Umejaribu kumchumbia amekataa?Naona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
Naona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
Naona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
Ukiwa Mwanamke mwenye afya njema, huna matatizo ya kibailojia same to men kuoa/kuolewa ni lazima ndiko uanamke na uanaume huheshimikia. Hizi kauli zingine ni faraja tu lakin kuoa na kuolewa ni lazima.Kuna sheria yoyote inayolazimisha watu kuolewa au kuoa?
Au kuoa na kuolewa ndio kipimo cha utu?
Huu nao ni umbeaNaona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
Naona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
MARA NYINGI WATU WENYE TABIA YAKUCHUNGUZA PERSONAL LIFE YA WATU WENGINE WANAKUAGA NA HULKA YAKUUMIZA WATU AMBAO WAKO CHINI YAO ESPECIALLY WAKIWA KWENYE POSITION YA UONGOZI KWA MFANO WANAWEZA KUMPENDA MTU MVIVU WAKAMCHUKIA MTU MWENYE BIDII KWENYE KAZI AU MTU MWENYE MAFANIKIONaona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk