[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu!!! Onea watu huruma hata kdg.Kuna huyu hapa mwamba wa kaskazini jamaa ana sauti flani amaizing inanipeleka mbali mpk nasahau shida za dunia.
Nyie wenye sauti km kuku muungane na Moze Iyobo kukata mauno dabilisibiu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni Moze Iyobo
😂😂😂 Sasa mwanaume gani huna hata sauti ya kuimbia hip hop??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu!!! Onea watu huruma hata kdg.
Sasa utafokaje humo ndani kama sauti niya mozeiyoboNaomba ladies mfunguke kuhusiana na hilo swali langu hapo juu.
Asante
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Huna sauti nzito
Huna ndevu
Huna pesa
Huna nguvu
Wewe nani sasa ?
Unaweza kuta huyo jamaa siyo riziki. Mwanaume halisi hawezi uliza hili swaliSauti ndiyo inatunza mke ndani?
Tuanzie hapo kwanza 🤒
I LOVE YOU JOA!!💞💞Sasa unataka tufanane sauti,?
Mwanaume asipokua na ndevu,asipokua na sauti nzito huwa simwelewi,,,,,,sijuh namuonaje
Napenda mwanaume awe mwanaume,awe na sauti ya mamlaka
Yaani akiniambia sitaki ufanye kitu flani basi naacha.
Mwanaume nikiongozana naye basi nijione niko salama
Sasa ndevu huna
Sauti nzito flan huna
🤔🤔🤔
Aaaaaaaaah
Hili song huwa nalikubali sana misibani, linagusa sana moyo.View attachment 2971969
Hii ya huyu mheshimiwa ni ya tatu, sasa dhania ya pili itakuwaje.
Ujumbe mzuri sana.Mnavyojadili utafikiri mna uwezo wa kujiongeza hata unywele mmoja tu. hao mnaowasema na sauti gani sijui hawakujiumba. hivyo hivyo na kwa wanawake wenye sauti za kiume, wanaume wasio na ndevu vs wanawake wenye ndevu, au sisi wanaume weney garden love vs wengine ambazo pengine hawana garden, warefu kwa wafupi, wanene kwa wembamba, weusi na weupe n.k. hayo yote ni Mungu amefanya, cha muhimu tu wewe kama ulizaliwa mwanaume uishi kama mwanaume, and vise versa is true.
Kenya kuna dada mmoja anaitwa Sara Kiarike (wengi humwita Sara K), anaimba vizuri sana. inasemakana alizaliwa pacha na mwenzake, mwezie alikua na uwezo sana darasani, yeye hakuwa na uwezo, mwenzie alipendwa yeye mara nyingi alikuwa akishindwa anatukanwa " lisauti lako kubwa", Mungu alimpandisha polepole kwa lile lile lisauti likubwa kama la mwanaume likiimba akawa mwanamziki mkubwa sana anayeimba hata kwenye hafla za kitaifa mbele ya Rais wa nchi. Anajulikana na kuheshimika duniani kuliko hata mwenzake ambaye hata hatumjui.
hapo ndipo nilijifunza kutobagua watoto wala kuonyesha kumpenda huyu zaidi ya mwingine. mwanangu hata akifelis huleni kuliko wenzake huwa simkatishi tamaa, namwambia mbona umejitahidi tu, siku nyingine utafanya vizuri zaidi ya hivi, kazana. basi, ila siwezi kumwambia wewe huna akili kuliko fulani au kwanini fulani amefauli wewe umefeli?
Ndevuu zangu sinyoi ata iwejeSasa unataka tufanane sauti,?
Mwanaume asipokua na ndevu,asipokua na sauti nzito huwa simwelewi,,,,,,sijuh namuonaje
Napenda mwanaume awe mwanaume,awe na sauti ya mamlaka
Yaani akiniambia sitaki ufanye kitu flani basi naacha.
Mwanaume nikiongozana naye basi nijione niko salama
Sasa ndevu huna
Sauti nzito flan huna
🤔🤔🤔
Aaaaaaaaah
KivpMwanaume usiyejiamini utakua mtumwa sana kwangu
Mnavyojadili utafikiri mna uwezo wa kujiongeza hata unywele mmoja tu. hao mnaowasema na sauti gani sijui hawakujiumba. hivyo hivyo na kwa wanawake wenye sauti za kiume, wanaume wasio na ndevu vs wanawake wenye ndevu, au sisi wanaume weney garden love vs wengine ambazo pengine hawana garden, warefu kwa wafupi, wanene kwa wembamba, weusi na weupe n.k. hayo yote ni Mungu amefanya, cha muhimu tu wewe kama ulizaliwa mwanaume uishi kama mwanaume, and vise versa is true.
