zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kwahiyo hata Ukraine wanakosea kujitetea dhidi ya Russia sababu watamprovoke aiharibu Kyiv kwa nuclear?Ni kweli wapalestina wanadhulumiwa na wanaonewa sana kwa miaka mingi, ila uamuzi wa Hamas kufanya tukio lile Oct 7 haukuwa sawa
Mbona Mandela alifanya hivi hivi, alikua wanatega mabomu na kuteka makaburPu ila mnamuita Baba wa Afrika na sio Gaidi?
Kusema ukweli hata mimi nilijiuliza sana nini hasa lilikuwa lengo la walichokifanyq maana walio kwenda kuchokozwa ni zaidi ya walivyo wafikiria. Sasa imebadilika na kuwa kilio cha kuonewa.Nimekuwa nikijiuliza kwa muda sasa bila kupata majibu.
Kwa nini Hamas walianzisha chokochoko ambayo msukosuko wake hawawezi kuustahimili?
Wapalestina wa Gaza wanapaswa kuilaani kabisa Hamas na kuipinga kwa hali zote.
Ndiyo, Wapalestina hao wa Gaza walikuwa wanaishi kwenye mazingira magumu sana, kwa hisani ya Israel.
Lakini kabla ya Oktoba 7, hali haikuwa mbaya kama ilivyo hivi sasa.
Sasa hao Hamas wakijua kabisa uwezo wao pamoja na ule wa adui yao, kwa nini waanzishe songombingo ambayo walijua kabisa hawawezi kuimudu?
Labda walikuwa wakiichukulia poa Israel.
Viongozi wa Hamas ni wapumbavu sana. Gaza haitorudi kuwa Gaza tena.
Ndo matatizo ya kuongozwa na watu wapumbavu.
In the end, was it all worth it? I think not.
Sinwar ndie alikuwa mastermind wa huu mpango.Nimekuwa nikijiuliza kwa muda sasa bila kupata majibu.
Kwa nini Hamas walianzisha chokochoko ambayo msukosuko wake hawawezi kuustahimili?
Wapalestina wa Gaza wanapaswa kuilaani kabisa Hamas na kuipinga kwa hali zote.
Ndiyo, Wapalestina hao wa Gaza walikuwa wanaishi kwenye mazingira magumu sana, kwa hisani ya Israel.
Lakini kabla ya Oktoba 7, hali haikuwa mbaya kama ilivyo hivi sasa.
Sasa hao Hamas wakijua kabisa uwezo wao pamoja na ule wa adui yao, kwa nini waanzishe songombingo ambayo walijua kabisa hawawezi kuimudu?
Labda walikuwa wakiichukulia poa Israel.
Viongozi wa Hamas ni wapumbavu sana. Gaza haitorudi kuwa Gaza tena.
Ndo matatizo ya kuongozwa na watu wapumbavu.
In the end, was it all worth it? I think not.
Issue ni kuanzisha vita au ni chokochoko? Hivi unajua Mandela alifungwa sababu ya ugaidi.... alilipua miundombinu ya serikali kwa mabomu ya kutega.Mandela hajapigana vita hata Moja na hajawahi kuanzisha vita
Issue ni kuanzisha vita au ni chokochoko? Hivi unajua Mandela alifungwa sababu ya ugaidi.... alilipua miundombinu ya serikali kwa mabomu ya kutega.
Kwamba hujui kipindi cha Apartheid nchi iligawanywa kwa maeneo ya wazungu, Waafrika na cape coloureds? Kingine Palestina sio recognised kama nchi tokea iwe occupied na Israel so wakivamia Israel haina tofauti na Mandela kuvamia makazi ya wazungu.Hammas walivamia Israel wakitokea Gaza.
Mandela alivamia nchi gani?
Kwamba hujui kipindi cha Apartheid nchi iligawanywa kwa maeneo ya wazungu, Waafrika na cape coloureds? Kingine Palestina sio recognised kama nchi tokea iwe occupied na Israel so wakivamia Israel haina tofauti na Mandela kuvamia makazi ya wazungu.
