Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
wapo vizuri sana, sema nyenzo ndio kikwazo, tungekuwa na tunatengeneza sisi wenyewe nyezo za kivita/vifaa, tz ingekuwa juu sana hata kwa nchi za ulaya. shida ni kwamba africa is africa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vizuri, unatia aibu.Acha ujuha wewe,waliwahi kupigana na Marekani wakaishinda? Yaani unasema nchi yoyote, Mataga una Bongo zenye funza kabisa
Wareno mashoga kina bruno fernandezUmeuliza JWTZ sio jeshi la kagame
Msumbiji JWTZ tulimtimua mreno tuliwasaidia kupata uhuru.
Kwa Wazungu hasa Uingereza, Marekani, Israel, Ujerumani, Ufaransa, Urusi, China, Korea Kaskazini, Cuba, Rwanda, South Africa, Uganda, Angola na Iran 'Makomandoo' wao 90% ni Akili na 10% ndiyo Nguvu, ila Kwingineko 85% Upumbavu, 14% Miguvu na 1% ndiyo Akili.Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika,na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa jwtz wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni.nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita? Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field,nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana,kwanza wako simple tu.
Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.
View attachment 2038131
View attachment 2038132
View attachment 2038133
Kiboko yao ni mapolisi tu huko kwingine unapotaka kuwalinganisha ni mbali Sana.
Stori za vijiweni hizi.labda uko sahihi ila kuna polisi mmoja Temeke alimshika mke wa komandoo makalio polisi alipigwa teke moja tu kafa. ..Kibaha kuna polisi mmoja bar alimletea komandoo dharau ngumi moja tu kafa. ...ukamataji wa komandoo lazima uende na troop ya kutosha Jumanne na Kingai siyo mafala mkuu waende wenyewe
Kwani competence wapima kwa picha au maonesho ya siku ya Uhuru? Mbona kila Taifa huwa na maonesho kama haya nchini kwao, na bado hayahaya mataifa yakipigana moja huchapwa?Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika,na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa jwtz wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni.nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita? Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field,nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana,kwanza wako simple tu.
Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.
View attachment 2038131
View attachment 2038132
View attachment 2038133
Tatizo lako unakuja na majibu yako kwenye yangu...Ushahidi na facts mahakamani? Lol [emoji38][emoji38][emoji38]
I thought una ushahid wa battle ground, missions, ct actions, rescue ops.. unakuja kufanya comparison kwa kesi nyepesi kama hiyo? Come on man..
Thats not how unapima uwezo wa jesh kwa facts za mahakamani. Halaf mahakama yenyewe ya kiraia. Tena watuhumiwa ni ex members of.. not active members..
Majeshi hayapimwi ubora kihivyo.. tafuta njia nyingine
Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika,na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa jwtz wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni.nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita? Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field,nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana,kwanza wako simple tu.
Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.
View attachment 2038131
View attachment 2038132
View attachment 2038133
Kaulize nchi JWTZ wailkopigana hawajawahi shindwa popote nchi yeyote
Ovyo amekutana na ovyo au siyo...🤣🤣🤣Friendly war!!! Mkuu ukiniambia mimi wa hovyo nikakubali naomba kwa nukta hii nikuambie wewe ni wahovyo zaidii 🤣 🤣 🤣
Mkuu unajadiliana na mtu wa hovyo kuwahi kutokea maana yeye anaomba friendly war hahahah! very strange 🤣 🤣 🤣Ushahidi na facts mahakamani? Lol [emoji38][emoji38][emoji38]
I thought una ushahid wa battle ground, missions, ct actions, rescue ops.. unakuja kufanya comparison kwa kesi nyepesi kama hiyo? Come on man..
Thats not how unapima uwezo wa jesh kwa facts za mahakamani. Halaf mahakama yenyewe ya kiraia. Tena watuhumiwa ni ex members of.. not active members..
Majeshi hayapimwi ubora kihivyo.. tafuta njia nyingine
This time wamenunuliwa fire extinguishers...Vipi? Kwani leo hawa pasua matofali kwa kichwa?? Hawajiza moto kwa kupuliza kwa mdomo??
Unakosoa makomandoo hata mafunzo ya mgambo hunaNilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika,na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa jwtz wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni.nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita? Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field,nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana,kwanza wako simple tu.
Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.
View attachment 2038131
View attachment 2038132
View attachment 2038133
Sasa utajuaje una jeshi bora kama hata missions kubwa kubwa huendi na ndogo ukienda unapoteza...Mkuu unajadiliana na mtu wa hovyo kuwahi kutokea maana yeye anaomba friendly war hahahah! very strange 🤣 🤣 🤣
Tunapata mahovyo hovyo haya ukitaka kuyajua yakanyage jeshini upelekwe main gate 🤣Ovyo amekutana na ovyo au siyo...🤣🤣🤣
HaaTumuulize Kingai na Jumanne