Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,204
- 5,053
Kuteka mji Mkuu ndani ya muda mfupi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Logic yako haitamake sense mpaka ukieka "Hannibal directive"Nimekuwa nikijiuliza kwa muda sasa bila kupata majibu.
Kwa nini Hamas walianzisha chokochoko ambayo msukosuko wake hawawezi kuustahimili?
Wapalestina wa Gaza wanapaswa kuilaani kabisa Hamas na kuipinga kwa hali zote.
Ndiyo, Wapalestina hao wa Gaza walikuwa wanaishi kwenye mazingira magumu sana, kwa hisani ya Israel.
Lakini kabla ya Oktoba 7, hali haikuwa mbaya kama ilivyo hivi sasa.
Sasa hao Hamas wakijua kabisa uwezo wao pamoja na ule wa adui yao, kwa nini waanzishe songombingo ambaye walijua kabisa hawawezi kuimudu?
Labda walikuwa wakiichukulia poa Israel.
Viongozi wa Hamas ni wapumbavu sana. Gaza haitorudi kuwa Gaza tena.
Ndo matatizo ya kuongozwa na watu wapumbavu.
In the end, was it all worth it? I think not.
Hivi upo serious kweli Mwamba?Logic yako haitamake sense mpaka ukieka "Hannibal directive"
Lengo la Hamas ni kuteka Askari wa IDF ili kubadilishana Mateka. Kitu ambacho walifanikiwa.
Israel akaja akaua Raia wake na Kulipua Concert, inakadiriwa takriban Raia 600-800 wameuliwa na Polisi wa Israel na Sio Hamas.
Janga lote hilo akabwagiwa Hamas na issue kukuzwa na propaganda zikaanza sijui watoto walichinjwa, na wengine wakawekwa kwenye Oven etc.
Baada ya kuonyesha Israel inapigika ? Baadae imekuwaje ?Kuonesha dunia kwamba israel anaweza kupigika kiurahisi saana
Serious with evidence, chochote ambacho unakiona hapo unaona kama kamba kina ushahidi wake.Hivi upo serious kweli Mwamba?
😁😁
Haki kama ipi kwa mfano. Ukienda leo Israel unaweza kunitofautishia kati ya jews na hao waarabu kimaisha au kikawaida.Hao waarabu wanaoishi dola la kikaburu la kizayuni (Nabii Israel/Ya'aqub (Amani iwe juu yake) yuko mbali nao, nao wako mbali ya yeye) wanaishi kama second class citizens wakinyimwa baadhi ya haki zao, sio kwamba wako poa kabisa.
Wameanzisha vita ambayo hawawezi kushinda.Wana malalamiko ya msingi lakini njia wanazotumia kudai haki hazikua sahihi
Dah nikikumbuka iyo October 7 walivyokuwa wakibweka Allah akbar Allah akabar na kukata mauno hadharani. Basi huyo Allah angewasaidia sasa anawaogopa wayahudi ambao amewaumba?Nimekuwa nikijiuliza kwa muda sasa bila kupata majibu.
Kwa nini Hamas walianzisha chokochoko ambayo msukosuko wake hawawezi kuustahimili?
Wapalestina wa Gaza wanapaswa kuilaani kabisa Hamas na kuipinga kwa hali zote.
Ndiyo, Wapalestina hao wa Gaza walikuwa wanaishi kwenye mazingira magumu sana, kwa hisani ya Israel.
Lakini kabla ya Oktoba 7, hali haikuwa mbaya kama ilivyo hivi sasa.
Sasa hao Hamas wakijua kabisa uwezo wao pamoja na ule wa adui yao, kwa nini waanzishe songombingo ambaye walijua kabisa hawawezi kuimudu?
Labda walikuwa wakiichukulia poa Israel.
Viongozi wa Hamas ni wapumbavu sana. Gaza haitorudi kuwa Gaza tena.
Ndo matatizo ya kuongozwa na watu wapumbavu.
In the end, was it all worth it? I think not.
Walijazwa upepo na Iran kwamba atawaunga mkono kwenye harakati zao kupitia Hizbullah, Houth na wale wanamgambo kule Iraq.Nimekuwa nikijiuliza kwa muda sasa bila kupata majibu.