Acha uongo, lengo ilikua kujikomboa. Huwezi futa taifa kwa mabomu 1000 tena sio Anti Ballistic missiles.Lengo ilikuwa ni kuifuta Islael katika uso wa Dunia..
Why elfu 1? Wakitaka kuifuta si Iran inarusha nuclear tu hapo Tel Aviv kwani kigumu kipi?Yale makombora zaidi ya 1000 yangetua yote Islael wangeweza kufa maelfu kwa maelfu - na wao HAMAS wakisaidiwa na Iran wangetumia muda huo huo kuitawala.
Kumbe ukitaka kudai uhuru lazima uangalie uwezo wa mkoloni? Kwamba Mandela naye alipaswa kuogopa nguvu ya kijeshi ya makaburu ambao walikua mpaka na miradi ya nuclear? Hivi kina Nyerere na Mandela wangeogopa silaha za wazungu!! Tungepata uhuru?HAMAS kosa lao kubwa ni kutojua uwezo wa Islael kijeshi, na kama walijua basi ni wapumbavu kupita kiasi.
Kwanini yasirudi? Kwani ni mara ya kwanza wao kulipuliwa? Au hujui miaka 70 sasa Gaza inapigwa mabomu tu kila kukicha.Ni kweli maisha ya GAZA hayayarudi tena
Sasa hao Israel hawaitambui Palestina kma nchi bali huitambua kama mamlaka tu!! Kwahiyo ni sawa tu na labda ceuta na merilla zivamie mainland Spain utasema ni nchi imevamiwa na nchi?Mbona hata hapa nchini kuna maeneo yamegawanywa mahususi kwa watu Fulani.
Nazungumzia nchi kuvamia nchi nyingine.
Itikadi kali ndio ipi? Hamas ni chama cha siasa hao wanaopigana ni wing inaitwa Al Qassam brigadeMandela na wenzake walikuwa kikundi cha dini ipi? Maana Hamas ni kikundi cha itikadi kali ya kiislamu.
Kwa kujibu wa media za Uturuki lilimnukuu marehemu yahya Sinwalli kuwa waliivamia Israel ili kuleta mzozo wa ghaza kwenye agenda za kimtaifaNimekuwa nikijiuliza kwa muda sasa bila kupata majibu.
Kwa nini Hamas walianzisha chokochoko ambayo msukosuko wake hawawezi kuustahimili?
Wapalestina wa Gaza wanapaswa kuilaani kabisa Hamas na kuipinga kwa hali zote.
Ndiyo, Wapalestina hao wa Gaza walikuwa wanaishi kwenye mazingira magumu sana, kwa hisani ya Israel.
Lakini kabla ya Oktoba 7, hali haikuwa mbaya kama ilivyo hivi sasa.
Sasa hao Hamas wakijua kabisa uwezo wao pamoja na ule wa adui yao, kwa nini waanzishe songombingo ambayo walijua kabisa hawawezi kuimudu?
Labda walikuwa wakiichukulia poa Israel.
Viongozi wa Hamas ni wapumbavu sana. Gaza haitorudi kuwa Gaza tena.
Ndo matatizo ya kuongozwa na watu wapumbavu.
In the end, was it all worth it? I think not.
walijipanga kwa miaka mingi tu, trained mno, na mle ndani kulikuwa na wanajeshi hadi wa iran, wale walikosa vifaa tu ila walikuwa makomandoo wazuri mno kwa vita. Lengo lao ilikuwa kuvamia israel, kuanza kuua, vita ianze, hamas apige kutokea gaza, hezbollah awasaidie kutokea lebanon, na iran amalizie ili isrel ifutike.ndio maana adui wa Mungu ayatollah alikuwa anaongea wazi kitambo kwamba kuna siku mzayuni atafutika kwenye ramani pale. bahati mbaya, matokeo yakawa tofauti, myahudi ameuwa karibu magaidi wote wa hamas, kauwa makamanda wa kutosha wa iran, hezbollah aliyekuwa na malaki ya silaha akaingia, viongozi wake wakuu wote wameshauza sasaivi, ikabaki kutazamia ceasefire, iran kaenda kuwaambia waache vita wapokee ceasefire.Nimekuwa nikijiuliza kwa muda sasa bila kupata majibu.
