MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Inawezekana ana changamoto zake ambazo ziko nje ya uwezo wake. Badala ya kumzodoa tumwombee. Wengine wanasema anajiweka kama mwanaume. Huenda hiyo ndio njia inamfanya aendelee kuishi hadi leo. Kuna watu wakiwa na changamoto wanafikiria tu kujidhuru. Ila kuna watu hutafuta njia mbadala ili waendelee kuishi kwa furaha.