Hivi mbona Salama Jabir haolewi na hana Mtoto

Hivi mbona Salama Jabir haolewi na hana Mtoto

Duh!
Sio vipaumbele vyake.

Hutakiwi kuuliza maswali magumu kiasi hicho.
 
Ukiwa Mwanamke mwenye afya njema, huna matatizo ya kibailojia same to men kuoa/kuolewa ni lazima ndiko uanamke na uanaume huheshimikia. Hizi kauli zingine ni faraja tu lakin kuoa na kuolewa ni lazima.
Sio lazima mkuu, Acha kugeneralize
 
Nani kasema ni lazima? Hijui dunia ndiyo maana unasema hivyo. Watanzania tuna stereo type za ajabu sana. Hjaona watu wengi tu wanazaa na kuishi wenyewe bila ndoa?
Wewe Umeolewa au umezalishwa😌😌
 
Ana ishi mwanamke mwenzake kinyumba...yeye..ni kama mume wa huyo binti....kuna nyumba mbezi beach alipanga ....wakikuwa wakiishi hivyo....nimesikia akehama mtaa almas mbezi beach....ni shidaa
 
Mwanaume asipoa atakuwa ana mapungufu, mwanamke asipoolewa atakuwa mapungufu.... Kama huna mapungufu huwezi kuacha kuoa/kuolewa!.
Kinachotakiwa ni kuzaa/kuzalisha tu, kuoa au kutoelewa sio lazima Acha ulimbukeni
 
😂😂 Sawa hiyo familia inatoka mbinguni!! Ccm mmejaa mazezeta asee.

Kati ya anayefanikiwa kushika dola na anayelialia kwa kushindwa kila siku yupi zezeta😁😁😁
 
Ukiwa Mwanamke mwenye afya njema, huna matatizo ya kibailojia same to men kuoa/kuolewa ni lazima ndiko uanamke na uanaume huheshimikia. Hizi kauli zingine ni faraja tu lakin kuoa na kuolewa ni lazima.

Lazima kwako wewe, tusipangiane maisha.
 
Back
Top Bottom