Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
- Thread starter
-
- #61
Aaah huko kwa flavi sipo huyo ni mwembamba, huyu ni kibonge??Kajala huoni ana MWILI JUMBA Mimi nikajua labda kama MWILI WA FLAVIN MATATA, MIRIAM ODEMBA
Hapo kwa kajala jimu linakuhusuu
Yanaumiza sanaNi hatari, Mimi haya mambo sikua najali ila kwasasa ñaona mambo yanaumiza sanaa
Mbinu nishaweka hujaona? 😹😹😂😂😂😂😂 toa mbwinu bana acha masimango...
Bro nimelia.....Kabla ya mazoezi Anza na Elimination Diet.
Obvious una chronic inflammation na ndio uko kukaza viungo, hii ni matokeo ya miaka kibao ya Wali, ugali, Chapi,viazi.
Fight inflammation kwanza ndo mazoezi yafuate Bila hivyo utapata injury mbaya sana hata kifo Cha mende itakushinda.
Kaka Tena?Msikilize jamaa hapo. Ingia you tube search "Tai chi" for beginners. Ni mazoezi rahisi tu ya kunyoosha nyoosha viungo ila yatakufanya unyumbulike haswaa. Kwa umri wako hutakiwi mazoezi magumu usije ukakata moto bure kaka.
DuhFanya zoezi miguu izoee shuruba
Afu ukishaona rukaruka inaumiza miguu kwanini usiikalie kwa kuweka magoti chini kabisa then u fuk him like you are a man...au ni bonge? Kama ni bonge usiangaike naye huyo...🚮
Mi siwezi kuacha, yani hata siku nikitoka kuchukua mafao nmb ntachukua room na mzee mwenzangu tukaburudike....usinishauri kuacha sitakusikiliza broKwani kuna ambacho umebakiza tena mleta mada kwenye issue hizi , di uachane nazo tu ! Kwanza huwa haziwafikishi mwisho wa mlima! Tuachie tu sisi tunajua how kuwafikisha juu.
Heeee ushauri wako sifati sikusikilizi 😂😂😂 huo wa kutohangaika nae.Fanya zoezi miguu izoee shuruba
Afu ukishaona rukaruka inaumiza miguu kwanini usiikalie kwa kuweka magoti chini kabisa then u fuk him like you are a man...au ni bonge? Kama ni bonge usiangaike naye huyo...🚮
Tafuta kijana mmoja. Wewe akikisha tu unampa hela na kummalizia matatizo yote ya kifedha. Hata ukilala tu kama gogo kijana atamaliza kila kituWananchi wa malawi hii wiki tukikaa kizembe tutafaint na hizi bandika bandua, haya tupumzike kidogo.
Naandika kwa masikitiko, kwa mnaofanya mazoezi, naombeni mnijibu kwa experience na ushuhuda kabisa ili nijue niruke kichura au niache.
Mi umri hapa ushasogea mwenzenu (marahaba), viungo vya mwili naona vimekaza, juzi juzi hapa si nikajaribu kujirudisha ujanani nikasema aaah acha "niride" nirudi ujanani mie, nikakaliaaa....kwenda juu chini mojaa juu chini mbilii juu chini tatu magoti hoiii ufundi ukaishia hapo nikashuka taratibu kama bendera nikamalizia tu ile style ipo kwenye katiba kifo cha nini sijui.... Baada ya hapo mwili uliuma, yani miguu magoti hoiii.
Sasa nmewaza mpango kazi hapa eti nianze tizi, nikipiga kichura chura moja mpaka mia nitarudi ujanani, nitaride kijeshi hii kitu itawork au niache ujinga???
Watu wazima waione kwenye jalada Binti wa zamani ERoni et al....
Nb: nahitaji zoezi specific za kunifanya niwe good kuride sio kwa afya wala mambo mengine, lengo ni moja tu.
Yawe juu ruka kidogo then shusha magoti chini...kwani usipoteseka hakupi hela ya kikoba bro?Heeee ushauri wako sifati sikusikilizi 😂😂😂 huo wa kutohangaika nae.
Ukiachana na kuweka magoti chini, yawe juu sasa kama kuruka kichura 😛
Kunitenganisha na wali na chapati daaaah 🤦🤦🤦 nitafanya jaribio la kuacha nioneBasi kwa umri huo kula supu ya nyama, mayai, mboga za majani mchemsho! Acha ugari, Wali, mikaango yote, tambi, machapati, Maandazi kwakifup mangano acha japo kwa mwezi mmoja tuuuuuu utapata matokeo!
Bro hii sio kimaslahi ni mapenzi binafsiYawe juu ruka kidogo then shusha magoti chini...kwani usipoteseka hakupi hela ya kikoba bro?
Kweli tupu.Basi kwa umri huo kula supu ya nyama, mayai, mboga za majani mchemsho! Acha ugari, Wali, mikaango yote, tambi, machapati, Maandazi kwakifup mangano acha japo kwa mwezi mmoja tuuuuuu utapata matokeo!
Evelyn Salt ushauri huu broUkitaka uweze kuride weka nyimbo ya veggies mbele kwa mbele halafu shika kitanda anza kufatisha biti..!!
Anza kwa kwenda mbele na kurudi nyuma, ikifika “Tumejipanga mwaka huu wataisoma” hapo anza speed sasa 😹😹😹
Hii machine Ina nyama nyama si unaziona..
Ooh, umependa bro?Bro hii sio kimaslahi ni mapenzi binafsi
Huyo binamu yangu tunatanianaga 😹😹Ila mbona we mkorofi hivi 😁