Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

Commando wanapigwa makonzi na polisi wenye elimu za darasa la saba hadi wanaomba msamaha uwalinganishe na makomandoo wa nchi za wenzetu kweli? Kwa ufupi nchi hii haina makomandoo bali tuna wasanii waliojificha kwenye kivuli cha makomandoo
Kweli CDM ni chama cha kigaidi.
Kimeharibu sana vijana
 
SEAL sio commandos wale ni special elite force tu ila wanafunzwa na makomando So you can imagine if SEAL wapo ile Je hao commandos wao wapoje ... m,arekani wana elite force zaidi ya SEAL
eti SEAL sio nini?!....jf imejaa vilaza sana siku hizi.
 
eti SEAL sio nini?!....jf imejaa vilaza sana siku hizi.
Commando ni special training wanayopewa maaskari, SEAL team na vitengo vingine sio training ni vitengo vya kufanyia kazi tu. Hata commando training nako kuna vitu vingi pia kulingana na utakako enda kufanyia kazi but the basic training is the same.
 
Commando wa jwtz wapo na mafunzo ya hali ya juu na hua wanafanya mazoezi ya pamoja na navy seal na hata hivi karibuni walifanya

Kubeba mizigo mizito ni Mojawapo ya mazoezi .

Na isitoshe hawawezi kuonyesha kila kitu mbele ya halaiki Wengine wanaweza kuwa maadui .
 
ukitaka kuwajuwa wajaribu uone hao siyo kina adamoo
 
Hawa si walikua wanalia juzi tu wanekamatwa na polisi ?

Vuta picha labda wangekamatwa na wajeda wa russia ingekuaje
Mpaka leo sielewi itakuaje komandoo kuchapwa makofi na raia mkakamavu kingai, na ikaisha hivihivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Nikama zile mbwembwe na sifaaa alizo kua akimwagiwa 'jasusi mbobevu membe'.aliyekubali kuchezeshwa shere na jiwe aka mzilankendee[emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu acha masihara yani teke moja la tako akafa au alipigwa makende😂
 
Afande Goodluck Minja kawapigisha push-up tu akina Ling'wenya pale Central wanalialia kuteswa!😁.

Je wangepitia doso kwa wale jamaa wa Guantanamo Bay?
Hao makomandoo waliokamatwa na jeshi ni kwamba hawakutaka kuonesha skills zao ama?😂
 
Muuni kakamata “UZZI”
 
Nalipenda jeshi letu, wapo macho wanatulinda 24hrs. Wameonesha umahiri maeneo mengi ya vita. Wao pia ni binadamu, huumia, tuwapende na tuwape moyo. Wapo wengi wamepoteza maisha katika kutulinda na kuilinda nchi yetu kwa niaba yetu. Tutasema tunawalipa, lkn ukweli ni kuwa wanacholipwa ni kidogo ukilinganisha na risk level waliyonayo
 
Watu wajinga humu

Hata yale mavifaa sidhani kama ndio wataenda nayo battlefield

Watskuwa wana zana za kisasa zaidi zimefichwa

Sio rahisi uoneshe zana zako zote tena mbele ya marais wa nchi jirani
 
Still ni commandos
 
Jeshi la marekani lina branch 4 army, marine( aka tough boys), navy na air force

Kila branch ina special forces zake chini ya U.S special operation command

Kwa navy wana special force 1 tu ambayo ni SEAL mean kuwa ni vijana wa navy wanaoweza fanya operation kwa kila sehemu ( wanaitwa frogmen)

Ukienda marines unakutana na marine raiders
Ukienda army unakutana na wanaume wa green baret na vtu kma hvyo

Unaposma SEAL sio commando nakushngaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…