine mengi kama kama haya;
  1. Kutoa ushauri na maelekezo kwa wagonjwa kuhusu matumizi sahihi ya dawa na afya kwa ujumla.
  2. Usimamizi wa Tiba - Kufuatilia matokeo ya matibabu na kushirikiana na watoa huduma wengine kuhakikisha ufanisi wa matibabu.
  3. Elimu ya Afya - Kutoa elimu kwa jamii kuhusu magonjwa, kinga, na matumizi sahihi ya dawa.
  4. Kuna kufanya au kushiriki tafiti mbalimbali.
  5. Utengenezaji wa madawa viwandani
Wengi tunamuangalia Mfamasia pale kwenye kale kachumba ka kugawia madawa pale kwenye health facilities
 
Nakubaliana nawe ila shida wewe unataka ligi unamwona kila mtu hajui zaidi yako ngoja nkuongezee kitu kwenye uelewa wako ukiacha hyo ya utaalamu mgonjwa anataka kutibiwa na dr flani kutona na huyo mtaalamu kufahamu historia ya ugonjwa madhalani alishawahi kumtibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…