Kwa nini Hamas walianzisha chokochoko ambayo msukosuko wake hawawezi kuustahimili?
Wapalestina wa Gaza wanapaswa kuilaani kabisa Hamas na kuipinga kwa hali zote.
Ndiyo, Wapalestina hao wa Gaza walikuwa wanaishi kwenye mazingira magumu sana, kwa hisani ya Israel.
Lakini kabla ya Oktoba 7, hali haikuwa mbaya kama ilivyo hivi sasa.
Sasa hao Hamas wakijua kabisa uwezo wao pamoja na ule wa adui yao, kwa nini waanzishe songombingo ambayo walijua kabisa hawawezi kuimudu?
Labda walikuwa wakiichukulia poa Israel.
Viongozi wa Hamas ni wapumbavu sana. Gaza haitorudi kuwa Gaza tena.
Ndo matatizo ya kuongozwa na watu wapumbavu.
In the end, was it all worth it? I think not.
Acha kujitoa ufahamu. Hicho chama cha siasa kina mlengo upi? Hizi millitary wings zinapambana chini ya mwamvuli wa chama kipi kama siyo Hamas?Itikadi kali ndio ipi? Hamas ni chama cha siasa hao wanaopigana ni wing inaitwa Al Qassam brigade
Kulikua na uchaguzi 2006 wa wabunge na chama kilichoshinda Gaza ni Hamas na kuwaangusha vyama vingine kama Fatah etc. Kwahiyo Hamas ni chama cha siasa kama to republicans au Democrats.Hicho chama cha siasa kina mlengo up
Ndio nakwambia military wing inaitwa Al qassem Brigade, ni sawa tu na ANC ilivyokua na military wing ya Umkhonto we Sizwe, au CCM na green guards.Hizi millitary wings zinapambana chini ya mwamvuli wa chama kipi kama siyo Hamas?
Hamas sio chama cha kiislamu ni chama cha kisiasa kilichosajiliwa rasmi na kina wabunge kabisa na mawaziri. Unaposema ni chama cha kiislam ni kutokana na usajili upi huo?iweje hamas ambacho ni chama cha kisiasa cha kiislamu ndo kipambanie uhuru wa nchi ambayo inaundwa na dini tofauti?
Mie siongelei udini naongelea UGAIDI, hao ANC walikua wanatega mabomu na kulipua majengo kwenye maofisi ya wazungu na wakati mwingine kuuwa hata waafrika wenzao lakini Mandela tunamuita shujaa sio gaidi ndio maana nashangaa huu undumila kuwili ni kwa faida ya nani?Je, ANC na Mandela ni wapi walitumia itikadi za kidini au ANC na chenyewe kilikuwa chama cha kidini hadi uwalinganishe na Hamas?
Oooh kumbe ni bora utunze uhai wako kuliko kupigania uhuru wa generations za baadae..... kwahiyo Mkwawa na Kimathi walitakiwa waangalie uhai wao sio kupigania uhuru? Typical coward.Laiti Hamas wangepiga vizuri mahesabu yao, leo hii pengine akina Sinwar, Haniyeh, Nasrallah, Deif, na wengineo wangekuwa bado wako hai.
Assad anahusiana nini na Hamas? If anything hawa waasi ndio watakua hatari zaidi kwa Israel kuliko Assad aliyekua toothless neighbor.Pia, pengine hata Assad angekuwa bado ni Rais wa Syria
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda sasa bila kupata majibu.