Hivi mamlaka husika zilikuwa wapi mpaka kipande cha "unyanyasaji wa kingono" kinaandikwa kwenye kitabu cha Kabendera?

In the name of president , nimesoma hiki kitabu kuna mambo mengi ni ya uongo kwa ukweli nilionao mimi , na katika yaliyoandikwa ambalo sina uhakika nalo ni hili la kwenda kwa vice na pajama .

1.Magufuli alikuwa muda mwingi sana usiku yuko macho na ndio alikuwa anafanya shughuli zake ,sioni ajabu yeye muda huo kuwa na pajama.

2.Magufuli alikuwa Rais muda wote ana ulinzi ni ngumu sana kufanya hilo tukio tena kwa kiongozi mwenzake .

3.Hatujui ukaribu wao ulikuwaje kabla , na Magufuli he was a man like other men na inawezekana kweli alikuwa na issue ya kudiscuss muda ila akachukulia poa code ya mavazi .

Je huwezi fanya kikao na pajama ? Nadhani tunajaribu kuoneshwa kuwa yule jamaa alikuwa katili sana .
Labda ungeorodhesha yote unayodhani ni ya uongo.. Na kwenye hili la pajama (nguo za kulalia) kwa kaliba ya rais au hata kwa yeyote kumuendea mtu asiye mkeo na nguo hiyo usiku lazima kulete maswali
Ni sawa na mwanamke akujie usiku na night dress..! Hizo ni nguo za chumbani tuu zukienda mbali sana ni sebuleni kwa wanajua maana yake
 
"sioni ajabu yeye muda huo kuwa na pajama." Ndiyo.
"was a man like other men na inawezekana kweli alikuwa na issue ya kudiscuss muda ila akachukulia poa code ya mavazi". Ndiyo. Yote umekubali, sasa hoja yako ni nini ambayo tuijadili.
 
Mbona kwa hoja zako ni kama unatetea alichoandika Kaflagi??
Kumbe anapiga kazi usiku, kwa maana hiyo tuna hakika usiku wa siku hiyo alikua macho, nae ni kama wanaume wengine kwamba nae ana libido sio?? Alienda na pajama kufanya kikao usiku wa manene "kwishaaaaa"
 
In the name of president , nimesoma hiki kitabu kuna mambo mengi ni ya uongo kwa ukweli nilionao mimi , na katika yaliyoandikwa ambalo sina uhakika nalo ni hili la kwenda kwa vice na pajama .

1.Magufuli alikuwa muda mwingi sana usiku yuko macho na ndio alikuwa anafanya shughuli zake ,sioni ajabu yeye muda huo kuwa na pajama.

2.Magufuli alikuwa Rais muda wote ana ulinzi ni ngumu sana kufanya hilo tukio tena kwa kiongozi mwenzake .

3.Hatujui ukaribu wao ulikuwaje kabla , na Magufuli he was a man like other men na inawezekana kweli alikuwa na issue ya kudiscuss muda ila akachukulia poa code ya mavazi .

Je huwezi fanya kikao na pajama ? Nadhani tunajaribu kuoneshwa kuwa yule jamaa alikuwa katili sana .
Unayemtetea huyu hapa kwenye mawe Chamwino amejianika kama kenge.
Screenshot_20250106_060434_Samsung Internet.jpg
Mukiambiwa alikuwa kichaa mnabisha. Kweli Rais wa nchi mwenye akili sawa anaweza kulala kwenye mawe??
 
Unayemtetea huyu hapa kwenye mawe Chamwino amejianika kama kenge.
View attachment 3193823 Mukiambiwa alikuwa kichaa mnabisha. Kweli Rais wa nchi mwenye akili sawa anaweza kulala kwenye mawe??
Haisaidii na haikusaidii kitu wala hsitamaliza umaskini wako kuwa na chuki na mtu aliyekuzidi kila kitu.

Kwa uandishi wako wa chuki hivi inaonesha moja kwa moja huna majukumu. Hivi kwenye hiyo picha, nini kosa lake?
 
Labda ungeorodhesha yote unayodhani ni ya uongo.. Na kwenye hili la pajama (nguo za kulalia) kwa kaliba ya rais au hata kwa yeyote kumuendea mtu asiye mkeo na nguo hiyo usiku lazima kulete maswali
Ni sawa na mwanamke akujie usiku na night dress..! Hizo ni nguo za chumbani tuu zukienda mbali sana ni sebuleni kwa wanajua maana yake
Navuta picha ' kumbe vyumba vyao vilikuwa vinatazamana' sasa mbna ata huku wapangaji wanafinyana vzr tu! Kosa la kwanza apo nililogundua ofisi yaan ikulu isiwe nyumba ya kuishi!? sidhani kama kuna ulazima huo!? Kosa la pili kwann kusiwe na utengano (ukuta)kati ya familia ya vice na president!? maana kama wakubwa wanafanya vikao usiku na pajama iweje Kwa wengine vijana wanaobaki om muda wote!! ikulu itakuwa inanajisiwa sana
 
Unayemtetea huyu hapa kwenye mawe Chamwino amejianika kama kenge.
View attachment 3193823 Mukiambiwa alikuwa kichaa mnabisha. Kweli Rais wa nchi mwenye akili sawa anaweza kulala kwenye mawe??
Duuuh! Kumbe kulala kwenye mawe nako ni kuvunja sheria! tuombe uzima jamani ili tujitetee pale tunapozongwa na shutuma kama hzi!
 
Wewe na akili yako hivyo ulivyo unaweza kulala kwenye mawe kama huyo pimbi?
 
In the name of president , nimesoma hiki kitabu kuna mambo mengi ni ya uongo kwa ukweli nilionao mimi , na katika yaliyoandikwa ambalo sina uhakika nalo ni hili la kwenda kwa vice na pajama .
Umeona yeye mwenyewe au watu wake wa karibu wamejitokeza kukanusha?
 
Navuta picha ' kumbe vyumba vyao vilikuwa vinatazamana' sasa mbna ata huku wapangaji wanafinyana vzr tu! Kosa la kwanza apo nililogundua ofisi yaan ikulu isiwe nyumba ya kuishi!? sidhani kama kuna ulazima huo!? Kosa la pili kwann kusiwe na utengano (ukuta)kati ya familia ya vice na president!? maana kama wakubwa wanafanya vikao usiku na pajama iweje Kwa wengine vijana wanaobaki om muda wote!! ikulu itakuwa inanajisiwa sana
Mtu mwenye akili timamu unaweza fanyaje kikao tena na nguo za kulalia. Acheni kutetea uiinga. Code za kiutumishi zipo wazi. Raisi hana maadili si yanayosemwa yatakua na ukweli tu
 
Back
Top Bottom