Kwa nini Hamas walianzisha chokochoko ambayo msukosuko wake hawawezi kuustahimili?
Wapalestina wa Gaza wanapaswa kuilaani kabisa Hamas na kuipinga kwa hali zote.
Ndiyo, Wapalestina hao wa Gaza walikuwa wanaishi kwenye mazingira magumu sana, kwa hisani ya Israel.
Lakini kabla ya Oktoba 7, hali haikuwa mbaya kama ilivyo hivi sasa.
Sasa hao Hamas wakijua kabisa uwezo wao pamoja na ule wa adui yao, kwa nini waanzishe songombingo ambaye walijua kabisa hawawezi kuimudu?
Labda walikuwa wakiichukulia poa Israel.
Viongozi wa Hamas ni wapumbavu sana. Gaza haitorudi kuwa Gaza tena.
Ndo matatizo ya kuongozwa na watu wapumbavu.
In the end, was it all worth it? I think not.
Wapalestina zaidi ya elfu 40 wameuliwa!Kwa yule asiyefikiria mbali anafikira Hamas walikosea, sasa kwa taarifa tu lengo lao ni hili hapa kama hiyo lugha haikupi shida:
MSN
www.msn.com
Walitumainishwa na Irani!Nimekuwa nikijiuliza kwa muda sasa bila kupata majibu.
Kwa nini Hamas walianzisha chokochoko ambayo msukosuko wake hawawezi kuustahimili?
Wapalestina wa Gaza wanapaswa kuilaani kabisa Hamas na kuipinga kwa hali zote.
Ndiyo, Wapalestina hao wa Gaza walikuwa wanaishi kwenye mazingira magumu sana, kwa hisani ya Israel.
Lakini kabla ya Oktoba 7, hali haikuwa mbaya kama ilivyo hivi sasa.
Sasa hao Hamas wakijua kabisa uwezo wao pamoja na ule wa adui yao, kwa nini waanzishe songombingo ambaye walijua kabisa hawawezi kuimudu?
Labda walikuwa wakiichukulia poa Israel.
Viongozi wa Hamas ni wapumbavu sana. Gaza haitorudi kuwa Gaza tena.
Ndo matatizo ya kuongozwa na watu wapumbavu.
In the end, was it all worth it? I think not.
Walijua lijapo swala la raia zake serikali ya Israel ipo tayari kutii masharti yoyote yale watakayopewa ili tu warudishiwe raia wao au maiti zao. So waliwachukua kama bargaining chips.Nimekuwa nikijiuliza kwa muda sasa bila kupata majibu.
Kwa nini Hamas walianzisha chokochoko ambayo msukosuko wake hawawezi kuustahimili?
Wapalestina wa Gaza wanapaswa kuilaani kabisa Hamas na kuipinga kwa hali zote.
Ndiyo, Wapalestina hao wa Gaza walikuwa wanaishi kwenye mazingira magumu sana, kwa hisani ya Israel.
Lakini kabla ya Oktoba 7, hali haikuwa mbaya kama ilivyo hivi sasa.
Sasa hao Hamas wakijua kabisa uwezo wao pamoja na ule wa adui yao, kwa nini waanzishe songombingo ambaye walijua kabisa hawawezi kuimudu?
Labda walikuwa wakiichukulia poa Israel.
Viongozi wa Hamas ni wapumbavu sana. Gaza haitorudi kuwa Gaza tena.
Ndo matatizo ya kuongozwa na watu wapumbavu.
In the end, was it all worth it? I think not.
Hiyo resolution inaweza ikaishia kwenye dustbin. Miaka yote ni Palestina wenyewe wamekuwa wakipinga two state solution, wakasimamia ushauri wa Iran kwamba Israel haitakiwi kuwepo bali inatakiwa kufutwa.Kwa yule asiyefikiria mbali anafikira Hamas walikosea, sasa kwa taarifa tu lengo lao ni hili hapa kama hiyo lugha haikupi shida:
MSN
www.msn.com
Wangetumia njia ipi mkuuWana malalamiko ya msingi lakini njia wanazotumia kudai haki hazikua sahihi