Hivi mamlaka husika zilikuwa wapi mpaka kipande cha "unyanyasaji wa kingono" kinaandikwa kwenye kitabu cha Kabendera?

Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa.

Yaani mwendazake alivaa pajama ili akambake mama yetu na Rais wetu ? Duuuuuuh! Imeniuma sana kwasababu kiukweli nampenda sana huyu mama jamani na sikupenda kabisa hii taarifa itoke. Na ninaomba usiku na mchana iwe uongo kabisa na Kabendera ashughulikiwe aisee.

Nimejikuta najiuliza maswali mengi sana.

i/ Tukio la ubakaji liliishia hatua gani? Je, ni hatua ya kujibizana kwa maneno tu au palitokea purukushani yoyote ile? Inauma jamani Mmmmmh!

il/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea wapi ofisini,chumbani au sebureni? Jamani jamani.

iii/ Kipindi mwendazake akiwa amevaa pajama mama yetu sijui alikuwa amevaa nini? Nazidi kuumia sana.

iv/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea asubuhu,mchana,jioni au usiku? Kaaaah jamani.

v/ Shuhuda wa tukio la ubakaji ni nani na walikuwa mashuhuda wangapi? Na wao walikuwa wanafanya nini kipindi ubakaji unataka kutokea?

vi/ Huyu shuhuda ni mzalendo kiasi gani mpaka akatoa taarifa mbaya kama hii kwa Kabendera ili iandikwe watu waisome? Alishindwa kunyamaza jamani!

vii/ Lengo la kuiweka taarifa hii ya ubakaji ni nini jamani? Duuuuuh uwiiiiii.

viii/ Kabendera kakosa uzalendo kiasi gani mpaka akaamua kuandika taarifa ya hovyo kama hii ili watu waisome? Kwani kila ukweli lazima usemwe! Kama ni kweli lakini.

ix/ Hivi kabendera ni mtanzania mwenzetu kweli?

Mbona Kabendera alikuwa na taarifa nyingine nyingi tu za kuandika kama zile za kina Ben saanane kulikuwa hakuna haja ya kuandika taarifa ya kutaka kubakwa kwa Rais wetu.

Ila nilifurahi sana kusikia Rais wetu alimkatalia Mwendazake kutimiza hazma yake ya ubakaji na nilifurahi zaidi kusikia mama yetu na Rais wetu ilumuuma sana mpaka akataka kujiuzulu umakamu wa Rais.

Mamlaka kwanini mmeruhusu haya yaandikwe na Kabendera? Mnatutesa sisi wengine wenye mapenzi ya dhati na mama yetu na Rais wetu. Kuna vitu hasi hatupaswi kusikia kabisa kuhusu Rais wetu jamani. Sisi tulisheni taarifa chanya za tu za Rais wetu. Hizi za kubakana msingetuletea kabisa. Aaaaghhhhh.

Ila Kabendera miyeyusho sana huyu jamaa nyie hamjui tu.
HUU NI UKOSEFU WA ADABU NA NIUDHARIRISHAJI KWA JAMII YETU YA KITANZANIA.

=> Unatoa wapi ujasiri wa kuchunguza na kuandika Kwa uwazi kabisa Faragha za chumbani Kwa wazazi wako 🙄
Kwanini tumekosa Staha?
.....Hata iweje, Hatupaswi Kufunua Siri za Wazazi na Viongozi wetu Wakuu wa Nchi Kwa namna hii.
= > Habari za kuujulisha umma zimeisha?
=> Mnatafuta Umaarufu na Utajiri Kwakuchapisha Habari za Kuchafua Nchi?
=> Mimi sihitaji kujua ni kweli au si kweli.
Naomba mnisaidie tu kujua ni wapi zinapatikana BUNDUKI za kukodi 🤔🤔🤔
 
huwa najiuliza hivi vitabu huwa vinapitiwa na wahariri before kutoa vibali kuwa public
au kuna pesa unalipa tu umemaliza vinawekwa public
Kuna full interview ya Erick Kabendera akifafanua kwa kirefu maudhui ya kitabu hiki kuanzia hatua mwanzo ya kukiandika hadi kuhitimisha na sasa kinasomwa ulimwenguni kote..

Kasema mswaada wa kitabu kabla kuchapishwa umepitiwa na wataalamu wabobezi wengi ikiwemo wanasheria kwa issues ambazo legally binded kwa ajili ya legal defense hapo baadae kama atatokea mtu anasema amekuwa defamed...

Kwa hiyo, kila kilichoandikwa humo kina ushahidi ambao uko well documented, usio na shaka na ndiyo maana kampuni za uchapaji na kusimamia mauzo ya kitabu hicho ambazo ni very reputable duniani kama Amazon nk zimechapa na kukiuza kitabu hicho...
 