Kenya kuna dada mmoja anaitwa Sara Kiarike (wengi humwita Sara K), anaimba vizuri sana. inasemakana alizaliwa pacha na mwenzake, mwezie alikua na uwezo sana darasani, yeye hakuwa na uwezo, mwenzie alipendwa yeye mara nyingi alikuwa akishindwa anatukanwa " lisauti lako kubwa", Mungu alimpandisha polepole kwa lile lile lisauti likubwa kama la mwanaume likiimba akawa mwanamziki mkubwa sana anayeimba hata kwenye hafla za kitaifa mbele ya Rais wa nchi. Anajulikana na kuheshimika duniani kuliko hata mwenzake ambaye hata hatumjui.
hapo ndipo nilijifunza kutobagua watoto wala kuonyesha kumpenda huyu zaidi ya mwingine. mwanangu hata akifelis huleni kuliko wenzake huwa simkatishi tamaa, namwambia mbona umejitahidi tu, siku nyingine utafanya vizuri zaidi ya hivi, kazana. basi, ila siwezi kumwambia wewe huna akili kuliko fulani au kwanini fulani amefauli wewe umefeli?
Pongezi sana ndugu yangu, namshukuru Mungu kunijalia kutokumkosoa mtu kwa vile alivyo umbwa.Mnavyojadili utafikiri mna uwezo wa kujiongeza hata unywele mmoja tu. hao mnaowasema na sauti gani sijui hawakujiumba. hivyo hivyo na kwa wanawake wenye sauti za kiume, wanaume wasio na ndevu vs wanawake wenye ndevu, au sisi wanaume weney garden love vs wengine ambazo pengine hawana garden, warefu kwa wafupi, wanene kwa wembamba, weusi na weupe n.k. hayo yote ni Mungu amefanya, cha muhimu tu wewe kama ulizaliwa mwanaume uishi kama mwanaume, and vise versa is true.
Kenya kuna dada mmoja anaitwa Sara Kiarike (wengi humwita Sara K), anaimba vizuri sana. inasemakana alizaliwa pacha na mwenzake, mwezie alikua na uwezo sana darasani, yeye hakuwa na uwezo, mwenzie alipendwa yeye mara nyingi alikuwa akishindwa anatukanwa " lisauti lako kubwa", Mungu alimpandisha polepole kwa lile lile lisauti likubwa kama la mwanaume likiimba akawa mwanamziki mkubwa sana anayeimba hata kwenye hafla za kitaifa mbele ya Rais wa nchi. Anajulikana na kuheshimika duniani kuliko hata mwenzake ambaye hata hatumjui.
hapo ndipo nilijifunza kutobagua watoto wala kuonyesha kumpenda huyu zaidi ya mwingine. mwanangu hata akifelis huleni kuliko wenzake huwa simkatishi tamaa, namwambia mbona umejitahidi tu, siku nyingine utafanya vizuri zaidi ya hivi, kazana. basi, ila siwezi kumwambia wewe huna akili kuliko fulani au kwanini fulani amefauli wewe umefeli?
Sana ndugu yangu , huwa wimbo unaacha tafakari kubwa sana unapoimbwa.Hili song huwa nalikubali sana misibani, linagusa sana moyo.
ili nalo ni neno zuri kutoka kwa Roho Mt. Mungu akulindeMnavyojadili utafikiri mna uwezo wa kujiongeza hata unywele mmoja tu. hao mnaowasema na sauti gani sijui hawakujiumba. hivyo hivyo na kwa wanawake wenye sauti za kiume, wanaume wasio na ndevu vs wanawake wenye ndevu, au sisi wanaume weney garden love vs wengine ambazo pengine hawana garden, warefu kwa wafupi, wanene kwa wembamba, weusi na weupe n.k. hayo yote ni Mungu amefanya, cha muhimu tu wewe kama ulizaliwa mwanaume uishi kama mwanaume, and vise versa is true.