Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Maendeleo yanaanza kichwani kwako halafu Ndio yanasambaa duniani. Badilika kwanza wewe.Pamoja na ubovu wa katiba lakini lazima kuwe na seriousness katika maendeleo ya nchi. Tunaweza kuwa na viongozi wasiokubalika kidemokrasia lakini tupate maendeleo!
OfcourseHizi nafasi sifa yake kuu ni kujua kusifia basi.
Ni nafasi ya kulinda kiti cha Rais wilayani.
RPC ni wilaya.
OCD ni wakuu wa vituo vya polisi. Mimi mwenyewe nina Anko amewahi kuwa OCD.
Vijana wa Arusha waliona DC anakuwaje ,Kenan Kaacha Legacy wasioishi Arusha Mjini hawawezi elewa nanchosema .Kwa namna ulivyoteua ma-DC sioni kama uko serious. Nafasi ya u-DC inashuka hadhi kila kukicha, kwa sababu inaonyesha kila mtu anaweza kitu ambacho si kweli.
DC ni mtu ambaye anatakiwa atoe dira ya maendeleo ya wilaya yake lakini kwa baadhi ya hawa uliowateua ni sawa na wapiga debe wa daladala! DC ni mtu ambaye anatakiwa kumshauri RC kudumisha amani ndani ya wilaya yake lakini hawa ni ma-DJ watakaokesha katika kumbi za starehe. DC ni mlezi wa vijana katika wilaya yake lakini hawa ni comedians.
Kwa kifupi hakuna uongozi katika wilaya, hakuna mlezi, hakuna busara uliyopeleka wilayani bali kuna washereheshaji! Tafadhali Rais Samia hebu kuwa serious kidogo wananchi tupate imani! Nalilia nchi yangu inavyoangamia! Hawa vijana wako angalau wangepewa orientation ya uongozi!
Mungu ibariki Tanzania!
Nilipata shida kidogo kuiweka nilivyoiweka; kwa sababu mwanzo nilitaka kuiweka kama ulivyoiweka hapa wewe.
Kwa vyovyote na iwavyo, hakuna nafuu kokote.
A u serious?DC ni cheo ambacho hata kisipokuwepo hakuna kitakachokwama.
Sema maRPC ndio watakaopata tabu, imagine utatakiwa kuwaheshimu hao kama wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama🤣
Uaskari ni kazi ngumu sana.
Achana na hizi concepts za kilofa. Wanaoidhinisha nchi za Africa zipewe misaada baadhi ni mawaziri wanawake.Women should never lead men in power, politics and authority. Hayo ndiyo matokeo yake ......
Tuliza mshono upate akili, maana tulipokuwa tunakuambia ya maana ulituona wapuuzi.EeeenHeeee!
Nacheka huku nikilia machozi kwa nchi yangu Tanzania.
Tunatoka kwenye kikaango tunaangukia kwenye makaa ya moto mkali.
Mungu Ibariki Tanzania.
Umenena vyema.Tuliza Wenge wewe ,Nyinyi kila kitu kusifia,hautakiwi kusifia kila kitu mkuu ,mtu akifanya vizuri anasifiwa akifanya vibaya anaambiwa ukweli....Huo ndio uhuru wa kutoa maoni.
Hiyo nafasi haihitaji uzoefu hata wewe tukikupa ukuu wa Mkoa sasa hivi unafanya bila tabu yeyote.ninachokiona ni hizo nafasi zifutwe maana hazina kazi.MKOA WA DAR UNAHITAJI maDC WAZOEFU. SASA UNAMCHAGUA HERI JAMES NA FATMA ALMAS WAJE WAJIFUNZIE DAR? SI WANGEANZIA NAMTUMBO AU URAMBO HUKO
Ipo siku utakumbuka tulichokuwa tunakitetea hapa JFNi kweli, lakini sahihi ni kusema "tutaungua tu hamna namna", kwa maana hata nyinyi wapiga vigelegele tumo pamoja kwenye kikaango kisichobagua.
Kwani anawabeba mgongoni? Kwanza niki ni kijana msomi kuliko hata ma DC wengi walioteuliwa.ingawa usomi na uongozi vitu viwili tofauti.Yaani kweli Nikki wa Pili anaenda kulisimamia na kuwa juu ya jeshi la polisi la wilaya pamoja na maafisa usalama wilaya???
Mtanzania huwa hana jema hata siku moja.Utulivu wa akili ndiyo msingi wa yote bila hivyo mafanikio yatakuwa kidogo sana!