HUU NI UKOSEFU WA ADABU NA NIUDHARIRISHAJI KWA JAMII YETU YA KITANZANIA.

=> Unatoa wapi ujasiri wa kuchunguza na kuandika Kwa uwazi kabisa Faragha za chumbani Kwa wazazi wako 🙄
Kwanini tumekosa Staha?
Kwani Magufuli alikuwa mzazi (baba) yako au Rais (public figure) mali ya kila mtaznzania aliyepaswa kuwa namba moja kwa kulinda na kuheshimu maadili..?

Yesu Kristo (mfalme wa wafalme) maisha yake yote na kila alilolifanya likowazi. Nina hakika kama ingetokeaga kuwa alitenda tendo baya kama ufisadi au ubakaji, nalo lingeandikwa na tungekuwa tunalisoma leo ili tujifunze...

Sisi wengine akiwemo Magufuli au Samia ni kina nani kwani hata historia ya maisha yetu isiandikwe?
.....Hata iweje, Hatupaswi Kufunua Siri za Wazazi na Viongozi wetu Wakuu wa Nchi Kwa namna hii.
Pathetic ideas, pathetic suggestion. Hopefully ni kwa sababu hujui lakini hujui kama hujui...!

Rais kuua watu wake sio siri ya kutunzwa...!

Rais kuiba fedha za umma sio siri ya kutunzwa...!

Rais au kiongozi yeyote wa umma kuishi maisha ya kizembe yaliyojaa ufisadi wa kingono sio siri za kutunzwa...!

Mimi ningekuona una akili na ufahamu mzuri kama tu ungeuliza swali hili: Ni kweli tuhuma hizi zaweza kuthibitishwa kwa evidence..?

All in all ni kuwa, Rais au kiongozi wa umma kuishi maisha ya kupiga mke, kufanya sexual abuse kwa wanawake, kuua watu wake kikatili kinyume cha sheria nk sio siri za kutunzwa bali ni za kusemwa wazi ili watu na viongozi waliopo na wajao wajifunze na kutambua kuwa: For every action there is equal and opposite reaction..!!
= > Habari za kuujulisha umma zimeisha?
Hizi ndo habari za umma ili umma ujifunze..

Zaidi sana viongozi wote waliokubali wenyewe kuwa watumishi wa umma wajifunze kuishi maisha ya uadilifu kwa kuzingatia ethics za uongozI wa umma..

Unataka kuishi extravagant life, acha kuwa kiongozi wa umma. Nenda porini, kaishi na wanyama hakuna wa kufuatilia maisha yako huko...!
=> Mnatafuta Umaarufu na Utajiri Kwakuchapisha Habari za Kuchafua Nchi?
Sio kutafuta umaarufu...

Alichofanya Erick Kabendera ni utumishi halisi wa Mungu ambao umetukuka. Ni ujasiri ambao ni wachache sana wanaweza kufanya hivi...

Ameandika kwa mfano halisi wa matendo mabaya ya viongozi (Rais wa nchi) kama mlezi na msimamizi mkuu wa ethics ktk jamii jinsi yeye mwenyewe ambavyo hakuwa mwadilifu...

Funzo hapa ni kuwa, tuwe waangalifu kwa njia zetu tunazotumia kuwapata viongozi wa kuwakabidhi ofisi kubwa ya umma kama hii ya u - Rais..

Kiti cha ufalme/Urais wa taifa au nchi yeyote ndiyo msingi na chanzo cha maamuzi yoyote yawe mema au mabaya yanayoweza kuiathiri jamii yote (watu wote) wa nchi au taifa husika..

Soma historia uataelewa...

Mfano, ktk Biblia, kila mfalme aliyetawala Israel (dunia ya wakati huo) kama alikuwa mwovu alisababisha taifa zima kuadhibiwa na kuishi ktk mateso makubwa. Na kama alikuwa mcha Mungu, mwadilifu na mtenda haki taifa zima lilibarikiwa na kufurahia ustawi na mafanikio toka kwa Mungu...

Rais (kiongozi mkuu wa nchi) akiwa mbakaji, mwizi, fisadi, muuaji, kahaba, mzembe na asiyejali; basi roho ya matendo hayo ndiyo itakayotawala chini kwa watu wote ktk taifa...!!
=> Mimi sihitaji kujua ni kweli au si kweli.
Kwa jinsi ulivyo, baki hivyo hivyo. Huhitaji msaada wa yeyote...
Naomba mnisaidie tu kujua ni wapi zinapatikana BUNDUKI za kukodi 🤔🤔🤔
Nenda kituo cha polisi, chukua moja, jipige risasi mwenyewe ili ufe tu...!
 
