Hivi Maulid Kitenge na Zembwela siwasikii Wasafi FM, kulikoni?

Ni kweli maana Nape alipitisha hiyo sheria tangu akiwa waziri ,walikuwa na muda wa kupata Dip yao ya Journalism.
Toka 2017 wangekuwa na Nia ya kusoma wangesoma na wangekuwa washapata Diploma๐ŸŽ“๐Ÿ—ž
 
Mbona walikuwa na muda wa kupata hiyo Diploma maana Nape ndiyo alipeleka muswada bungeni akiwa Waziri.
Waliongezewa muda tangu waziri akiwa Mwakyembe. Si unajua watu wa Habari kwa ubishi wakazuia sheria yao isifanye kazi tangu 2017 kwa kuongezewa muda sasa hivi naona mambo hanawawia magumu
 
Dj fetty ana degree ya mass comm mkuu ila naskia wamemwambia ajisajiri na bodi
 
Fett nae? Massoud Kipanya nae?
 
Dj fetty ana degree ya mass comm mkuu ila naskia wamemwambia ajisajiri na bodi
Mkuu sheria inasema mwandishi wa habari/Mtangazaji lazima awe na press card(ajisajili) whether awe na Degree,Masters au Phd ni LAZIMA WAZEE WA ITHIBATI wapate WINO WAKE na awe amepita kwenye vyuo vinavyotambulika na siyo vyuo vya Kariakoo FOJI FOJI NA NGAI.
 
Waliongezewa muda tangu waziri akiwa Mwakyembe. Si unajua watu wa Habari kwa ubishi wakazuia sheria yao isifanye kazi tangu 2017 kwa kuongezewa muda sasa hivi naona mambo hanawawia magumu

Serikali hapo hawana makosa maana kulikuwa na muda wa kusoma...kama walikuwa busy wangesoma hata OUT pale Biafra(Open University) huku wanaendelea na kazi.
 
Nachojua issue sio kusoma Ila wengi hapo hawana form four certificate yenye D nne .


Wanabidi warisiti kwanza au QT then waende kuangalia hatua inayofuata.
 
Eti minyama kumbe hata vyeti hmna๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nachojua issue sio kusoma Ila wengi hapo hawana form four certificate yenye D nne .


Wanabidi warisiti kwanza au QT then waende kuangalia hatua inayofuata.
Duuh hapo tushawapoteza kupata D nne kwa kurisiti ni kazi kubwa sana.....inabidi wazee wa "ITHI" wabadili taratibu alternative ya D nne iwe Certificate ya Journalism.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