Umeshasahau Hawa watatu walienda hija pamoja kutubu dhambi?Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.
Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?
Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Kwa jinsi nilivyoona siku ile wakati wanamwaga sera hakuna mgombea hata mmoja aliyefikia level ya nondo za professor janabi mpaka wakenya wamempigia salute kaangalie presentation zao zipo YouTube professor kaua labda akose kwasababu nyingine ila kwenye sera kaua pale kwenye panel walikuwa hawapepesi macho mpaka wanasikiliza nondo tu salute to professor.Mimi namuombea yule wa guinea ashinde maana janabi akishinda ataeneza sera yake ya kunywa chai peke yake siku nzima kitu ambacho hakina mashiko
Hili la pesa za kampeni linasikitisha.....najiuliza hiyo nafasi ina maslahi gani kwa TaifaMaana naona kama ni jambo limekuwa kubwa Sana. Na sijui Hela za Kampeni anatoa yeye au zinachotwa toka kwenye Hazina yetu!?
Kizuri kinajiuza, kibaya......!!Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.
Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?
Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
janabi na rafiki wa JK, na hata uteuzi wa kuwa mkurugenzi wa JKCI, then baadaye MNH Director ni mkono wa JKHizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.
Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?
Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Kwa upande wetu, je Prof ni kitu gani ataifanyia WHO ambacho tumeshindwa kukifanya hapa Tanzania?Kwa jinsi nilivyoona siku ile wakati wanamwaga sera hakuna mgombea hata mmoja aliyefikia level ya nondo za professor janabi mpaka wakenya wamempigia salute kaangalie presentation zao zipo YouTube professor kaua labda akose kwasababu nyingine ila kwenye sera kaua pale kwenye panel walikuwa hawapepesi macho mpaka wanasikiliza nondo tu salute to professor.
Sera zake zililenga nini zaidi!?Kwa jinsi nilivyoona siku ile wakati wanamwaga sera hakuna mgombea hata mmoja aliyefikia level ya nondo za professor janabi mpaka wakenya wamempigia salute kaangalie presentation zao zipo YouTube professor kaua labda akose kwasababu nyingine ila kwenye sera kaua pale kwenye panel walikuwa hawapepesi macho mpaka wanasikiliza nondo tu salute to professor.
haendi kufanya tulichoshindwa kufanya sisi TZ, kule kuna kazi zake mahsusi tofauti ambazo ni broadKwa upande wetu, je Prof ni kitu gani ataifanyia WHO ambacho tumeshindwa kukifanya hapa Tanzania?
Kwa kiasi gani ndiyo mjadala!Muwe mnafuatlia mambo,,kwenye msiba wa Ndungulile JK alisema kabisa alihusika pakubwa tu kwenye kumnadi kipindi anagombea. Watz tunashida sana
Hivi vyote si vingeanzia nyumbani?π
- Guiding Public Health Efforts
- Responding to Outbreaks
- Strengthening Health Systems
- Implementing WHO Policies
- Collaborating with Partners
Hizo ni guiding strategies za WHO, Individual countries wana implement activities kulingana na domestic conditions I.e resources, local incidence and prevalency etcHivi vyote si vingeanzia nyumbani?π
Tangu lini Chawa akaanzia nyumbaniHivi vyote si vingeanzia nyumbani?π
mmepolitisize vitu ambavyo siyo siasaTangu lini Chawa akaanzia nyumbani
Tushamjua aliyemuua Dr. Ndugulile ni nani. Ni lilelile kundi la wauaji wa dini ya waarabu.Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.
Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?
Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
Wewe inakuuma nini?Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana.
Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea?
Maana naona mpaka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naye yumo!
π πTangu lini Chawa akaanzia nyumbani