Kwani Magufuli alikuwa mzazi (baba) yako au Rais (public figure) mali ya kila mtaznzania aliyepaswa kuwa namba moja kwa kulinda na kuheshimu maadili..?

Yesu Kristo (mfalme wa wafalme) maisha yake yote na kila alilolifanya likowazi. Nina hakika kama ingetokeaga kuwa alitenda tendo baya kama ufisadi au ubakaji, nalo lingeandikwa na tungekuwa tunalisoma leo ili tujifunze...

Sisi wengine akiwemo Magufuli au Samia ni kina nani kwani hata historia ya maisha yetu isiandikwe?

Pathetic ideas, pathetic suggestion. Hopefully ni kwa sababu hujui lakini hujui kama hujui...!

Rais kuua watu wake sio siri ya kutunzwa...!

Rais kuiba fedha za umma sio siri ya kutunzwa...!

Rais au kiongozi yeyote wa umma kuishi maisha ya kizembe yaliyojaa ufisadi wa kingono sio siri za kutunzwa...!

Mimi ningekuona una akili na ufahamu mzuri kama tu ungeuliza swali hili: Ni kweli tuhuma hizi zaweza kuthibitishwa kwa evidence..?

All in all ni kuwa, Rais au kiongozi wa umma kuishi maisha ya kupiga mke, kufanya sexual abuse kwa wanawake, kuua watu wake kikatili kinyume cha sheria nk sio siri za kutunzwa bali ni za kusemwa wazi ili watu na viongozi waliopo na wajao wajifunze na kutambua kuwa: For every action there is equal and opposite reaction..!!

Hizi ndo habari za umma ili umma ujifunze..

Zaidi sana viongozi wote waliokubali wenyewe kuwa watumishi wa umma wajifunze kuishi maisha ya uadilifu kwa kuzingatia ethics za uongozI wa umma..

Unataka kuishi extravagant life, acha kuwa kiongozi wa umma. Nenda porini, kaishi na wanyama hakuna wa kufuatilia maisha yako huko...!

Sio kutafuta umaarufu...

Alichofanya Erick Kabendera ni utumishi halisi wa Mungu ambao umetukuka. Ni ujasiri ambao ni wachache sana wanaweza kufanya hivi...

Ameandika kwa mfano halisi wa matendo mabaya ya viongozi (Rais wa nchi) kama mlezi na msimamizi mkuu wa ethics ktk jamii jinsi yeye mwenyewe ambavyo hakuwa mwadilifu...

Funzo hapa ni kuwa, tuwe waangalifu kwa njia zetu tunazotumia kuwapata viongozi wa kuwakabidhi ofisi kubwa ya umma kama hii ya u - Rais..

Kiti cha ufalme/Urais wa taifa au nchi yeyote ndiyo msingi na chanzo cha maamuzi yoyote yawe mema au mabaya yanayoweza kuiathiri jamii yote (watu wote) wa nchi au taifa husika..

Soma historia uataelewa...

Mfano, ktk Biblia, kila mfalme aliyetawala Israel (dunia ya wakati huo) kama alikuwa mwovu alisababisha taifa zima kuadhibiwa na kuishi ktk mateso makubwa. Na kama alikuwa mcha Mungu, mwadilifu na mtenda haki taifa zima lilibarikiwa na kufurahia ustawi na mafanikio toka kwa Mungu...

Rais (kiongozi mkuu wa nchi) akiwa mbakaji, mwizi, fisadi, muuaji, kahaba, mzembe na asiyejali; basi roho ya matendo hayo ndiyo itakayotawala chini kwa watu wote ktk taifa...!!

Kwa jinsi ulivyo, baki hivyo hivyo. Huhitaji msaada wa yeyote...

Nenda kituo cha polisi, chukua moja, jipige risasi mwenyewe ili ufe tu...!
Duuh. . . . Basi Mjinga ni Mimi tu Jamani 🥲 🥲 🥲
Pole Yangu kwakuwa Uliyoyasema Yameniingia😩 😩 😩
 
Kuna full interview ya Erick Kabendera akifafanua kwa kirefu maudhui ya kitabu hiki kuanzia hatua mwanzo ya kukiandika hadi kuhitimisha na sasa kinasomwa ulimwenguni kote..

Kasema mswaada wa kitabu kabla kuchapishwa umepitiwa na wataalamu wabobezi wengi ikiwemo wanasheria kwa issues ambazo legally binded kwa ajili ya legal defense hapo baadae kama atatokea mtu anasema amekuwa defamed...

