Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

wapo vizuri sana, sema nyenzo ndio kikwazo, tungekuwa na tunatengeneza sisi wenyewe nyezo za kivita/vifaa, tz ingekuwa juu sana hata kwa nchi za ulaya. shida ni kwamba africa is africa.
 
Kwa Wazungu hasa Uingereza, Marekani, Israel, Ujerumani, Ufaransa, Urusi, China, Korea Kaskazini, Cuba, Rwanda, South Africa, Uganda, Angola na Iran 'Makomandoo' wao 90% ni Akili na 10% ndiyo Nguvu, ila Kwingineko 85% Upumbavu, 14% Miguvu na 1% ndiyo Akili.
 
Kiboko yao ni mapolisi tu huko kwingine unapotaka kuwalinganisha ni mbali Sana.

labda uko sahihi ila kuna polisi mmoja Temeke alimshika mke wa komandoo makalio polisi alipigwa teke moja tu kafa. ..Kibaha kuna polisi mmoja bar alimletea komandoo dharau ngumi moja tu kafa. ...ukamataji wa komandoo lazima uende na troop ya kutosha Jumanne na Kingai siyo mafala mkuu waende wenyewe
 
Stori za vijiweni hizi.
 
Kwani competence wapima kwa picha au maonesho ya siku ya Uhuru? Mbona kila Taifa huwa na maonesho kama haya nchini kwao, na bado hayahaya mataifa yakipigana moja huchapwa?
 
Tatizo lako unakuja na majibu yako kwenye yangu...
Nimekwambia nina facts... mfano kwenye missions walizoenda ni mara ngapi tunasikia wamezidiwa nguvu??

Nawaheshimu sana wana JWTZ wetu lakini tusiwapumbaze wakajiona wapo vizuri...
 

Vipi? Kwani leo hawa pasua matofali kwa kichwa?? Hawajiza moto kwa kupuliza kwa mdomo??
 
Mkuu unajadiliana na mtu wa hovyo kuwahi kutokea maana yeye anaomba friendly war hahahah! very strange 🤣 🤣 🤣
 
Unakosoa makomandoo hata mafunzo ya mgambo huna
Bongo kila mtu mjuaji
 
Mkuu unajadiliana na mtu wa hovyo kuwahi kutokea maana yeye anaomba friendly war hahahah! very strange 🤣 🤣 🤣
Sasa utajuaje una jeshi bora kama hata missions kubwa kubwa huendi na ndogo ukienda unapoteza...
Si uombe tu friendly war ujipange vizuri kimedani...
 
Afande Goodluck Minja kawapigisha push-up tu akina Ling'wenya pale Central wanalialia kuteswa!😁.

Je wangepitia doso kwa wale jamaa wa Guantanamo Bay?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…