Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

wapo vizuri sana, sema nyenzo ndio kikwazo, tungekuwa na tunatengeneza sisi wenyewe nyezo za kivita/vifaa, tz ingekuwa juu sana hata kwa nchi za ulaya. shida ni kwamba africa is africa.
 
Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika,na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa jwtz wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni.nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita? Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field,nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana,kwanza wako simple tu.
Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.

View attachment 2038131

View attachment 2038132

View attachment 2038133
Kwa Wazungu hasa Uingereza, Marekani, Israel, Ujerumani, Ufaransa, Urusi, China, Korea Kaskazini, Cuba, Rwanda, South Africa, Uganda, Angola na Iran 'Makomandoo' wao 90% ni Akili na 10% ndiyo Nguvu, ila Kwingineko 85% Upumbavu, 14% Miguvu na 1% ndiyo Akili.
 
Kiboko yao ni mapolisi tu huko kwingine unapotaka kuwalinganisha ni mbali Sana.

labda uko sahihi ila kuna polisi mmoja Temeke alimshika mke wa komandoo makalio polisi alipigwa teke moja tu kafa. ..Kibaha kuna polisi mmoja bar alimletea komandoo dharau ngumi moja tu kafa. ...ukamataji wa komandoo lazima uende na troop ya kutosha Jumanne na Kingai siyo mafala mkuu waende wenyewe
 
Stori za vijiweni hizi.
 
Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika,na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa jwtz wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni.nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita? Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field,nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana,kwanza wako simple tu.
Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.

View attachment 2038131

View attachment 2038132

View attachment 2038133
Kwani competence wapima kwa picha au maonesho ya siku ya Uhuru? Mbona kila Taifa huwa na maonesho kama haya nchini kwao, na bado hayahaya mataifa yakipigana moja huchapwa?
 
Ushahidi na facts mahakamani? Lol [emoji38][emoji38][emoji38]
I thought una ushahid wa battle ground, missions, ct actions, rescue ops.. unakuja kufanya comparison kwa kesi nyepesi kama hiyo? Come on man..

Thats not how unapima uwezo wa jesh kwa facts za mahakamani. Halaf mahakama yenyewe ya kiraia. Tena watuhumiwa ni ex members of.. not active members..

Majeshi hayapimwi ubora kihivyo.. tafuta njia nyingine
Tatizo lako unakuja na majibu yako kwenye yangu...
Nimekwambia nina facts... mfano kwenye missions walizoenda ni mara ngapi tunasikia wamezidiwa nguvu??

Nawaheshimu sana wana JWTZ wetu lakini tusiwapumbaze wakajiona wapo vizuri...
 
Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika,na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa jwtz wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni.nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita? Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field,nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana,kwanza wako simple tu.
Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.

View attachment 2038131

View attachment 2038132

View attachment 2038133

Vipi? Kwani leo hawa pasua matofali kwa kichwa?? Hawajiza moto kwa kupuliza kwa mdomo??
 
Ushahidi na facts mahakamani? Lol [emoji38][emoji38][emoji38]
I thought una ushahid wa battle ground, missions, ct actions, rescue ops.. unakuja kufanya comparison kwa kesi nyepesi kama hiyo? Come on man..

Thats not how unapima uwezo wa jesh kwa facts za mahakamani. Halaf mahakama yenyewe ya kiraia. Tena watuhumiwa ni ex members of.. not active members..

Majeshi hayapimwi ubora kihivyo.. tafuta njia nyingine
Mkuu unajadiliana na mtu wa hovyo kuwahi kutokea maana yeye anaomba friendly war hahahah! very strange 🤣 🤣 🤣
 
Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika,na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa jwtz wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni.nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita? Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field,nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana,kwanza wako simple tu.
Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.

View attachment 2038131

View attachment 2038132

View attachment 2038133
Unakosoa makomandoo hata mafunzo ya mgambo huna
Bongo kila mtu mjuaji
 
Mkuu unajadiliana na mtu wa hovyo kuwahi kutokea maana yeye anaomba friendly war hahahah! very strange 🤣 🤣 🤣
Sasa utajuaje una jeshi bora kama hata missions kubwa kubwa huendi na ndogo ukienda unapoteza...
Si uombe tu friendly war ujipange vizuri kimedani...
 
Afande Goodluck Minja kawapigisha push-up tu akina Ling'wenya pale Central wanalialia kuteswa!😁.

Je wangepitia doso kwa wale jamaa wa Guantanamo Bay?
 
Back
Top Bottom