Kwa hiyo, kila kilichoandikwa humo kina ushahidi ambao uko well documented, usio na shaka na ndiyo maana kampuni za uchapaji na kusimamia mauzo ya kitabu hicho ambazo ni very reputable duniani kama Amazon nk zimechapa na kukiuza kitabu hicho...
Kwahiyo huyu Jamaa Kabendela anaweza akawa na vitu kama CD's zenye full movie🤔 🤔 🤔????? Kama ni mchunguzi, lazima anavifaa vya kunasa sauti Kwa Mbali na microscope gauge ya kuona vitu Kwa Mbali kupitia ukutani🙄 🙄 🙄 🙄
 
U- jasiri sana wewe MUGA MUGA kwa ukiri wako wa wazi kuwa u - mjinga. Kwa hili, nimekupenda bure🙏🏻🙏🏻🙏🏻

Na actually, katika hili kila mwanadamu ni mjinga ktk eneo fulani au ktk hili au lile. Mfano kama mimi sijui kupiga chapati, basi mimi ni mjinga kwenye eneo hilo. Ili nisiwe mjinga, sharti nifundishwe kupiga hizo chapati na mwenye ujuzi/maarifa hayo...

So, don't worry. Ujinga si ugonjwa wa kufisha na wala sio dharau au tusi bali ujinga ni hali ya kutojua au kutokuwa na ufahamu sahihi ktk jambo fulani...

Ujinga una tiba na unaweza kumtoka mtu...

Tiba au dawa ya ujinga ni KUJAZA MAAIFA NA UELEWA NDANI YAKO. Ni kujielimisha na kujitafutia maarifa ili ukijue kile usichojkijua..
 
Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa.

Yaani mwendazake alivaa pajama ili akambake mama yetu na Rais wetu ? Duuuuuuh! Imeniuma sana kwasababu kiukweli nampenda sana huyu mama jamani na sikupenda kabisa hii taarifa itoke. Na ninaomba usiku na mchana iwe uongo kabisa na Kabendera ashughulikiwe aisee.

Nimejikuta najiuliza maswali mengi sana.

i/ Tukio la ubakaji liliishia hatua gani? Je, ni hatua ya kujibizana kwa maneno tu au palitokea purukushani yoyote ile? Inauma jamani Mmmmmh!

il/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea wapi ofisini,chumbani au sebureni? Jamani jamani.

iii/ Kipindi mwendazake akiwa amevaa pajama mama yetu sijui alikuwa amevaa nini? Nazidi kuumia sana.

iv/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea asubuhu,mchana,jioni au usiku? Kaaaah jamani.

v/ Shuhuda wa tukio la ubakaji ni nani na walikuwa mashuhuda wangapi? Na wao walikuwa wanafanya nini kipindi ubakaji unataka kutokea?

vi/ Huyu shuhuda ni mzalendo kiasi gani mpaka akatoa taarifa mbaya kama hii kwa Kabendera ili iandikwe watu waisome? Alishindwa kunyamaza jamani!

vii/ Lengo la kuiweka taarifa hii ya ubakaji ni nini jamani? Duuuuuh uwiiiiii.

viii/ Kabendera kakosa uzalendo kiasi gani mpaka akaamua kuandika taarifa ya hovyo kama hii ili watu waisome? Kwani kila ukweli lazima usemwe! Kama ni kweli lakini.

ix/ Hivi kabendera ni mtanzania mwenzetu kweli?

Mbona Kabendera alikuwa na taarifa nyingine nyingi tu za kuandika kama zile za kina Ben saanane kulikuwa hakuna haja ya kuandika taarifa ya kutaka kubakwa kwa Rais wetu.

Ila nilifurahi sana kusikia Rais wetu alimkatalia Mwendazake kutimiza hazma yake ya ubakaji na nilifurahi zaidi kusikia mama yetu na Rais wetu ilumuuma sana mpaka akataka kujiuzulu umakamu wa Rais.

Mamlaka kwanini mmeruhusu haya yaandikwe na Kabendera? Mnatutesa sisi wengine wenye mapenzi ya dhati na mama yetu na Rais wetu. Kuna vitu hasi hatupaswi kusikia kabisa kuhusu Rais wetu jamani. Sisi tulisheni taarifa chanya za tu za Rais wetu. Hizi za kubakana msingetuletea kabisa. Aaaaghhhhh.

Ila Kabendera miyeyusho sana huyu jamaa nyie hamjui tu.
Mkuu

Kwenye uandishi wa habari za kiuchunguzi ni sharti uzingatie chanzo chako cha upataji habari husika yenye ushahidi usio tia shaka kuaminisha na kushawishi kukubali kuwa ni kweli au kinyume chake
1. Reliable source- insiders, whistleblowers, witnesses, victims, activists, or others with direct or indirect knowledge of the issue. Pieces of evidence are often categorized as primary, secondary, or tertiary material that provides thorough, well-reasoned theory, argument, etc. based on strong evidence
2. Credible sources provide accurate and reliable information, which is essential for making informed decisions
*The above two should consider the below conditions
  • Currency: Timeliness of the information.
  • Relevance: Importance of the information for your needs.
  • Authority: Source of the information.
  • Accuracy: Truthfulness and correctness of the information.
  • Purpose: Reason the information exists.
3. Authoritative source—Investigative reporting typically involves gathering evidence, interviewing sources, and analyzing data to create a comprehensive report. The five components of investigative reporting are identification, research, verification, analysis, and presentation.

Several questions surface in my mind!!!!

Je, Eric Kabendera alihojiana na SSH akamwelezea yeye mwenyewe au alisikia pembeni kisha akarejea kujiridhisha kwa kumhoji mwathirika wa jaribio la kubaka?

Ni wanawake wangapi JPM aliwalazimisha na kuwadhalilisha kijinsia wapi, lini na kwa namna gani?

Kama huyu mwandishi huyu kathubutu kuandika kitabu bila kuweka bayana ushahidi zaidi ya hadithi zenye chuki binafsi kutokana na kukabiliana na mkono wa chuma baada ya kushiriki kutenda makosa ya jinai, je anaweza pia kuchunguza kwa kutumia taaluma yake hiyo hiyo ya investigative journalism kuandika kitabu kinachoelezea JPM alifanywaje baada ya kufungua majengo ya chuo cha polisi pale Kurasini mpaka kifo chake kilisababishwa na kitu gani achilia mbali na propaganda za korona, pace maker hacking na poisoning?
 
Kwahiyo huyu Jamaa Kabendela anaweza akawa na vitu kama CD's zenye full movie🤔 🤔 🤔????? Kama ni mchunguzi, lazima anavifaa vya kunasa sauti Kwa Mbali na microscope gauge ya kuona vitu Kwa Mbali kupitia ukutani🙄 🙄 🙄 🙄
Absolutely, Yes...

Si lazima ushahidi uwe ni huu unaotaja hapa. Kuna ushahidi wa aina nyingi unaokubalika kisheria. Mfano ushahidi wa kuona wewe muhusika, mtu mwingine kuona, kauli za mtenda tendo nk..

Na ukumbuke kuwa, Erick Kabendera ni mwaathirika (victim) wa moja kwa moja wa matendo haya aliyoyaandika ktk kitabu hiki. Hasemi vitu au mambo ya kutunga....

Hata yeye aliteswa kimwili na kihisia na huyu bwana (Rais Magufuli/utawala wake), alikuwa falseful detained na kukaa gerezani bila makosa kwa muda mrefu. Akafilisiwa, akauliwa mama yake na kila aina ya mateso. Unajua akiwa ktk mazingira yale alikuwa anaambiwa nini? Alikuwa anafanywa nini?

Hivi unajua kuwa kuna waathirika wa utawala wa Magufuli ambao walitekwa, wakateswa na kupata kila aina ya physical and psychological harrassments? Wengine wanadai walikuwa wanalazimishwa wafirwe? Kuingiziwa vitu vigumu sehemu zao za siri? Wewe acha bwana. Shetani hajalala, yuko kazini eti....

All in all, wewe elewa tu kuwa, kila kilichoandikwa ndani ya kitabu hicho kimepimwa ktk mizani zote; za kisheria na kimaadili..

Ndiyo maana makampuni makubwa reputable duniani ya kusimamia biashara kama Amazon yameikubali na kuifanya kazi hiyo kwa kuwa wamejiridhisha pasipo shaka kila kilichoandikwa kiko supported na concrete evidence na hivyo kina defense ya kisheria...

Yeyote anayedhani au kuona kuwa amekuwa characteristically defamed, achukue hatua za kisheria na mtoa hoja atakwenda kujitrtea kwa ushahidi..

It's simple just like that...
 
Ila kumtetea mwendazake ngumu sana
We kama aliweza hadi kuzaa na waziri wake pia kuwa na mdogo wa mke wake atashindwa nini kufanya hayo mengine..

Tukubali tu binadamu ana pande mbili mazuri na mabaya.
tushukuru kwa yote.
Hivi ni kweli almt***ea balozi?
 
Mkuu,

Acha hasira watu wakiwa wanachambua ujinga wa mwandishi wenu Mganda
Kwa akili zako alimaanisha nini hapa. Ukimsiliza wakati anahojiwa kuhusiana na kitabu amekiri kwa kinywa chake mwenyewe robo tatu nzima ya maneno makali aliyoyaandika kwenye mwasada (draft textbook) yalikuwa yanasema bayana bila uficho ila baadhi ya wahariri waliopelekewa kukihariri kitabu walikataa vipengele vingi ambavyo havikuwa na ushahidi.
1736154341381.png

Lengo ka uti wako ni kuleta mtafaruku zaidi mkuu. Hakuna sehemu kabebdera kasema Magu alitaka kumbaka maza.

Ebu acha hizo bwana Mkubwa.
 
Absolutely, Yes...

Si lazima ushahidi uwe ni huu unaotaja hapa. Kuna ushahidi wa aina nyingi unaokubalika kisheria. Mfano ushahidi wa kuona wewe muhusika, mtu mwingine kuona, kauli za mtenda tendo nk..

Na ukumbuke kuwa, Erick Kabendera ni mwaathirika (victim) wa moja kwa moja wa matendo haya aliyoyaandika ktk kitabu hiki. Hasemi vitu au mambo ya kutunga....

Hata yeye aliteswa kimwili na kihisia na huyu bwana (Rais Magufuli/utawala wake), alikuwa falseful detained na kukaa gerezani bila makosa kwa muda mrefu. Akafilisiwa, akauliwa mama yake na kila aina ya mateso. Unajua akiwa ktk mazingira yale alikuwa anaambiwa nini? Alikuwa anafanywa nini?

Hivi unajua kuwa kuna waathirika wa utawala wa Magufuli ambao walitekwa, wakateswa na kupata kila aina ya physical and psychological harrassments? Wengine wanadai walikuwa wanalazimishwa wafirwe? Kuingiziwa vitu vigumu sehemu zao za siri? Wewe acha bwana. Shetani hajalala, yuko kazini eti....

All in all, wewe elewa tu kuwa, kila kilichoandikwa ndani ya kitabu hicho kimepimwa ktk mizani zote; za kisheria na kimaadili..

Ndiyo maana makampuni makubwa reputable dunia ya biashara ya vitabu kama Amazon yameikubali na kuifanya kazi hiyo kwa kuwa wamejiridhisha pasipo shaka kila kilichoandikwa kina defense ya kisheria kwa concrete evidence...

Yeyote anayedhani au kuona kuwa amekuwa characteristically defamed, achukue hatua za kisheria na mtoa hoja atakwenda kujitrtea kwa ushahidi..

It's simple just like that...
Kwani udhalilishaji, utesaji, utekaji, kuuwawa, kubambikiwa kesi umeisha au kupungua? Je anuwezo wa kumwandika huyu aliyepo madarakani kwa sasa kwa maovu yayotendeka kwenye utawala wake?
Kabendera kauziwa mbuzi kwenye gunia na washeria uchwara

Labda asirudi TZ alichokiandika ni sharti aje akithibitishe
1736154683926.png

Kama SSH alitishia kujiuzulu kwanini aling'ang'ania? Huoni kwamba kitendo chake cha kung'ang'ania kwenye nafasi ndio alikula njama na maadui wa JPM kum nani liu?

Kifupi, hakuna watu sahihi kwenye taasisi ya TISS wasioweza kuishi na viapo vyao pamoja na kwamba masharti yako bayana kwamba endapo atashiriki kutoa siri za nchi au kiongozi wa nchi adhabu yake ni 'hang to death'.

Kuhusu tuhuma za kutembea na kidoti, mke wa balozi, kuvaa mavazi yasiyo na staha na kwenda nayo kwa kiongozi mwenzie katika utekelezaji wa majukumu nk inaama TISS ndio walikuwa wanafanya 'eavedropping' kwa kiongozi wa nchi katika masaula ya privacy na kuyatangaza hadharani kwa umma kitendo ambacho ni kosa. Kumpiga mkewe hadi akapoteza fahamu, je, ni TISS, mke wa JPM au hospitali ndio walimpa taarifa Kabendera..................................kuchimba hakutaisha mpaka atamke bayana ushahidi wake usio na shaka.

Hili halitapita
 
Haisaidii na haikusaidii kitu wala hsitamaliza umaskini wako kuwa na chuki na mtu aliyekuzidi kila kitu.

Kwa uandishi wako wa chuki hivi inaonesha moja kwa moja huna majukumu. Hivi kwenye hiyo picha, nini kosa lake?
Hapo chuki iko wapi! Alichokiandika ndicho anachokifanya hapo, na hiyo ni picha halisi si yakutunga.
 
Huo ushahidi umeuona au na wewe ni bendera kama alivyo huyo Mganda?
Kuna full interview ya Erick Kabendera akifafanua kwa kirefu maudhui ya kitabu hiki kuanzia hatua mwanzo ya kukiandika hadi kuhitimisha na sasa kinasomwa ulimwenguni kote..

Kasema mswaada wa kitabu kabla kuchapishwa umepitiwa na wataalamu wabobezi wengi ikiwemo wanasheria kwa issues ambazo legally binded kwa ajili ya legal defense hapo baadae kama atatokea mtu anasema amekuwa defamed...

Kwa hiyo, kila kilichoandikwa humo kina ushahidi ambao uko well documented, usio na shaka na ndiyo maana kampuni za uchapaji na kusimamia mauzo ya kitabu hicho ambazo ni very reputable duniani kama Amazon nk zimechapa na kukiuza kitabu hicho...
 
Mkuu

Kwenye unadishi wa habari za kiuchunguzi ni sharti uzingatie chanzo chako cha upataji habari husika yenye ushahidi usio tia shaka kuaminisha na kushawishi kukubali kuwa ni kweli au kinyume chake
1. Reliable source- insiders, whistleblowers, witnesses, victims, activists, or others with direct or indirect knowledge of the issue. Pieces of evidence are often categorized as primary, secondary, or tertiary material that provides thorough, well-reasoned theory, argument, etc. based on strong evidence
2. Credible sources provide accurate and reliable information, which is essential for making informed decisions
*The above two should consider the below conditions
  • Currency: Timeliness of the information.
  • Relevance: Importance of the information for your needs.
  • Authority: Source of the information.
  • Accuracy: Truthfulness and correctness of the information.
  • Purpose: Reason the information exists.
3. Authoritative source—Investigative reporting typically involves gathering evidence, interviewing sources, and analyzing data to create a comprehensive report. The five components of investigative reporting are identification, research, verification, analysis, and presentation.

Several questions surface in my mind!!!!

Je, Eric Kabendera alihojiana na SSH akamwelezea yeye mwenyewe au alisikia pembeni kisha akarejea kujiridhisha kwa kumhoji mwathirika wa jaribio la kubaka?

Ni wanawake wangapi JPM aliwalazimisha na kuwadhalilisha kijinsia wapi, lini na kwa namna gani?

Kama huyu mwandishi huyu kathubutu kuandika kitabu bila kuweka bayana ushahidi zaidi ya hadithi zenye chuki binafsi kutokana na kukabiliana na mkono wa chuma baada ya kushiriki kutenda makosa ya jinai, je anaweza pia kuchunguza kwa kutumia taaluma yake hiyo hiyo ya investigative journalism kuandika kitabu kinachoelezea JPM alifanywaje baada ya kufungua majengo ya chuo cha polisi pale Kurasini mpaka kifo chake kilisababishwa na kitu gani achilia mbali na propaganda za korona, pace maker hacking na poisoning?
Good analysis..

Kwa nyongeza tu ni kuwa, Erick Kabendera yeye mwenyewe direct ni victim wa matendo haya..

He was physically, mentally and psychologically tortured...

So, he is himself the evidence...!

By the way, katika uandishi (work of literature), kazi ya mwandishi ni kuwasilisha reality iliyoko ktk jamii...

Huwezi kuweka ushahidi kwenye maandishi ya kitabu. Kitabu kinatoa simulizi tu ya tukio (event) pamoja na wahusika wa tukio hilo, nani alifanya nini..

Kazi ya Erick Kabendera ni NONE FICTION na siyo kazi ya ubunifu tu (creative writing). Anasimulia matukio halisi yaliyofanywa na watu halisi...

Kwa kesi, ni lazima kuwa kazi yake imepitishwa ktk vipimo vyote ya kisheria na kimaadili...

Katika interview yake kafafanua vizuri sana. Na maswali yako yote haya yamejibiwa...

Anasema kazi yake hii imepitiwa na wanasheria zaidi ya 50 kuipima iwapo haitaleta mgogoro na matatizo ya kisheria ikiachiwa kwenda hewani...

Anasema pia, haya yanauozua mjadala sasa ktk kazi ya awali yalikuwa mengi zaidi kiasi cha kubeba page 15 lakini yakawa minimized page 3 tu...

Hii ni maana yake ni kuwa, yaliyokuwa hayana defense ya nguvu ya kisheria, waliyaacha na pengine wanaendelea kutafuta ushahudi madhubuti zaidi...

Kwa haya yaliyopo, bila shaka yamepitia hatua zote na yako supported na concrete evidence. Adhaniaye ameonewa, aende kuthibitisha kuthibitisha uonevu huo kuwa amepakaziwa uongo...

After all watu hawajui tu...

Hizi ofisi za watu wakubwa hawa wenye mamlaka na nguvu za ku - HIRE and FIRE zimejaa uchafu na matendo ya kutisha na mabaya mengi mno...!

Mimi hata sishangai wala kuona ajabu kabisa...
 
Huo ushahidi umeuona au na wewe ni bendera kama alivyo huyo Mganda?
Mimi si Magufuli hata nitake kuuona huo ushahidi...

Kama wewe ni mmoja wa waathirika wa simulizi za kitabu hicho na unaona umekuwa characteristically defamed, fuata utaratibu wa kisheria kuomba usafishwe na ikibidi ulipwe fidia..

Nenda mkutane na Kabendera mahakamani. Huko ndiko ushahidi unakotolewa...!!
 
Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa.

Yaani mwendazake alivaa pajama ili akambake mama yetu na Rais wetu ? Duuuuuuh! Imeniuma sana kwasababu kiukweli nampenda sana huyu mama jamani na sikupenda kabisa hii taarifa itoke. Na ninaomba usiku na mchana iwe uongo kabisa na Kabendera ashughulikiwe aisee.

Nimejikuta najiuliza maswali mengi sana.

i/ Tukio la ubakaji liliishia hatua gani? Je, ni hatua ya kujibizana kwa maneno tu au palitokea purukushani yoyote ile? Inauma jamani Mmmmmh!

il/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea wapi ofisini,chumbani au sebureni? Jamani jamani.

iii/ Kipindi mwendazake akiwa amevaa pajama mama yetu sijui alikuwa amevaa nini? Nazidi kuumia sana.

iv/ Tukio la ubakaji lilitaka kutokea asubuhu,mchana,jioni au usiku? Kaaaah jamani.

v/ Shuhuda wa tukio la ubakaji ni nani na walikuwa mashuhuda wangapi? Na wao walikuwa wanafanya nini kipindi ubakaji unataka kutokea?

vi/ Huyu shuhuda ni mzalendo kiasi gani mpaka akatoa taarifa mbaya kama hii kwa Kabendera ili iandikwe watu waisome? Alishindwa kunyamaza jamani!

vii/ Lengo la kuiweka taarifa hii ya ubakaji ni nini jamani? Duuuuuh uwiiiiii.

viii/ Kabendera kakosa uzalendo kiasi gani mpaka akaamua kuandika taarifa ya hovyo kama hii ili watu waisome? Kwani kila ukweli lazima usemwe! Kama ni kweli lakini.

ix/ Hivi kabendera ni mtanzania mwenzetu kweli?

Mbona Kabendera alikuwa na taarifa nyingine nyingi tu za kuandika kama zile za kina Ben saanane kulikuwa hakuna haja ya kuandika taarifa ya kutaka kubakwa kwa Rais wetu.

Ila nilifurahi sana kusikia Rais wetu alimkatalia Mwendazake kutimiza hazma yake ya ubakaji na nilifurahi zaidi kusikia mama yetu na Rais wetu ilumuuma sana mpaka akataka kujiuzulu umakamu wa Rais.

Mamlaka kwanini mmeruhusu haya yaandikwe na Kabendera? Mnatutesa sisi wengine wenye mapenzi ya dhati na mama yetu na Rais wetu. Kuna vitu hasi hatupaswi kusikia kabisa kuhusu Rais wetu jamani. Sisi tulisheni taarifa chanya za tu za Rais wetu. Hizi za kubakana msingetuletea kabisa. Aaaaghhhhh.

Ila Kabendera miyeyusho sana huyu jamaa nyie hamjui tu.
Mkuu,

Tuseme issue ni kweli. Bado ungetaka ifichwe tu?

Mamlaka haina nguvu ya kuruhusu au kukataza kitabu kinachoandikwa Uingereza na kuchapishwa Marekani. Hii dunia tofauti na unavyofikiria.
 
Mkuu,

Acha hasira watu wakiwa wanachambua ujinga wa mwandishi wenu Mganda
Kwa akili zako alimaanisha nini hapa. Ukimsiliza wakati anahojiwa kuhusiana na kitabu amekiri kwa kinywa chake mwenyewe robo tatu nzima ya maneno makali aliyoyaandika kwenye mwasada (draft textbook) yalikuwa yanasema bayana bila uficho ila baadhi ya wahariri waliopelekewa kukihariri kitabu walikataa vipengele vingi ambavyo havikuwa na ushahidi.
View attachment 3194059
Kuna mkutano mmoja wa hadhara alidiriki kumsema mwanamke mweupe mbele ya watu na watoto kuhusu wasukuma kupenda wanawake weupe! Kuna matukio kadhaa ya kuwasema wanawake weupe na wanene mbele ya watu bila kujali kama wameolewa au la.
 
Back
Top Bottom